mpya

  1. Zanzibar-ASP

    Waislamu amkeni sasa, mtaala mpya wa elimu hauna nafasi ya kuwabeba kiujanja watoto wenu!

    Karibu taasisi zote za dini ya kikristo zilizojikita kwenye sekta ta elimu zimekuwa busy mnoo kuusoma, kuuelewa, kujiandaa na kuwaandaa watumishi wake namna ya kwenda sambamba na ujio wa mtaala (sera) mpya wa elimu. Jambo hilo limekuwa likifanyika vivyo hivyo kwa jamii za waumini wa kikristo. Ni...
  2. R

    Kwa huyu kocha mpya wa Yanga, Dube kupewa kipaumbele na Aziz Ki kutumia nguvu nyingi kwenye pisi, Kipigo hakikwepeki Derby, Simba wanazirudisha zote 5

    Zinarudi zote na zinaweza kuzidi, Kocha mpya wa Yanga itamchukua muda mrefu kuingiza kikosi kwenye mfumo wake, Motivation ipo chini, wachezaji wamechanganyikiwa kubadilishwa makocha kila leo, Mindset za wachezaji wanajua kocha mpya anatimuliwa muda wowote. Unahitaji akili za kawaida kabisa...
  3. OMOYOGWANE

    Kocha Himdi Maloud anaweza kuwa jasusi wa soka aliyekuja kuimaliza Yanga, afukuzwe mapema

    Habari wakuu Nimewahi kuleta nyuzi kadhaa humu jukwqani za utabiri mfano "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa Mwanzo wa msimu niliandika huu uzi kuhusu JKT Nimeuelewa ukuta wa JKT unatisha...
  4. Zanzibar-ASP

    MTAALA MPYA WA ELIMU: Kilio kipya kwa watoto wa maskini na janga la kizazi chao chote!

    Nimefanikiwa kuupitia muongozo wa mtaala mpya wa elimu hapa Tanzania ambao umezinduliwa hivi karibuni, na hichi ndicho nilichoweza kukiona kwa jicho la upeo. 1. Kwa mfumo wa elimu yetu kwa shule za serikali hauwezi kutekelezeka. 2. Hauna kipimo chochote MADHUBUTI cha kumpima mwanafunzi kila...
  5. Teko Modise

    Straika mpya wa Al Nassr, Jhon Duran atasafiri Kilomita 500 kila siku kwenda na kurudi mazoezini, kisa sheria hizi za Saudi Arabia kumbana

    Straika mpya wa Al Nassr, Mkolombia, Jhon Duran atalazimika kusafiri Kilomita 500 kila siku kwaajili ya kwenda na kurudi katika mazoezi yaa klabu yake hiyo mpya. Duran aliyesajiliwa kutokea Aston Villa, ataishi Bahrain na mpenzi wake kutokana na sheria za Saudi Arabia kukataza kuishi kinyumba...
  6. Mad Max

    Hizi Cruisers Mpya J300 na Prado J50 hakuna Manual Transmission. Sahivi na sisi Madereva wa Serikali tunaenjoy utamu wa Auto!

    Hatimae tumefikiwa. J250 Prado na J300 Cruisers zimekuja kazini na hakuna Auto, kuuliza wanasema hakuna model yenye manual transmission. J300 zimekuja za diesel zenye gear 10 zile za cc 3300 twin turbo V6. Prado zimekuja za 2.8L gear 8 diesel. Sasa mkono na mguu wa kushoto wacha vipumzike.
  7. TODAYS

    Kumbe tuna Ndege Mpya ya Rais na hamsemi ndugu Watanzania!?

    Zilianza kama tetesi: Tanzania yadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700. Yadhaniwa ni kwa matumizi ya Rais
  8. M

    Uongozi mpya CHADEMA wavuruga pesa

    Kwanini kikao kisifanyike makao makuu? Badala ya kufanya Bagamoyo?
  9. Mowwo

    DOKEZO Wizi mpya umeibuka jiji la Makonda Arusha ukihusisha jeshi la polisi. Mamlaka naomba zichukue hatua

    Wakuu, umeibuka wizi ambao ningependa kuwasilisha ili mamlaka husika ichukue hatua stahiki na kulinda heshima ya Jeshi la Polisi. Jana, tarehe 4/2/2025, majira ya saa 1 jioni, majirani zangu wawili walikuwa maeneo ya Njiro, Kata ya Lemara, mtaa wa Korongoni wakitembea kuelekea barabara ya East...
  10. Yoyo Zhou

    Mauzo ya tiketi za filamu katika sikukuu ya Mwaka Mpya wa China yaweka rekodi mpya na kunyakua nafasi ya kwanza duniani

    Takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Filamu ya China zinaonesha kuwa hadi kufikia Februari 3, mauzo ya tiketi za filamu katika kipindi cha sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa 2025 yamefikia yuan bilioni 8.02 na kuweka rekodi mpya ya kihistoria. Kwa mujibu wa takwimu hizo, filamu ya katuni...
  11. CARIFONIA

