Mfano: Maalim alikuwa na kauli mbiu ya kuwakokomboa wazanzibar kutoka Tanganyika. Alieneza sera miaka karibu miaka 40 au zaidi.
Sera ilipokolewa na wapinzani na ndani ya CCM ndio upinzani ukashika kasi.
Yaliobaki ufisadi, kukuza uchumi ambapo alisema Zanzibar itakuwa ya neema. Hii iliwavutia...
HALI YA AFYA YA BABA MTAKATIFU
Hali ya Baba Mtakatifu inaendelea kuwa mbaya; hata hivyo, tangu usiku uliopita hakujakuwa na shida ya kupumua.
Alifanyiwa upasuaji wa kuongezewa damu yenye chembe nyekundu zilizokolezwa, kwa manufaa na kurudi kwa kiwango cha hemoglobini.
Upungufu wake wa chembe...
Akiwa katika mahojiano yake ya kuthibitishwa kuwa Mkurugenzi mpya wa FBI, Kash Patel alipoanza kwa kuelezea historia ya familia yake alisema baba yake alikimbia Uganda ya Idi Amin, dikteta muuaji wa kimbari ambapo Wahindi laki tatu(300,000) waliuwawa kwasababu ya kuwa Wahindi kama yeye tu.
Huu...
Machozi ya furaha yalitiririka mashavuni bila kujizuia baada ya Husna Shabaan Kingwande alipofahamu kwamba upasuaji wa moyo wa mtoto wake Ikram mwenye umri wa miaka mitatu ulifanyika kwa mafanikio.
Upasuaji huo uliofanyika katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyojengwa na Wachina...
Wanajamvi.. nawasalimia sana. Katika kukabiliana na hali ngumu ya upatikanaji wa wafanyakazi hasa kada isiyo na qualifications maalum, au kwa wafanyakazi kupata kazi katikabsekta isiyo rasmi, tunawaletea app iitwayo servicehands. Hii ni app ambayo unawaunganisha waajiri na wale watafutao kazi...
TUENDELEE KUKUMBUSHANA - UJENZI WA SEKONDARI MPYA VIJIJINI MWETU
Jimbo la Musoma Vijijini lenye jumla ya Kata 21 lina:
*Sekondari 26 za Kata/Serikali
*Sekondari 2 za Madhehebu ya Dini
I - Sekondari 3 zinazojengwa na Serikali Kuu
(ujenzi kukamilika: 28 Feb 2025)
(i) Kijijini Butata, Kata ya...
Baada ya kufanya vizuri kwenye sedan yao ya mwaka jana, Xiaomi wamenogewa sasa wameleta SUV.
Xiaomi SU7 itaanza kuuzwa hivi karibuni, ikiwa na battery kubwa lente range ya hadi 760 kilometa.
Pia itakuja na options za RWD na AWD, zikiwa na maximum speed ya 250 km/h.
Ingawa features nyingi...
Body languages, tones na facial expressions za viongozi waandamizi wa chadema hususani wa kamati kuu, zinaonyesha kabisa bado kuna migawanyiko na uhasama ndani ya chadema.
Lakini pia jana pale Ikungi Singida tumeshuhudia kwa uwazi zaidi kwamba umoja ni changamoto ndani ya uongozi mpya wa...
Colina Pierluigi moja ya marefa Bora katika Historia ya soka na Mwenyekiti wa marefa wote toka shirikisho la mpira duniani FIFA.
Amenukuliwa akitoa pendekezo kuhusu upigaji mpya wa penati zitakazo patikana ndani ya dakika za mchezo kuwa Kama zile za Matuta Yani unapiga Mara moja ukikosa au...
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali Rais Samia ameonekana akitumia ndege mpya ya Rais yenye usajili 5H-ONE aina ya Gulfstream G700, kwa mujibu wa Data ndege hii imeanza kutumika mwezi February.
Wengi wamekuwa wakidhani ndege hii ni ile aliyokaicha Hayati Benjamin Mkapa ila ndege aliyokaacha Mzee...
UJENZI OFISI MPYA YA MKUU WA WILAYA CHUNYA KUPANGIWA BAJETI 2025/26
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Dkt. Festo Dugange amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuweka kwenye bajeti ya mwaka wa fedha 2025/26 maombi ya fedha kwaajili ya ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chunya.
Mhe...
Baada ya kupitia balaa zito la mke wangu kichaa aliyenipiga picha 71 za makalio ,niliamua rasmi kumuacha.
Mungu si athumani nikapata mtoto mmoja wa kinyaru binti ajatumika sana,ana nyama nyama za kutosha mwilini(nakupenda sana kipenzi changu konjeta♥️♥️).
Sikutaka kumchelewesha kama...
Wengi wameshtukia na kuhisi mpango huo wa kiongozi wao ni utapeli?
Au wanaona michango yao kupitia ruzuku inatosha kabisa kuendeshea chama, kununua maji ya kunywa spirit, nyama na matumizi mengine, na kuchangishwa tena ni usumbufu na ulaghai?
Au wanahisi watadanganywa tena kama...
Nakukaribisha mwenyekiti mpya Tundu Lissu katika uongozi wako mpya ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo natumahi mengi mapya pia umekuja nayo katika nafasi yako hii mpya ya uenyekiti wa chama.
Moja ya jambo/ kauli ya msingi ningependa kusikia kutoka kwako kama msimamo wako na wa chama...
Februari 8, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Dar na Pwani kushughulikia kero ya daladala zinazotoka nje ya Dar es Salaam, ruti Mbezi - Mlandizi kwa madai kuwa zinakatisha ruti na kuishia Njuweni Maili Moja.
Akasema kuwa hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.