mpira

  1. JamiiForums Tanzania Kama ni mpira dakika ni ya 35" CCM 4 WANAHARAKATI/CHADEMA/WANANCHI 1

    Hii mbungi imelala upande mmoja NJAA HAINA BAUNSA.
  2. JamiiForums Tanzania Azam TV Sports 1 na Subtitle zinazoendelea wakati wa mpira ukiwa live.

    Kumekuwa na muendelezo wa subtitle zinazoonekana kama za tamthilia wakati match zikiwa live ambazo hazihusiani na mpira kabisa, Sijajua hasa maana au lengo la subtitle hizo kwa kuwa ni kama zinaleta attention fulani ya kuzisoma na wakati hazina maana yoyote kwenye mechi husika.
  3. JamiiForums Tanzania Ashtakiwa na wazazi kwa kucheza mpira kuzidi watoto wengine

    https://x.com/abcworldnews/status/2115178332245598570?s=12 https://x.com/roxie_ug/status/2115080042615050247?s=12 https://x.com/mymixtapez/status/2114755768641565116?s=12 Mtoto mmoja wa umri wa miaka mitatu (3) Nevada Don Pierre wa Florida, US ameshtakiwa na wazazi wa watoto wenzake kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Tuache masihara Simba Sc wanagonga mpira

    https://youtu.be/ysrEn9vEb-M?si=EDdmtxh6RRcfPyhP Tazama pass zilivyopigwa goli la kwanza na la tatu Achana na goli, angalia pressure waliyotia kipindi cha pili, kama nyuki.
  5. JamiiForums Tanzania Mamelodi kutolewa CAF, ingekua ni team ya Tanzania tena Yanga/Simba zingenzishwa propaganda za Kocha kafel au team mbovu Msimu huu.

    Hua nasema mpira wa Afrika ni wamahesabu sana... Siku ile yanga kashinda 4 kule ugenini watu wanaleta propaganda eti team mbovu.. sijui hua wanalipwa? Enhee jana Mamelodi katolewa kwa goli la ugenini tena kwake nae ni mbovu? Naamini kabisa kwa yaliyomtokea Mamelodi jana ingekua Mamelodi ipo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chadema na mpira wa miguu na mziki wa bongo fleva havitangamani, hivyo ikitokea wakaingia madarakani, watafutilia mbli soka na bongo fleva

    Hawa wabwabwajaji wa Chadema Wana yochukia mpira wa miguu na mziki wa bongo fleva wakifanikiwa kuibgia madarakani, jambo ambalo naona haliqezekani hata miaka kadhaa ijayo, watafutilia mbali soka na bongo fleva, wananchi tubaki tukiwatukuza lissu na heche
  7. JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi) 2+ (katika mechi yote...
  8. M

    JamiiForums Tanzania MKALABOKO ndiye mchambuzi bora wa Mpira wa Tanzania kwa sasa. Media kubwa za habari zichukue mali hii.

    Sina haja ya kuongea sana. Tazama na usikilize uchambuzi wake wa mechi ya Simba dhidi ya Yanga. https://m.youtube.com/watch?v=HotFQ_8Cwn4&pp=0gcJCTcMAYcqIYzv Kocha wa Yanga ameomba taulo badala ya shuka wakati wa kulala
  9. JamiiForums Tanzania Kama ni mpira kwa sasa sisiem wanaongoza 3 na dakika ni ya 35 kipindi cha kwanza.

    Mkubali mkatae, ccm ishawabana kende wananchi, hamna ujanja, ule umoja wa mo29 hautokaa utokee tena, washajifunza kutokana na makosa. Washajua namna ya kuishi na manyumbu na makondoo. Sisiem kabla hakujapoa chomekeni tena kitu kingine hapo Kati, kikiisha tu miaka 30 ya bf hiyo hapo, Yani ni...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nimefatilia kwa ukaribu Watu wanapenda Sana Mpira na washabiki hawana Uwezo mkubwa wa kiakili

    Samahani kama nitawaudhi, lakini kwa uzoefu wangu na Watu mbali mbali ninaokutana nao Kuanzia mitaani, maofsini, ndani ya Nchi na nje ya Nchi. Wale watu ambao ni wanazi na washabiki wa Mpira wa miguu awe Mwanamke au Mwanaume aisee Uwezo wao wa kiakili ni mdogo. Anaweza kuwa vizuri kwenye mambo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mpanzu ni tatizo, tatizo lenyewe ni uchoyo/kukaa na mpira badala ya kutos pasi!