    Mwaka mpya unaanzia February

    Kwa ufupi mwaka wangu mpya umeanza rasimi tarehe moja ya February, ule mwezi wa kwanza ulikua ni mwezi wa majaribio. Leo nawapeni hizi codes ambazo utumiwa na mjambazi Ku survive mtaani Kanuni 10 za Majambazi za Kuishi Katika Vita vya Maisha Uaminifu ni Kila Kitu – Usimsaliti mtu...
  12. Mshana Jr

    Rekodi mpya: Majeshi 15 makubwa zaidi barani Afrika 2025

    Je! Unajua kuwa Misri ni moja ya majeshi 15 yenye nguvu zaidi ulimwenguni? Jeshi la Misri ni kubwa Mara 3-4 kuliko jeshi la Afrika Kusini 🇿🇦. 1. Misri 🇪🇬 2. Algeria 🇩🇿 3. Nigeria 🇳🇬 4. Afrika Kusini 🇿🇦 5. Ethiopia 🇪🇹 6. Angola 🇦🇴 7. Moroko 🇲🇦 8. DR Congo 🇨🇩 9. Sudan 🇸🇩 10. Libya 🇱🇾 11.Tunisia...
  13. Zirconium

    Je,Una Mapengo kinywani na hujui wapi utapata Suluhisho la kudumu !?

    Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa Mapengo . husababisha Meno mengine Kutoka .Meno Kuoza .Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia -Kutafuna Chakula Vizuri...
  14. Minjingu Jingu

    Video: Suala la Congo, Watutsi (Banyamulenge) na M23 lachukua sura mpya. Inachanganya sana

    Video kwa wale wasio na mihemko na wanaoelewa Kiingereza tu.
  15. Mlume ndagu

    TV Mpya vs. Mtumba: Ipi ni Bora kwa Bajeti ya Milioni 1.5

    Wataalamu wa mambo naomba msaada wenu katika uamuzi huu. Nina bajeti ya milioni 1.5 kwa ajili ya kununua TV, na leo nimezunguka madukani kutafuta chaguo bora. Katika maduka ya bidhaa mpya, nimepata TV mbili zinazovutia: Hisense 65A6K/N – UHD Smart 4K TCL UHD Smart 4K Zote zinauzwa kwa...
  16. petro matei

    Ushauri: Serikali ianze kuandaa Mifumo mipya ya Kodi za Magari, Pikipiki na Guta za Umeme

    Ifikapo mwaka 2030 Hadi 2035 vyombo vya usafiri vingi vitakuwa vinatumia UMEME hivyo utegemezi wa Kodi kupitia dizel na petrol kutakuwa si chanzo kizuri cha Kodi tena. Na pia Serikali ipunguze kutoa leseni za petrol station badala yake watoe leseni ya vituo vya kuuzia gesi haswa kwa dar na na...
  17. Carlos The Jackal

    Luhaga Mpina ataka Katiba mpya inayolinda Rasilimali za Nchi

    Adai wizi wa Rasilimali , Ufisadi na Uozo unaoendelea na matokeo ya Katiba yetu kua na matobotobo. Machawa wa Samia watamshambulia, wanasahau kua Tume ya Jaji Warioba, ilipendekeza KATIBA MPYA. Anakua Mwanasiasa wa kwanza kutoka CCM kuungana na mwenye Akili LISSU juu ya KATIBA MPYA.
  18. Yoda

    Ibrahim Traore ni Gaddafi mpya wa Afrika?

    Kama kuna kiongozi Africa aliyekuzwa, kutukuzwa na kusifiwa sana kwa propaganda za kila aina na uongo mwingi sana barani Africa basi ni Muamar Gaddafi. Huyu bwana aliimbiwa sifa zote kiasi kwamba ungeweza kufikiri aliifanya Libya sawa na peponi ila uhalisia ulikuwa ni tofauti kabisa, alipewa...
  19. R

    Tetesi: Nape Moses Nauye Katibu Mkuu mpya wa CCM, Pole pole Mwenezi huku Makongoro Nyerere akiwa RC Dsm

    Tunapoelekea uchaguzi mkuu safu mpya zinazokuja kuziba mapengo ni pamoja na Nape kuchukua nafasi ya Nchimbi huku Pole pole akirejea nchini kumsaidia Kazi Mzee Amos. Makongoro Nyerere anakwenda kuchukua jiji la DAR. Mzee Januari anarudi kusimamia Muungano
  20. Lord denning

    System ikishindwa kuipatia Tanzania Katiba Mpya sasa, miaka michache ijayo tutakuwa Failed State

    Sote tunaona! Kwa hali ilivyo sasa, endapo hatujapata Katiba Mpya sasa inayowawekea Viongozi wa kisiasa speed governor huku ikiweka nguvu kubwa kwenye mifumo ya nchi kuendesha na kuamua masuala ya msingi kuna wasiwasi mkubwa sana nchi yetu kuenda kuwa failed state miaka michache ijayo. Kwa...
Back
Top Bottom