Leo tumeshudia maigizo, tume enjoy sana kwa maigizo na tunawapongeza waigizaji kwa kuweza kumeza script ipasavyo, naona lengo la kuuamisha watu wa mpira wa miguu kuwa Freddy na Jobe sio magarasa leo utakuwa umezikwa baada ya watu kuonesha wasiwasi kwa mechi kadhaa tena baada ya kushindwa...