mpya

  1. Singo Batan

    HERI YA MWAKA MPYA WA 2025

    Wana JF wote Pokeeni salamu zangu za Mwaka huu wa 2025 ukawe mwaka wa heri kwa kila mmoja wetu. Asanteni
  2. MIXOLOGIST

    Msaada tutani, hivi mwaka mpya unaanza kuchakaa lini?

    Natafakari tu hapo Bado tuko kwenye mwaka mpya, ni lini hasa huu mwaka mpya unaanza kuchakaa? Baada ya kulipa ada? Siku ya kuzaliwa CCM? Siku ya wajinga (1/4/2025) May Mosi? Embu wajuzi mtuambie?
  3. GRACE PRODUCTS

    Njia sahihi za utunzaji wa Ngozi yako kwa mwaka 2025: Mwanzo Mpya kwa Ngozi Yenye Afya

    Tunapoanza mwaka 2025, ni wakati mzuri wa kutafakari na kufanya mabadiliko muhimu katika utunzaji wa ngozi zetu. Ngozi yenye afya huathiriwa na mambo mengi ikiwemo lishe, mtindo wa maisha, na bidhaa tunazotumia. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuimarisha na kulinda ngozi yako mwaka huu...
  4. M

    Dunia inautulivu fulani kabla mfalme wake mpya kuingia madarakani mnamo Januari 20, 2025

    Binadamu ni kiumbe anaeishi Kwa Sheria na moja wapo ya Sheria zake ni pamoja na kuwa na kiongozi, popote penye mkuasnyiko wa binadamu lazima wapate kiongozi wao Hata kusanyiko dogo zaidi la watu wawili lazima mmoja awe anamwongoza au kumzidi angalau kidogo mwenzie hapo ndo kusanyiko litadumu...
  5. Baba Vladmir

    Kheri ya mwaka mpya 2025:Ninawaombea wagonjwa wote wanaohangaika na magonjwa sugu,Mungu awaponye.

    Wasalaam. Tunapouanza mwaka mpya wa 2025,ninafahamu kuwa Kuna watu wengi wanaendelea kupambania afya zao,wengine wako mahospitali,wengine kwa waganga wa kienyeji na wengine walishakata tamaa wako majumbani kusubiri hatma ya siku za kutwaliwa kwao. Kama ndugu zangu wa hapa duniani,ninawatia moyo...
  6. TUKANA UONE

    Kama umeukaribisha mwaka mpya wa 2025 Kwa kunyonya Uume au Uke inapaswa utambue umeshajipalia Mikosi ya mwaka mzima!

    Huo ndiyo ukweli ukubali ama uukatae! Janamke au Janaume ambalo hulijui umekutana nalo tu huko kwenye Viwanja vya starehe,tambua limekuachia Mikosi ambayo itakuandama mwaka mzima ! Kibaya zaidi ili uonekane unayaweza mambo ukaona umlambe na kumnyonya Uke au Uume! Your finished my friend,huu...
  7. Mejasoko

    Jamaa wameniaharibia Raha ya mwaka mpya na na email ya kifedhuli, hivi new year si siku ya mapumziko?

    Niliomba kazi kwenye hii taasisi wiki iliyopita Sasa Leo nakutana na email na hivi ni mwaka mpya nikajua itakua ni habari njema kumbe ni huu upuuzi 🤣🤣🤣 Thank you for the time you took to express interest in Watu. We regret to inform you that at this stage we have decided to proceed with...
  8. M

    Muislamu anaekesha mwaka mpya kumbi za starehe ili iwe nini?

    Mwaka mpya, iwe wa Hijria au wa kawaida (Gregorian), ni fursa muhimu kwa Muislamu kujitathmini, kufanya maamuzi mapya, na kujikurubisha zaidi kwa Mwenyezi Mungu. Quran na Hadithi zinatoa miongozo ya kimaadili na kiroho ambayo inaweza kumsaidia Muislamu kutumia kipindi hiki kwa mazingatio...
  9. jingalao

    Hongera R.C Makonda Arusha imesheherekea Mwaka mpya bila vurugu

    Mojawapo ya jukumu la Mkuu wa Mkoa ni kuhakikisha Amani na utulivu unatamalaki. Mkoa wa Arusha uliwahi kusifika kwa uhalifu na hususani uhalifu nyakati za sikukuu na nyakati za usiku. Kwa mara ya kwanza katika historia tumejionea Watu wenye haiba mchanganyiko,dini mbalimbali ,vipato...
  10. La Quica

    Mwaka mpya umekukuta wapi na ukifanya nini?

    Heri ya mwaka mpya 2025. Nimejiuliza ni namna gani kila mmoja wetu alivyoupokea mwaka nikagundua kila mmoja atakuwa ameupokea akiwa katika situation fulani. Kuna waliokuwa kwenye bata, wengine nyumbani na familia, wengine hospital, wengine safarini, wengine kazini n.k Hebu share na sisi hapa...
  11. Minjingu Jingu

    Je, ni sahihi kwa sisi tusio wa dini ya Kikristo kusheherekea Mwaka Mpya?