    Simba wangefunga goli la kwanza mapema sana kama si Mpanzu kukaa na mpira bila kutoa pasi hadi kikabuma! Ina maana mwalimu huwa hamwambii?
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Tunajitahidi kujenga viwanja vya mpira (Afcon) lakini timu yetu bado mbovu.

    Nawauliza, wizara ya michezo pa.oja na wadau wa michezo nchini, hivi kweli hii timu tuliyonayo ndio kweli itaenda kutuwakilisha kwenye michuano ya Afcon 2027? sina mengi ya kusema.
  13. JamiiForums Tanzania Unakuta unashuhudia mchezaji anaanza kucheza soka (debut) hadi unashuhudia akistaafu soka wewe bado uko vile vile unaishi na mandoo ndoo unamo lala

    Hali hii ni mushkeli aisee, Wenzangu wa "uchumi wa mandoo ndoo" mmeamkaje?
  14. JamiiForums Tanzania Beki wa Iran atengeneza pasi nyingine ya bao kupitia mpira wa kurusha

    Beki wa Iran, Nader Mohammadi, anayekipiga kwenye Ligi ya Russia na Spartak Kostroma, ameendelea kutengeneza gumzo kwenye soka kutokana na uwezo wake wa kipekee wa kutumia flip throw-in kusaidia timu yake kufunga mabao. Katika kipindi cha wiki tatu tu, Mohammadi tayari amefanikiwa kutoa assist...
  15. JamiiForums Tanzania FIFA na CAF zasimamisha Uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nigeria (NFF)

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) likishirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeagiza kusitishwa mara moja kwa mchakato wa uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Nigeria (NFF). Uchaguzi huo ulikuwa umepangwa kufanyika Septemba 27, 2026, mjini Lafia, Jimbo la...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mpira wa Bongo sasa hivi brand kubwa inalipa; Fei anaandaliwa signing fee ya bilioni 4 na mshahara 120M, Okello kacheza nusu msimu tu kauzwa bilioni 2

    Mpira wa Bongo siku hizi unaonyesha wazi: ukijenga brand, fursa na pesa vinafuata. Fei Toto kwenye dirisha hili la usajili, dau la kuvunja mkataba wake lilifika hadi bilioni 3.5. Azam wameamua kumuwahi mapema wakijua amebakiza miezi 6 tu kwenye mkataba na timu zinaendelea kumnyemelea. Kuna...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa TFF Karia kamaliza, wachambuzi wa mpira wanabwabwaja kwenye mike badala ya kuchambua mpira. Ligi ikianza wajirekebishe.

    Wachambuzi wetu wanakera sana. Wanahukumu wachezaji, viongozi wa timu, wafadhili, waamuzi, bodi ya ligi, TFF kama vile wanao ushahidi wa kile wanachokihukumu. Wamepata ajira kwenye chombo cha habari cha mtu lakini wanakaa nyuma ya mike ya chombo hicho wakiwa kama wasemaji wa Simba au Yanga...
  18. JamiiForums Tanzania MAISHA YANGU YA SOCCER VS NEEMA YA MUNGU

    Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer. 👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo wangu (Upande wa baba na mama) hakuna historia inayoonesha kwamba aliwahi kuwepo mcheza soccer...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Hivi Vitendo Visivyofaa kwenye mpira wetu vidhibitiwe na vichunguzwe

    Wakuu nimekuta na hizi allegations huko X na instagram.. n baadhi ya watu wakiweka na ushahidi naiomba mamlaka ichunguze... Waweza pitia uzi huu Kuna madai ya Kijana kacheza U17 na U20 vizuri, msimu huu inabidi apewe mkataba wa Senior team, Kocha anamwambia kijana aende akampakue kocha ili a...
  20. JamiiForums Tanzania Sisi na South Africa Tunatofautiana wapi kwenye mpira

    South Africa, timu zinazokwenda kwenye CAF confederation ni timu ya tatu na timu ya nane. Kwa Tanzania, tunawakilishwa na timu ya tatu na ya nne. Kuna nnini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…