Kama inavyosomeka hapo juu,
Naomba yeyote anayeuza vinu vidogo vya kukoboa mpunga aje inbox, pia yeyote mwenye Mota 3 phase hp 20-Used tuwasiliane. Nataka kuanzisha biashara ya kukoboa mpunga vijijini.
Ahsante
“Kuwanufaisha watu wote wa dunia ni moja ya matumaini yangu ya maisha.”“Baba wa mpunga chotara” (yaani hybrid rice) Yuan Longping alisema hayo alipoulizwa kwa nini amehimiza upandaji wa “mpunga chotara” barani Afrika.
Katika mkutano wa kwanza wa wakuu wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na...
Ndg wanaboard, naombeni ushauri wenu maana ninawazo la biashara.
Nipo Geita, mtaji nilio nao ni 25M, nimepata machine ya kukoboa 25t/h, ya Kisasa.
Ambayo wanauza 8700usd. Inakuwa na:
1. Elevators zake 2
2. Destoner
3. Cleaner.
Pia inaoption ya kupata brown rice.
Shida yangu ni ushauri, je...
Wanandugu,
Naomba kupata namna ya kufanya kilimo cha nchi kavu.
Kama kuna mahali kuna bandiko zuri naomba kuunganishwa nalo.
Sijawahi kulima mpunga popote.
Habari wana JF,
Tangu nimwage mpunga wangu mbegu fupi Salu ya miezi minne, imepita miezi miwili ila nataka niupige booster ili ukue vizuri japo nilitupia urea kidogo wiki kama tatu zilizopita, naombeni ushauri wanamageuzi wenzangu wa kilimo.
Natanguliza shukrani!
Ukizunguka mkoa wa Dar es salam! Maeneo yote yenye chemchem za maji ndiyo yaliyopimwa viwanja rasmi kwa ajili ya makazi ya binadam!
Je; ni kwanini wizara iliacha kupima maeneo salama ikakimbilia kupima mashamba ya mpunga kuwa makazi?
Mbezi beach yote, kunduchi, ununio na mbweni kote huku...
Kwa wale ambao ni wasaliti ikiwa ni kwenye ndoa zao,au ktk patnership za biashara au kazi nawakumbusha tuu kwamba mwenzenu Yuda leo ameishaingiza madola yake haramu toka jana.
Endeleeni na hizo tamaa zenu ila nawakumbasha zitawakosti siku moja
POWERTILER ni aina ya trekta ya tairi mbili, kina uwezo wa kulima eneo kubwa kwa muda mfupi.
Ni kifaa cha kulimia kilirichorahisishwa zaidi kusaidia Mkulima wa chini na kati.
Ni kilimishi kilichokuja kufanya mapinduzi ya kilimo hasa Mpunga ingawa kinatumika kulima mashamba ya Mahindi, Maharage...
Msimu huu umekua na maajabu sana kwenye bei ya Mpunga.
Kwa masoko ya Ubaruku,Igulusi na Chimala debe moja la Chenga sh 12,000/= mpka 15,000/= huku bei ya Mpunga kwa kipimo cha debe kama hicho sh 7000/= mpaka 9000/= kutegemea na mbegu.
Kwa miaka takribani 15 sasa hakujawahi kutokea kuanguka kwa bei ya Mpunga.
Kilimo cha zao la Mpunga kwa msimu wa mwaka 2020/ 2021 kinaleta mashaka makubwa.
Bei ya wakati wa mavuno kwa gunia la serikali la debe 6 kwa msimu 2020 kipindi cha mavuno Tsh 50,000 hii ni bei ya mwezi wa sita...
Rais Magufuli amefungua kiwanda cha kukoboa mpunga Kihonda Morogoro.
Rais Magufuli amempongeza mwekezaji wa Kiwanda hicho na kumlaumu mbunge wa Morogoro mjini mh Abood kwa kupewa viwanda viwili na Serikali na yeye badala ya kuviendeleza akavitumia kukopea benki na kununua mabasi.
Rais Magufuli...
Habari yenu wanajamii.nimekuja humu kuomba ushauri kwa faida yangu pamoja na kwa faida ya wengine.
Kama kichwa cha habari kinavyosema...Nahitaji kufahamu kwa mtu anaetaka kulima kilimo cha mpunga je atatumia gharama za shilingi ngapi kwa kuzingatia vitu vifuatavyo
1)gharama kukodi shamba la...
Habari yenu wanajamii.nimekuja humu kuomba ushauri kwa faida yangu pamoja na kwa faida ya wengine.
Kama kichwa cha habari kinavyosema...Nahitaji kufahamu kwa mtu anayetaka kulima kilimo cha mpunga je atatumia gharama za shilingi ngapi kwa kuzingatia vitu vifuatavyo
1)Gharama kukodi shamba la...
Waungwa nawasalimu.
Ningependa kuulizia haya majiko yanayotumia pumba za mpunga/maranda ya mbao ambayo hutumiwa sana na wachoma chips hasa maeneo ya DAR...
Niliyaona mwaka 2017 Ila kwa bahati mbaya huku mkoani nilipo sijayaona kabisa na gharama za mkaa ni kubwa kidogo..
Ningependa kujuzwa
...
Ninaomba kujuzwa wanajf wenzangu, je ni nafaka aina gani zinaweza kuwa na soko zuri hapa mjini Dar? Na je ni mtaji kiasi gani naweza kuanzia nao? Natanguliza thanks.
WADAU WANAOHITAJI MIONGOZO KUHUSU BIASHARA HII
IFAHAMU BIASHARA YA MAZAO YA CHAKULA
Haijalishi watu ni masikini kiasi...
Habari wadau.
Naomba kufahamu Bei ya mpunga kwa eneo la Ifakara ni shilingi ngapi kwa sasa kwa gunia la debe kumi au bei ya Debe moja.
Lengo langu nataka nianze kununua kwa sasa ili mwezi wa 12 Bei ikiwa nzuri niuze.
Mpunga ambao upo shambani chuma shina moja, kisha chukua punje tatu tu za chuya ya mpunga, menya maganda kisha tafuna, muda huo huo utajisikilizia hali kubadilika na kujisikia hali ya utulivu ambayo unaweza kuangalia mechi ya mpira bila kuchoka
Utafiti huu ni wangu ukitaka kuzalisha na kufungua...
Wakuu habari napenda kuuliza anaefahamu kuhusu biashara ya kukoboa na kuuza mpunga maeneo ya Dodoma mjini na hata pembezoni mwa jiji.
Ningependa kufahamu
1. Upatikanaji wa mpunga kwa bei rahisi na mzuri huwa hasa maeneo gani?
2. usafirishaji wake ukoje na garama yake ina range kiasi gani?
3...
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limemtia mbaroni mama mmoja aitwaye Happyness Mafuru, kwa tuhuma ya kuwatelekeza watoto wake wawili katika majaluba ya mpunga, huko mtaa wa Mtakuja kata ya Nyamhongolo wilayani Ilemela Jijini Mwanza.
Watoto hao wameokotwa wakiwa hai na kisha kupelekwa katika...
BAADA ya Kangi Lugola, kuwekwa chini ya ulinzi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa madai ya ufisadi, sasa kuwekwa kikaangoni bungeni.
Kaboyoka ametoa hoja hiyo wakati akizungumza bungeni jijini Dodoma, jana tarehe 29 Januari 2020, huku akimtuhumu Lugola kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.