    Huu mwaka siyo wetu...ni Mwaka wa Kikafir kabisa. Si kama kwenye Kalenda yetu. Nashangaa naona watu wanatakiana heri na fanaka.
  12. MK254

    Kiongozi mpya wa Syria akutana na viongozi wa Kikristo

    Ni mwanzo mzuri japo mimi kwa kweli sijawahi kuwa na imani na kobaz yeyote, hata akiwa jirani yangu, kuna majini huwa wameingizwa kwenye system zao na hutibuka mara moja ghafla bila kutarajiwa. Huyu kiongozi mpya ambaye ni ni mvaa makobaz, anaonekana kuwa na muelekeo mwema, ila siku akianza...
  13. J

    Ujumbe wa mwaka 2025 kutoka kwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kwa Vijana wa Kitanzania

    UJUMBE WA MWAKA MPYA 2025 KWA VIJANA WENZANGU WA KITANZANIA Na Mohamed Ali Kawaida, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu vijana wenzangu! Tukiwa tunaanza safari ya mwaka mpya wa 2025, nipende kutumia fursa hii kuwatakia heri ya mwaka mpya, afya njema, na mafanikio tele. Mwaka mpya ni fursa mpya...
  14. KikulachoChako

    Mtazamo;Unapoingia mwaka mpya na kutimiza miaka kadhaa unatakiwa usikitike na kutafakari nyakati zako na sio kusherekea......

    Habari za muda huu waungwana..... Mimi nadhani maisha ya kiumbe mwanadamu hapa duniani yamekuja mfano wa simu iliyojaa chaji na kutolewa kwenye chaji pindi anapozaliwa kutoka tumboni kwa mama yake....... Na chaji hutumika na kupungua kwa kadri anavyoziiishi nyakati zake hapa duniani.....na...
  15. F

    Mwaka mpya uswazi

    Leo mimi na mke wangu mkubwa,tuliamua kuupokea mwaka 2025 kwenye baa moja hapa mwanza uswazi,kwakuwa hatukuwa na kipato cha kutosha.Tumekunywa bia za Tanzania na kuku wa kienyeji na tumefurahi sana,tukampigia simu mke wangu mdogo ambae yuko nje ya nchi na watoto wetu pia wote tukaongea...
  16. Dkt. Gwajima D

    Heri ya Mwaka Mpya 2025

    Wapendwa Wana Jukwaa letu pendwa, salaam. Sisi familia ya Advocate Gwajima, tunawashukuru sana kwa ushirikiano wenu na upendo wenu kipindi chote cha mwaka 2024. Tunawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2025 na Baraka tele mwanzo hadi mwisho wa mwaka huu. Tunawaombea na kuwatakia Upendo, Furaha na Amani...
  17. G

    Mliozaliwa 1965, 1975, 1985, 1995, 2005 huu ndio mwaka wenu wa kupanda ghorofa / floor mpya

    2005 - second floor, mmekuwa teenagers tangu 13 (thir-teen) hadi 19 (nine-teen), karibuni 20s 1995 - karibu ghorofa ya tatu, najua umestuka sana jinsi miaka ilivyoenda speed, 1985 - 4 th Floor, ujana kwaheri japo mtaufosi 1975 - 5th floor, hongera umeishi nusu karne 1965 - 6 th Floor, Anza...
  18. Kabende Msakila

    Dakika 13 za kwanza za mwaka mpya kwa ajili ya Maombi ya ushindi kwa Tundu Lissu

    Mungu aifanye roho ya Freeman Mbowe kuwa yenye kuridhika - Mungu anapomuinua Tundu Lissu aifanye njia yake ya uongozi kuzingatia:- * Kutozidisha miaka 10 katika uongozi huo; * Kuamini kuwa mbali yake wapo wafuasi wengi wenye uwezo wa kuongoza taasisi hiyo; * Afahamu kuwa taasisi hiyo siyo ya...
  19. 2v1

    Heri ya mwaka mpya 2025

    🎇🎆🎇🎆 Heri ya mwaka mpya, Napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya 2025 kwa uongozi wote wa JamiiForums na members wote wa JamiiForums mkawe na mafanikio mema 2025, Mungu awajazie pale palipo pungua. Mapambano lazima yaendelee 🛡️⚔️. Muwe na mafanikio mema 2025. 🎆🎉♥️🧨🎈♥️🎊🎇 🎇🎊♥️KARIBU♥️🎉🎆 🎆🎉♥️ 2025...
  20. Z

    Mambo ambayo sitaki nifanye mwaka huu mpya (baadhi nilihaidi sitafanya ila nikafanya)

    1.punyeto 2.uvivu 3.kutoa bikra 4.mademu chuma ulete 5.stress i will live the way i want 6.pombe 7.kucare watu N.k Sema yako
Back
Top Bottom