Nchi yetu sasa imeingia rasmi katika ulimwengu wa uvuvuzela wa mpira. Kama vile ulivyo uraibu wa pombe, ngono, sigara n.k Idadi kubwa ya raia wa nchi kwa sasa wanalala wanazungumza mpira, wanaamka wanazungumza mpira na wanashinda wanazungumza mpira.
Bahati mbaya sana mpira wenyewe ambao...
Baada ya Simba kufungwa jana na wabotswana tumeona kauli za haraka haraka kutoka kwa viongozi wa Simba kuandika mambo ambayo mimi naweza sema ni upuuzi.
Kwa kuangalia comments za wapenzi wa soka wakijaribu kujaribu viongozi kwa ujinga walioandika (nimeweka baadhi hapo chini) nadhani ni wakati...
Hebu piga picha, lengo la yanga ni kutafuta watu,lengo la simba ni kuonesha kikosi kipana.
Ndugu zangu wanaobeti sasa! Unakuta anaitabiria yanga kufunga magoli saba huku haina kikosi kipana? Duh!
Wao wanataka watu na siyo magoli,hhhhhh!
Hongereni watani zangu yanga kaa ushindi wa jumapili.
Medani ya soka nchini imepata pigo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Alhaji Muhidin Ndolanga kilichotokea leo jioni Dar es Salaam
Ofisa habari wa TFF, Clifford Ndimbo ameiambia Mwanaspoti kuwa kifo cha Mzee Ndolanga kimetokea katika Hospitali ya TMJ...
Mpira umeanza kuwa na mashabiki wengi sana hapa bongo ushaanza kuovertake bongo flavor usishangae baada ya miaka kadhaa bongo flavor ikageuka kuwa bongo movie kwa kukosa mashabiki.
Wasanii angalieni hili kwa jicho la tatu
Now kila mtu anashabikia mpira ata ambaye hajui mpira bongo now kuna...
Kijana wa chuo cha DIT Amani Simba amemshangaza Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Gabriel Robert kwa uwezo wake wa kufuma mpira wa miguu wenye viwango vya kimataifa alipofanya ziara ya kikazi katika chuo hicho mwishoni mwa wiki hii.
Kwa Maelezo ya Mkurugenzi wa Chuo hicho tawi la Mwanza Dkt...
Rais anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake?
This is beyond shameful, beyond embarrassing, and downright beyond the pale. Cringeworthy.
I’m at a loss for words!
Tanzania's President criticized for calling soccer women 'flat-chests'
Tanzania's President Samia Suluhu Hassan has come...
Sio mbaya leo weekend tukakumbushana majina mbadala ya timu za mpira wa miguu hasa za bara letu la Afrika.
Itapendeza Ukataja bila kuzama Google we taja ukikosea watakuja wengine kufanya marekebisho ukitwambia na maana yake itapendeza zaidi,kwa kuwa mfano naanza Mimi.
Taifa Stars - Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.