mradi

  1. Ving'amuzi (speed limit) "ilikuwa" mradi wa kundi dogo la watu (CCM)

    Naomba ku-declare interest kuwa mimi ni mdau wa safari (abiria) wa mara kwa mara 75% nikiwa natumia bus. Niliwahi kuandika kuhusu "uhuni" wa kile kinachoitwa ving'amuzi kwenye mabasi. Leo hii mabasi mengi yaliyosajiliwa kuanzia 2020 hayajafungwa ving'amuzi au vipo na havifanyi kazi! Mabasi...
  2. M

    Mwananchi waomba radhi, wasema mchakato zabuni uuzaji mradi wa Dege waendelea

    Muktasari: Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba amesema thamani ya mfuko huo imeongezeka na kwamba, fedha za wanachama ziko salama. Dar es Salaam. Mchakato wa kumsaka mzabuni kwa ajili ya uuzaji wa mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni, Dar es Salaam...
  3. Mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya bil 17.5 wasainiwa jijini mbeya, barabara ya njia nne kuanza kujengwa upesi

    Katika harakati za Mh.rais Samia za kumtua mama ndoo kichwani, leo mradi mkubwa wa maji utakao maliza kabisa tatizo la maji jijini mbeya na viunga vyake umesainiwa mbele ya waziri wa maji Mh.Jumaa aweso huku mbunge wa jimbo hilo Dr. Tulia akidokeza kuwa ujenzi wa barabara ya njia nne kuanza...
  4. J

    Zabuni ya kuuza mradi wa Dege bado ipo katika mchakato

    Mkurugenzi Mkuu asema thamani ya Mfuko imeongezeka na fedha za wanachama zipo salama. Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Zabuni iliyotangazwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa ajili ya kuuza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni, Dar es Salaam, bado ipo katika mchakato...
  5. NSSF yakosa tena Mnunuzi wa Mradi wa Dege Kigamboni Mji Mpya

    Ikitimia miezi mitano baada Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kutangaza kuuza mradi wake wa Dege Eco Village uliogharimu Sh330 bilioni hadi sasa, hakuna mzabuni aliyefikia uwezo wa kununua mradi huo. Mradi huo uliopo mji mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam ulioanzishwa na mfuko huo...
  6. R

    Mke wa Dkt. Mwaka asema yuko tayari kumuachia Dkt. Mwaka kila kitu mradi apate amani

    Bi Queen apiga magoti na kusema anachohitaji zaidi yeye kwa sasa ni Amani, na kwamba yuko tayari kumuachia Mwaka kila kitu ili abaki na amani na kulea watoto wake. Amesema kuwa anatamani mwisho wao uwe na amani, na kama kuna chochote Dkt. Mwaka anakihitaji basi amwambia ni njia zipi apite...
  7. Bongo Nyoso: Lori la mradi wa SGR lamakatwa likitafutiwa mteja ili liizwe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora. Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza...
  8. DC wa Rungwe, Haniu amuagiza Mkandarasi kufanya kazi usiku na mchana kukamilisha mradi wa maji

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika chanzo cha maji Mbaka-Ikama kilichopo Kata ya Itagata Barabara ya Katumba – Mwakaleli. DC Haniu ameuagiza uongozi wa Mamlaka ya Maji Tukuyu Mjini (TUWASA) kuharakisha upanuzi wa chanzo hicho ili kutoa fursa ya kuhudumia zaidi ya...
  9. DOKEZO Mradi wa SGR wa Itigi - Tura tunapigwa, wafanyakazi pia hawalipwi maslahi yao inavyotakiwa

    Jamani wanaohusika naomba msimamie kwa ukaribu sana mradi wa SGR unaoanza Itingi mpaka Tura, mfatilie malipo ya Wafanyakazi kutolipwa mishahara yao na kunyimwa haki kibao za kikazi Kubwa zaidi na linaloumiza zaidi ukweli tunapigwa sana SGR hakuna ubora wowote Kwa ufupi SGR inalipuliwa na ubora...
  10. Kupanda kwa gharama za maisha kunachangiwa na Katiba Mbovu ya CCM. Vijana tutumie fursa ya mradi huu sasa

    Vijana wenzangu amkeni sasa, Maisha magumu, ukosefu wa ajira, kupanda kwa gharama za maisha na mambo mengine ya hovyo kabisa, chanzo chake ni KATIBA hii mbovu inayowanufaisha serikali ya CCM, viongozi wake na familia zao. Serikali ya CCM ni wanufaika wakubwa wa umasikini wetu na taabu nyingine...
  11. Mbunge Singida Mashariki, Miraji Mtaturu aishukuru Serikali kwa mradi wa SWASH

