Kwanza kabisa mikakati yangu ingekua ni kuifanya Taifa starts ijitegemee kwa kujiingizia kipato chake yenyewe.
Ningefanyeje kufanikisha hilo ningeomba bajeti kwaajili ya Taifa stars ijenge vyuo (Football academies) vya mpira wa miguu kila wilaya. Vyuo vitakavyo fundisha soka kwa watoto wadogo...
Baada ya mechi ya jana kati ya Simba(makolo) na Al Ahly kuisha kwa kolo kuchomekwa kimoja na kushindwa kukichomoa wameibuka washabiki maandazi wa Simba wasiojua mpira na kuanza kusema jana simba alicheza sana mpira.
Kwenye mpira kucheza/kumiliki mpira dhidi ya mpinzani wako kunaweza kutokea...
Kwa namna wachezaji wa simba walivyokuwa wanacheza ni wazi kabisa kocha hapa hatuna deni nae shida ni quality ya wachezaji wenyewe ni ya kuchechemea.
Magoli 7 ya wazi yamekoswa yani alhy amepiga shoot moja na hilohilo limekuwa goli.
Wachezaji wa simba mnawatukanisha sana viongozi wenu isee na...
Wakuu bila kuwafunga waarabu hawataacha kutudharau watu weusi.
Sasa ni dhahili Yanga atacheza finally na Al Ahly ili kumlipiza na kuwatoa waarabu kabisa kwenye ramani ya mpira Africa ili wawe na heshima.
Young African will beat AL Alhly hii ni baada ya ushindi wa gori tatu kesho.
Kumekuwa na utata juu ya gharama za ujenzi wa uwanja mpya wa mpira jijini arusha, wananchi wamehoji sana na kuonekana kutokukubalina na gharama na hasa wakilinganisha na gharama za Uwanja wa Benjamin Mkapa uliojengwa kipindi cha nyuma 2007 ukiwa na uwezo wa kubeba watu 60,000 kwa gharama ya 64...
Kuna stori niliwahi kuambiwa na jamaa mmoja kuwa Bekham alikuwa anafanya mazoezi hata siku mbili mfululizo bila kupumzika akiwa nyumbani.
Kipindi hicho nilikuwa mdogo nikamuamini ila sasa nimekuwa nimemfata kumwambia yule jamaa achukue kamba yake sifungiki tena.
UBUNTU BOTHO
Sababu kumi (10) ambazo zaipasa serikali kuhamisha ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwenda jiji Mwanza .
1)Fidia za eneo au viwanja, gharama za eneo au kiwanja Arusha ni kubwa sana ukilinganisha na Mwanza. Huenda ndio sababu mmoja wapo wa uwanja huo kuwa ghari.
2)Uchache...
Ukubwa wa mamelod ni upi?
Timu ambayo toka mwaka 2016 haijawai kuchukua ubingwa wa Africa?
Mamelod anayeishia robo na nusu fainali kila siku?
Kuna wajinga wanasema hata wachezaji wa al ahly eti hawaingii kwenye kikosi cha mamelodi bangi au?
Mamelodi kazidiwa mafanikio na
Al ahly
Wydad...
Kufuatia Tuhuma za Genocide nchini DRC kwa ajili ya kuiba madini Sasa KAGAME akili wazi kua madini yanapitia kwake nchini Rwanda yakiibiwa.
Sikiliza hapa.
Hapa nazungumzia tabia isiyofaa kwenye mpira wa soka.
Tabia utii heshima upole kujishusha uvumilivu na kujitoa hivi ndiyo vitu ambavyo ni mtaji katika tasnia ya soka. Angalia hapa yuko wapi sancho wa borussian detmold ya ujerumani. Huyu ni kijana wa kiingereza mshambuliaji ambapo kwa umri wake...
Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.
Yapi maoni yako?
al ahly
falsafa
freedom of expression
jezi
kuliko
kwa mkapa
mgeni
mipaka
mkapa
mpira
mzalendo
ndumbaro
polisi
samia
simba
tanzania
uzalendo
waziri
waziri ndumbaro
yanga
Habari Mwanajukwaa la Sports.
Nianze kwa kusema;
Moja ya kitu ambacho watanzania tunacho sana na ndio utambulisho wetu ni MAIGIZO yani tunapenda kuFake kila kitu hatutaki kua na uhalisia na hatuupendi Uhalisia.
Ndio maana hata Team zetu unakuta Msemaji ana STATUS Kuliko hata Kocha huku Mtaani...
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, si mpenzi wa mpira wala ndondi. Sipendi magari wala kubeti, kifupi sifuatilii, ukiniuliza hata mchezaji wa Simba au Yanga mmoja simjui, wala wa Barcelona au Man United kifupi sina interest!
Kuna muda hadi wanawake wananishangaa maana utakuta wao wanajua au...
𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ Al Ahly FC🆚Young Africans SC
📆 01.03.2024
🏟 Cairo International
🕖 6PM🇪🇬 7PM🇹🇿
TimuYaWananchi
DaimaMbeleNyumaMwiko
Karibu katika mechi ya sita na ya mwisho ya makundi ligi ya mabingwa Africa ungana nami katika Uzi huu kwa update za mechi hii
Kila la kheri Yanga SC...
Habari zenu wakuu Hope mko powa kabisa. Nimeona nipate ku share nanyi kisa hiki kilichowahi kunitokea miaka kadhaa iliyopita.
Wakati nipo O level kidato Cha nne nilikua ni mtu mcheshi Sana darasani kwetu, kitendo kilichofanya nipate kuwa na marafiki wengi pale shuleni. wengine nilikua nawajua...
Walianza na propaganda za Yanga kushiriki kombe la looser (shirikisho), wakatoka hapo yanga ikagonga mpaka fainali uku timu zikichapwa ipasavyo wakasema wamekutana na timu dhaifu, lakini wale wale waliwai kucheza ilo ilo kombe la looser wakaishia kuchoma uwanja wa watu na kutupwa nje ya michuano...
Nilitaka niwaite wapumbavu lakini naona litakuwa neno kali sana.
Hivi mtu anapokea mshahara kuhamasisha watu waingie kwa wingi uwanjani anakushawishi ukunje kaptura eti kumuenzi mchezaji mpira (mwajiriwa) na wewe na uzuzu wako unakunja, Jumamosi wameambiwa wapake bleach kichwani, watafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.