Tuchukulie mfano wa shuka. Uzi uliotumika kushona shuka ni 1 dimension. Ukiurefusha unaweza kufika mamia ya mita kwa urefu. hata mwisho wake unaweza usiuone.
Shuka lililoshonwa ni 2 Dimension. Linatoshea kwenye kitanda cha tano kwa sita. Ukilikunja hilo shuka linakuwa 3 dimension. Linakuwa...
Katika Kiswahili sanifu, "utabiri" na "ubashiri" ni maneno mawili ambayo yana maana zinazokaribiana, lakini kuna tofauti ndogo katika muktadha wa matumizi yao, hasa linapokuja suala la michezo ya mpira wa miguu.
1. Utabiri:
- Maana: Utabiri unahusisha kutumia data, takwimu, na uchambuzi wa...
Ikitokea Timu X na Timu Y zinacheza fainali ya maamuzi ya mpira wa miguu. Mpira ukachezwa kwa dakika 120 ngoma droo. Lakini Timu X iko pungufu baada ya wachezaji wake wawili kutolewa nje kwa kadi nyekunda ndani ya dakika 90 za mchezo.
Timu zimekwenda kwenye mikwaju ya penati na Timu zote...
Habari wakuu wangu,
Naweza kupata wapi matangazo ya mpira wa miguu ya mechi mbalimbali zilizopita yaliyo katika maandishi.
Nahitaji mechi zifuatazo:
Mechi ziwe nne:
1. Azam FC 0-0 (5-6) Yanga SC _ Highlights _ CRDB Bank Federation Cup - 02-06-2
2. Mtibwa Sugar 1-3 Yanga SC _ Highlights _...
Soka la Tanzania kwa sasa limekuwa sana na ushindani ni mkubwa mnoo ila nashangaa kwanini serekali haioni umuhimu mkubwa wa kuboresha hata vile viwanja ambavyo tunavyo tayari viendane na hadhi ya kiwango cha soka letu kwa sasa.
Ukienda arusha ukaona huo uwanja wao wa mpira kwa jiji kama lile ni...
Nakumbuka toka mwaka 1995 kuna huyu mzee Juma Magoma amekuwa na migogoro ndani ya club ya Yanga Afrika.
Huyu mzee Magoma anadai anaipinga katiba ambayo alikuwepo na kukubali ipitishwe, ila ameonekana anatengwa kwenye meza ya mfalme, wakati wa uongozi ndg George Mpondela aliwahi kuleta vurugu...
Ni wazi mpira wetu wa miguu Tanzania bara kwa sasa umekuwa, lakini kukuwa bila ya ongezeko la usajiri kwa wachezaji wazawa nje na ndani ya nchi ni kazi bure. Maana haitasaidia kwenye ongezeko la ajira kwa vijana na ukuaji kiuchumi ,bali kumnufaisha tu mmiliki wa timu.
Kuwekeza kwenye Data na...
Nimeona kwenye clip ikitaja mishahara ya wachezaji wa Klabu ya Yanga na kuja kugundua kuwa wachezaji wazawa ukiwalinganisha na wachezaji wa nchi za kigeni wanalipwa mishahara midogo sana.
Kuna wachezaji wazawa ambao ndiyo tegemeo la klabu wanalipwa wastani wa T.shs. millioni tano kwa mwezi...
Habari za majukumu ndugu zangu, naomba kujua nini faida anazopata mchezaji wa mpira wa miguu baada ya timu yake kushinda kombe.
Natanguliza shukrani
Pia soma: Usiyoyajua kuhusiana na mchezo wa Mpira wa miguu
Tofauti na basketball kuwa mchezo wa watoto wenye malezi bora na wanaothamini elimu ,soccer,football,kandanda ni mchezo wa kihuni tu bora hata boxing.
Kule USA huwezi kucheza ligi kuu ya kikapu kama hujapitia college,hata uwe na kipaji vipi lazima upitie college.
''Yanga waliandikamkataba kwa...
Hili ni andiko langu kwa wapenda soka nchini.
Bila shaka mtakubaliana nami, kwamba, tangu kuanzishwa kwa UMITASHMITA na UMISETA, kumekuwa na malalamiko mengi kwa walimu na wadau wengine kuwa, UMITASHMITA NA UMISETA hazijatusaidia sana kwenye sekta ya michezo hususani mpira wa miguu, hii...
Tanzania inajivunia utamaduni mzuri wa soka, huku timu zetu pendwa za Simba, Azam na Yanga zikizidi kuwasha shauku kubwa katika anga za kitaifa na kimataifa. Hata hivyo, hali ya sasa ya viwanja vya soka kote hapa nyumbani inashindwa kuendana na shauku hii. Hebu fikiria nyasi chakavu, vifaa duni...
1. Kocha Anaweza Kucheza Kwa Timu Kama Atakavyo: Wengi hawajui hili lakini kocha ni sehemu ya timu na anaweza kumtoa mchezaji na kuingia uwanjani kucheza. Mfano wa kawaida ni Gianluca Vialli ambaye alikuwa akicheza kwa Juventus na baadaye akawa kocha wa Chelsea, alikuwa bado anaweza kucheza na...
TIMU ZA MPIRA WA MIGUU ZIWE HURU KIBIASHARA.
Kipindi cha wakoloni mataifa ya Afrika yalitawaliwa na nchi zilizoendelea hadi zenyewe zilishidwa kuendela, ukiangalia kwa macho ya kawaida utasema wakoloni walileta maendeleo kwa sababu walijenga barabara, Treni, Shule hadi baadhi ya wapigania uhuru...
Kwanza nianze kwa kuwapa maua yenu Jamiicheck, binafsi nawakubali sana kazi yenu. Big up sana sana.
Twende kwenye mada.
Naona kuna Picha za wachezaji wa kike wakiwa wanaweka mpira ndani ya jezi tumboni, baadhi ya watu wanasema hiyo ni kampeni ya kuvitaka vilabu wasiachane na wachezaji wao...
Nilitaka niwaite wapumbavu lakini naona litakuwa neno kali sana.
Hivi mtu anapokea mshahara kuhamasisha watu waingie kwa wingi uwanjani anakushawishi ukunje kaptura eti kumuenzi mchezaji mpira (mwajiriwa) na wewe na uzuzu wako unakunja, Jumamosi wameambiwa wapake bleach kichwani, watafanya...
Wanasema mpira sio kushinda magoli tu, bali mpira ni kujua kuuchezea na kuutawala.
Huu ni uzi maalumu wa kutupia video za udambwi dambwi wa mastaa kwenye ulimwengu wa mpira wa miguu.
Mimi naanza na hawa viumbe wawili Lionel Messi na Cristiano Ronaldo
DONDOSHA NAWEWE CLIP YA VIDEO...
Kwa mpira wa jana Simba dhidi ya Singida nashawishika kusema TFF hawana budi kuchunguza Mechi zote ambazo simba Wanacheza.
Inawezekana ndio mpango wa maboss wao kuwarubini Waamuzi ili wapate matokeo. Haiwezekani mechi zaidi ya 5 waamuzi Wanaochezesha mechi za Simba kufungiwa/ kulaumiwa
Kibaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.