    MBUNGE SINGIDA MASHARIKI MHE. MIRAJI MTATURU AISHUKURU SERIKALI YA RAIS SAMIA KWA MRADI WA SWASH MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameishukuru serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka kiasi cha Shilingi Milioni 245,535,791.86 kwa ajili ya ujenzi wa vyoo...
  12. Napendekeza kuanzishwa mradi wa ‘Genomic Revitalisation’ kwa kanda maalum hapa nchini kwa ustawi wa jamii

    Kwanza niseme tu, sijaribu kukosoa kazi ya uumbaji wala kuzodoa watu kwa jinsi walivyoumbwa, maana hakuna mtu aliyechagua mwili wake na kutia saini kabla ya kuzaliwa, bali najaribu kuona jinsi tunavyoweza kufanya ‘mitigation measure’ / (Damage control). KAtika mradi huu, Ziainishwe kanda na...
  13. A

    Terms of Reference (ToR) inaandaliwa vipi katika mradi huu?

    Habari. Sina ujuzi ktk project Napenda kuelimishwa kwa lugha nyepesi. 1. Terms of reference ni nini unapotaka kuanzisha project. Project yangu inafocus kuanzisha kamati itayo organizing training for community leaders who are in position and immerging leaders.
  14. Arusha: Ongezeko kubwa la omba omba mjini, je ni mradi wa watu?

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na Ongezeko kubwa la omba omba katikati ya jiji la Arusha, kulinganisha na miaka miwili iliyopita. Miongoni mwa omba omba hao ni wazee, vipofu, viziwi walemvu wa miguu na mikono Watoto, na baadhi yao wanaojifanyisha ni walemavu. Hali hiyo imekuwa kero sehemu...
  15. Mkutano wa mjadala wa utekelezaji wa mradi wa uimarishaji ya miliki ya ardhi(land tenure improvement program)

    MKUTANO WA MJADALA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UHIMALISHAJI YA MILIKI YA ARDHI (LAND TENURE IMPROVEMENT PROGRAM) Tumefungua mkutano wa mjadala wa Utekelezaji wa Mradi wa uhimalishaji Salama ya Miliki za Ardhi yaani Land Tenure Improvement Program. Mradi huu unakwenda kupima, na kutambua Vipande...
  16. F

    Kupanda kwa nauli za mwendokasi: Mkakati wa kuboresha sekta ya usafirishaji wa umma utakaoleta matokeo mazuri katika usimamizi na uendeshaji wa mradi

    Kufuatia Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) kumtangaza bei mpya za nauli, nimeona mtazamo wa baadhi ya watu ukiwa kulekule vitu vinapanda bei sana. Kufuatia mtazamo wa namna hiyo nami nitachangia machache juu ya faida za kupanda kwa nauli za usafiri huo husasani katika suala zima la...
  17. Mradi wa Bomba la Maji la Mugango-Kiabakari-Butiama wakaguliwa na Kamati ya Bunge - Jimbo la Musoma Vijijini

    Jumamosi, 14.1.2023, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji ilikagua Mradi wa ujenzi wa miundombinu ya Bomba la Maji la Mugango-Kiabakari- Butiama. Gharama ya Mradi huu ni kubwa: ~ Tsh bilioni 70.5 kutoka Serikali ya Saudi Arabia (49.12%), BADEA (31.40%) na Serikali ya Tanzania...
  18. Mamlaka ziinglie kati Uendeshwaji wa Mradi wa (BRT) Mabasi Mwendokasi

    Ukiangalia the way huu mradi unavyoenda hasa kwenye kutoa huduma utagundua kuwa waafrica bila kusimamiwa na wazungu ni ngumu sana kujisimamia wenyewe. Nimetoka hapo kituo cha kivukoni now, abiria ni wengi sana, folen imezunguka kama mara tatu au 4. Ila cha ajabu hakuna magari yanayopakia, na...
  19. Serikali ya CCM imetutapeli Wavuvi pesa za mradi wa IFAD, mabilioni ya Samia YAYEYUKA

    Wanabodi, kama ilivyokuwa katika awamu ya mwisho ya Kikwete, vilianzishwa vikundi na vyama vya ushirika na kukopeshwa mamilioni ya shilingi bila riba. Baada ya utawala wa Magufuli kuingia, vikundi na vyama hivyo vya ushirika vikafutiliwa mbali na kutokomea na kodi zetu. Mchezo huo ni kama...
  20. J

    Aweso aridhishwa na utekelezaji wa mradi wa zaidi ya bilioni 23 Morogoro vijijini

    Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso (Mb), ameridhishwa na utekelwzaji wa Mradi wa Maji wa Morong’anya unatekelezwa na RUWASA Morogoro Vijijini. Mradi wa Maji Morong’anya ni miongoni mwa miradi mikubwa 2 ya maji iliyosanifiwa na watumishi wa RUWASA na inayoendelea kutekelezwa na ofisi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…