mpunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Hali ya zao la mpunga nchini ni mbaya msimu huu

    Kama kichwa Cha Uzi kinavyosomeka hapo juu, nimepta mara nyingi katika mbuga zilimwazo mpunga kuanzia Dodoma, Manyoni, Itigi, Igunga, Nzega, Kahama, Shinyanga na mkoa wa Mwanza Kwa kipindi kuanzia January Hadi March mwaka huu. Nimepata picha kuwa mwaka huu tutakumbwa na uhaba mkubwa Sana kama...
  2. M

    Mpunga unaoingia baada ya kutinga Hatua ya Robo Fainali kati ya Yanga na Simba

    Ni vizuri pia tukawajuza umate umate utakaoingizwa na hizi timu 2 baada ya kutinga Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho na Klabu Bingwa Afrika, mgawanyo ndio huu; Yanga: Milioni 820 kutoka CAF + Bilioni 1.5 kutoka wadhamini wao Kampuni ya Haier + Milioni 40 zawadi ya Rais Samia, jumla...
  3. Kichina44

    INAUZWA Mashine ndogo ya kusaga na kukoboa (2 in 1) mahindi, mpunga, viungo vikavu

    MASHINE NDOGO YA KUSAGA NA KUKOBOA (2 in 1) mahindi, mpunga, viungo vikavu nk Mashine MPYA Bei 1,500,000/= Mashine ipo DAR ●Mashine ina pande mbili, upande mmoja ni wa kusaga na upande wa pili ni wa kukoboa. ●Inaweza koboa mpunga, mahindi, n.k ●Inaweza saga mahindi, mchele, manjano, kahawa...
  4. Lycaon pictus

    Africa haiwezi kujlisha kama inalima mazao kama mahindi na mpunga badala ya Ulezi na Mtama.

    Habarini ya sherehe za uhuru? Mtu ambaye hawezi kujilisha hawezi kuwa huru. Kila mazao ya chakula kuna hali ya hewa inafaa kuyalima. Mahindi yalikuwa yanastawi kwenye temperate climates huko America, yaani kusiko na baridi kali ya barafu lakini kuna mvua nyingi, ngano nayo hivyohivyo. Mchele...
  5. L

    Chombo cha anga za juu cha Shenzhou 14 cha China chaleta mbegu za mpunga zilizopatikana katika obiti kwa mara ya kwanza duniani

    Kundi la tatu la sampuli za majaribio ya sayansi ya anga za juu, ambalo lilirudishwa na chombo cha anga za juu cha Shenzhou 14 cha China, lilirejeshwa Beijing alfajiri ya tarehe 5. Sampuli zilizorejeshwa ni pamoja na vifurushi vitatu vya baridi vya sampuli za kibaiolojia na mfuko mmoja wa...
  6. JanguKamaJangu

    Walalamika wajawazito kujifungua kwenye majaruba ya mpunga

    Wananchi wa Kijiji cha Mwashagi Kata ya Lyabukande Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wamelalamikia ubovu wa miundombinu ya barabara na ukosefu wa Zahanati unaopelekea wajawazito kujifungulia kwenye majaruba ya mpunga." Wamedai kuwa tatizo hilo limekuwa likiwakabili hasa kwenye kipindi cha...
  7. S

    Ikiruhusiwa hii wangapi mtaenda kudai mpunga wenu?

  8. Ofisa mjumbe

    Nahitaji shamba la kulima mpunga

    Nahitaji shamba la kulima mpunga kwa yeyote mwenye nia tunaweza ungana au akanikodishia tulime au nilime mpunga
  9. Jitume Biashara

    INAUZWA Tunauza Mashine aina mbalimbali, tupo Dar es salaam

    MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI BEI: 450,000/= Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA! KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
  10. M

    Nahitaji mpunga kutoka Mlimba/ Morogoro

    Wadau salaam! Nahitaji connection ya kununua mpunga kutoka Mlimba/Morogoro, yeyote mwenye taarifa naomba anicheck dm!
  11. M

    Kilimo cha mpunga nahitaji kuwa na mtaji wa shilingi ngapi?

    WADAU napenda mwaka huu nianze kilimo cha Mpungu huku IFARAKA kwenye mwezi wa 12. Mnishauri ni Sh ngapi inahtajka kwa heka 20 na kila heka inaweza kunipa sh ngapi. Wenye uzoefu kama Masanja Mkandamizaji naona kufahamu kiundani zaidi kabla sijadumbukiza hela zangu huko
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Ndugu wakulima ninapata wapi mashine ya kukatia mpunga?!

