Ni kweli kabisa kwa sasa tunahitaji KATIBA MPYA mambo mengi sana ndani ya KATIBA ya MWAKA 1977, yameshapitwa na wakati na yanahitaji kufanyiwa marekebishi.hasa kuhusu huu mgawanyo wa serikali na madaraka kwenye muungano , kwann Zanzibar Ina serikali yake lakini tanganyika Haina? Tuna serikali ya...
Watu wanaposikia hoja ya katiba mpya wanazani ni katiba ya flani sijui ni ya chadema hapana ni katiba ya watanzania wote itakayo waweka kwenye viwango vingine vikubwa vya juu kidemokrasia, haki, uhuru na maendeleo endelevu kwahiyo Kuna haja ya kupata katiba mpya.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko kuanzia tarehe mosi Februari mwaka huu.
Gavana Tutuba amesema hayo wakati...
emmanuel tutuba
fedha
gavana wa benki kuu
kuanza
kutumika
mpya
mwigulu
mwigulu nchemba
noti
noti mpya
saini
tarehe
waziri
waziri wa fedha
wizara ya fedha na mipango
Mabalishano ya uongozi yaliyotokea hivi karibuni CHADEMA yamepokelewa vizuri sana na wapenda demokrasia ndani na nje ya nchi.
Kuna umuhimu kwa wanachama wa CHADEMA na wapenda demokrasia wote kupongeza juhudi hizi kwa njia iliyotukuka kupitia matembezi ya mshikamano nchi nzima.
Ni makosa kufikiria muda unakwenda.
Muda hauendi. Muda upo mpaka utimilifu wa dahari
Wewe ndiye unayeenda.
Huupotezi muda. Muda hauna mwisho. Unajipoteza mwenyewe.maana una mwisho wako
Ni wewe unazeeka na kufa. Muda haufi. Kwa hivyo jitumie vyema kabla ya muda wako kuisha.
Na mojawapo ya...
CHADEMA tumefanikiwa kuvuka mtihani mgumu wa uchaguzi mkuu na kufanya mabadiliko ya safu za uongozi kwa mafanikio makubwa huku kikibaki kuwa chama chenye umoja na mfano wa kuigwa wa demokrasia nchini.
Nashauri uongozi wa CHADEMA katika siku moja yafanyike matembezi ya mshikamano kila mkoa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu mpya wa Chadema atatangazwa mchana huu
Bado haijajulikana ni nani hasa, japo kuna Majina kadhaa yanatajwa.
Juhudi zangu za kulazimisha kuvujishiwa jina kwa manufaa ya JF zinaendelea, Nzi wangu akiweza tu kunusa basi haraka sana kwa chap...
Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kuwa mwenyekiti wa Chadema kunatoa fursa ya kushughulikia madhaifu kadhaa ndani ya chama hicho wakati kikijiandaa na uchaguzi wa 2025. Maeneo muhimu yanayohitaji tahadhari ya haraka ni pamoja na:
1. Mshikamano wa Ndani na Umoja
Chadema imekuwa na migogoro ya ndani...
SEKONDARI MPYA YA KIJIJINI BUTATA YAKARIBIA KUFUNGULIWA
Serikali yetu inajenga sekondari mpya tatu (3) ndani ya Jimbo letu la Musoma Vijijini, na kila ujenzi/mradi umepewa Tsh milioni 584 (Tsh 584m)
Sekondari hizo mpya zinajengwa:
(i) Kijijini Butata, Kata ya Bukima
(sekondari ya pili ya kata...
Msimu wa safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China umeanza hivi karibuni. Msimu huu ni wa kwanza wa safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China tangu kutangazwa kwa mapumziko ya siku nane ya sikukuu hii, kupanuliwa kwa sera za kutohitaji visa, na kuongezwa rasmi kwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China...
Huyu jamaa bwana kiukweli kibongobongo ni so underrated. Anavitu adimu sana kwenye flows zake, sasa hili jiwe kamshirikisha mkongwe G- Nako kwenye chorus na verse 2 kasimama Dizasta vina 'the black maradona'. Ebana eeeh, hebu kula chuma...
Ndugu zangu sukuma gang poleni sana. Najua mmeumia sana. Ila huo ndo mchezo wa siasa ulivyo.
Watu wali mu underestimate sana Samia kuhusu uwezo wake wa kufanya siasa. Sasa mmejionea kwa chenga ya mwili aliyowapiga kule Dodoma wote mliokuwa mnapanga kumuangusha kupitia mchakato wa ndani ya...
Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje.
Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
MSHAHARA WA ERLING HAALAND NDANI YA MAN CITY
Thamani ya Mkataba Jumla £260,000,000 (Tsh. Bilioni 798.6)
Kwa Mwaka £26,000,000 (Tsh. Bilioni 79.8)
Kwa mwezi £2,166,666 (Tsh. Bilioni 6.6)
kwa Wiki £500,000 (Tsh. Bilioni 1.5)
Kwa siku £71,428 (Tsh. Milioni 219.4)
Kwa Saa £2,976 (Tsh. Milioni...
Kwanzia mwaka huu 2025 dunia itashuhudia mambo mengi ya kutikisa akili, kusisimua na ya maajabu mbele ya macho yetu
Kwenye upande wa medicines, technology, uongozi, kutakua na uwezekano usio na mwisho mfano watu wataweza kujenga nyumba kwa siku moja na mengine mengi
get ready funga mkanda...
Pikipiki ya kazi na ya uhakika kutoka KINGLION, hii inapita popote na inafanya kazi wakati wowote.
Model: 150-9AEngine Capacity: 150ccFuel consumption: 1L/55KM
Ukinunua unapata usajili bure, jacket, T-shirt na Helmet 2.
Piga simu au WhatsApp: 0683535699
SEKONDARI MPYA KIJIJINI MUHOJI: WAZAZI WAAMUA KUTOA CHAKULA CHA MCHANA KWA WATOTO WAO
Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21, lina Sekondari za Kata 26 na 2 za Binafsi. Sekondari mpya 6 zimepagwa kufunguliwa mwaka huu. Matayarisho ya kuanza ujenzi wa sekondari nyingine sita (6) yamekamilika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.