    Kama mnavyojua mashamba yetu ni ya kienyeji yanahitaji machine all weather badala ya zile kubwa za Kubota kama hiyo hapo juu. Nipeni connection chap nikimbizane na msimu wa mavuno
  13. John Haramba

    Atuhumiwa kuua mke na kumzika, juu ya shimo apanda mpunga

    Mkazi wa Tandahimba mkoani Mtwara, Shaibu Kauselela anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kumuua mkewe na kitu Kizito kinachodhaniwa kuwa na ncha kali na baadaye kumzika kwenye shamba na kupanda mpunga ili kupoteza ushahidi. Akizungumza na waandishi wa habari mkoani hapo, Kaimu Kamanda wa...
  14. J

    Waziri Bashe, ukijikita kwenye zao la Tumbaku na kusahau Mahindi na Mpunga mwakani utatumbuliwa

    Jana kupitia ITV habari tumeshuhudia viwavi jeshi vimeteketeza hekari zaidi ya 4500 za mpunga na mahindi huko Kilombero na wakulima wale wamedai hawana madawa kabisa. Najua mkuu wa wilaya katoa lita 50 za dawa ya kuua wadudu na RC katoa lita 40 jumla lita 90 kwa hekari 4500 Nakushauri Waziri...
  15. Financial Analyst

    Uwekezaji wa kulima Mpunga na kufanya usambazaji

    Habari wana JF, Kuna hii idea ningependa kujua moja mbili tatu. Natumaini itasaidia wengi humu. Kufanya uwekezaji katika kilimo cha mpunga kwa kununua ardhi, kuanza kulima, kufanya umwagiliaji, kuvuna, kuhifadhi, kuwauzia wateja wa jumla wataokuja shambani kwako na wewe mwenyewe kusambaza...
  16. Mr SGR

    Connection ya soko la mpunga

    Wakuu nina gunia 500 za mpunga uko Kahama nauza bei ya jumla 94000/= kama ukichukua zote, rejareja ni 98,000/= karibuni wadau Unaweza kunipa connection ukapata kamishen yako namba yangu 0757243944. Karibuni kwa uzi huu muhimu
  17. msigazi

    Wapi naweza kufanya kilimo cha mahindi karanga mahindi maharage na mpunga?

    Nimekuwa mjini muda mrefu sana Nimeona kukaa mjini hailipi Napanga niende kijijini nikalime Niepukane na matozo ya serikali ambayo yanaletwa kila uchao Niko kanda ya ziwa Unanishauri nihamie wapi ambapo naweza kufanya kilimo cha mahindi karanga mahindi maharage na mpunga Na nikafanikiwa...
  18. Logikos

    Kisa cha Panya, Wakulima na Mbegu za Mpunga (Tozo, Wafanyabiashara na Watuamiaji)

    Hapo sio zamani sana kulikuwa na jamii ya Panya iliyopenda sana kula mbengu za mpunga, hali ilikuwa mbaya sana kwa wakulima, panya wenyewe na hizo mbegu, sababu kutokana na wingi wa panya ilipelekea kupunguza idadi ya mbegu za kupanda hali iliyopelekea wakulima kufa kwa njaa na kupunguza nguvu...
  19. Pascal_TZA

    Bilionea wa mpunga mkulima aliyeitwa na Bill Gate, gari za kifahari, jumba kiwanda

    Karibu nikukutanishe na mkulima kutoka Jijini Mbeya Rafael Saimon Ndelwa, Mmiliki wa Kampuni ya Rapha Group iliyo Uyole Mkoani hapo. Rapha ni miongoni mwa Mabilionea wa Mkoa wa Mbeya na utajiri wake unatokana na Kilimo cha mpunga, kilimo ambacho kilimfanya Bilionea Bill Gate amuite ili waweze...
  20. MPUNGA MMOJA

    Ili ulime heka 10 za mpunga, kitaalam unahitaji uwe na sh milioni 10

    Kuhudumia heka 10 ya #mpunga kitaalam kabisa wastani inataka uwe na mtaji wa 10m kwa msimu. Kilimo ni fedha kilimo ni uwekezaji wa akili na muda. Usiingie kwenye kilimo cha mpunga kama huna fedha na muda. N:b Na kukatika mtaji ni jambo la kuweka kichwani.
Back
Top Bottom