mradi

  1. J

    Kenya hii ni aibu, mnajengewa hadi vyoo na wazungu?

    Hii pengine inafanyika hata Tanzania sema sijswahi kuiona, nikiiona nitaisema Hii ni aibu wakuu, hii sio miradi ya kufadhiliwa na wazungu, tutazidi kudharaulika Mradi kama huu wananchi wanachangishwa tu fedha kidogo na unajengwa
  2. jitombashisho

    Ujenzi wa mradi wa barabara nane Kimara-Kibaha umekwama kwa sababu serikali haina pesa ya kumlipa mkandarasi?!

    Ukweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM. Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi! Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Ufisadi wa Sabaya: Mwenge wakataa mradi aliosimamia, Mabaunsa wake walikuwa Wajumbe wa Kamati

    Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa, Luteni Josephine Mwambashi amekataa kuweka Jiwe la Msingi kwenye Kituo cha Afya kilichopo wilayani Hai kwa madai kuwa ujenzi wa kituo hicho umegubikwa na rushwa. Awali katika hotuba ya ufunguzi ilielezwa kwamba aliyekua mkuu wa wilaya hiyo Lengai Ole Sabaya...
  4. J

    Anthony Mavunde aiomba Wizara ya Nishati kutoa matangazo ya fursa katika ujenzi wa Bomba la Mafuta-Hoima

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Antony Mavunde amempongeza Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa za kuharakisha utiaji saini wa Mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta la Hoima - Tanga. Maana Mradi huo utatoa ajira zaidi ya elfu kumi na tano (15,000) kwa Watanzania. Hivyo...
  5. kavulata

    Kufuga wamachinga mijini ni sawa na mradi wa kutengeneza mabomu

    Iko siku hao tunaowaita machinga watakuja kulikataa hilo jina Na kudai wapewe jina lingine Na wanasiasa. Sasa hivi neno wamachinga linatumika fuko kuukuu kubwa la kuwafichia vijana wasiokuwa Na ajira, wasiokuwa Na pembejeo za kilimo, wasiokuwa na zana za kuvulia wala maeneo ya kuchungia Mifugo...
  6. Sky Eclat

    Si kosa la jinai kusafiri na pesa ili mradi tu zisidi USD10,000

    Unaposafiri na kiwango kikubwa cha pesa ni lazima uwe na ushahidi wa chanzo cha pesa hiyo. Usisahau kuchukua pay slip au salary slip. Kwa usalama zaidi wengine wanachukua na copy ya mkataba wa ajira. Kuna wanaosafiri na USA$ 4,000 -5,000 si ajabu ni watu wamekupa uzifikishe nyumbani. Wengine...
  7. U

    Serikali ya Tanzania yakopa Dola Milioni 140 kujenga mradi wa kufua umeme wa Mto Malagarasi

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa mkopo wa dola za Marekani Milioni 140 (Tshs Bilioni 323) kutoka Benki ya maendeleo ya Afrika (AFDB) kwa ajili ya kugharamia Mradi wa ujenzi wa kufua umeme wa Mto Malagalasi Mkoani Kigoma. Mkataba huo wa mkopo umesainiwa na Katibu...
  8. kagoshima

    Vitambulisho vya machinga ulikuwa mradi wa nani? Kwanini ile hela haikukusanywa na TRA?

    Za asubuhi wadau, Uongozi wa hayati ulikua na mambo mengi yenye ukakasi. Mojawapo ni hili la kuwauzia wamachinga kitambulisho kisicho na utambulisho wowote wa anaye kimiliki. Manaake kitambulisho kingeweza kudondoka na kikaokotwa na kutumiwa na mtu mwingine. La kushangaza zaidi malipo ya hivi...
  9. Tanzania Railways Corp

    Mradi wa SGR Mwanza- Isaka

  10. Spiritual Man

    TANESCO mtusaidie kijiji hiki wasimamizi mradi wa REA wanatuibia sana

    Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Nikiwa kama muwakilishi wa wanakijiji wenzangu wenye uchungu,majonzi na masikitiko.Moja kwa moja nafikisha malalamiko kwenu shirika letu la umeme Tanzania TANESCO juu ya RUSHWA kubwa iliyotawala katika usimamizi wa mradi wa umeme wa rea...
  11. Nigrastratatract nerve

    Rais Samia ataenda tena kujitambulisha wapi? Sijasikia akizindua hata mradi mmoja

    Akiwa nchini Kenya, Rais Samia alieleza kuwa nia ya kuizuru Kenya mapema sana ilikuwa kujitambulisha kwa majirani kwa kuwa alikuwa "mpangaji mpya"! Leo akizungumza na wanaoitwa "wazee wa Dar es Salaam" amekariri tena ya kuwa ataendelea kuzuru nchi mbalimbali akitoa sababu ileile ya...
  12. MTV MBONGO

    Kwanini kila MRADI mkubwa wa barabara anayesimamia/anayejenga ni Mchina au raia wa Kigeni? Kweli Wabongo hatuwezi?

    Nimejiuliza Sana. Kila barabara zinazojengwa sasa, hukosi WACHINA au raia wengine wa Kigeni, ni kweli tuko hoi kiasi Hicho?
  13. C

    Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    UTANGULIZI Amini usiamini, wale wale ambao wamekuwa wakijivika uzalendo, linapokuja suala la Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ndiyo hao hao wanaotumikia Mabeberu bila wao kujijua! Nitajadili mada hii katika sehemu mbili:- Kwanini wale wanaoitwa Mabeberu hawawezi kuwa tayari kuona miradi kama ya...
  14. U

    Serikali ya Ubeligiji Yaipatia Serikali Ya Tanzania Euro Milioni 4 Kwa Ajili ya Mradi wa Maji Mkoani Kigoma

    Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma Katibu Mkuu wa...
  15. N

    Fursa Kwenye Mradi wa bomba la Mafuta - Hoima Kwenda Tanga

    Ndugu wadau.. Kutokana na fursa zilizopo kwenye ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima kwenda Tanga.. Naomba kupata uzoefu wenu kuweza kujua namna ya kuweza kushiriki kwenye hiyo keki.. Ninahusika na biashara za bima .... ambavyo najua kutakuwa na fursa mbalimbali za kushiriki kwenye mradi...
  16. RWANDES

    Shinyanga: Mradi wa Machinjio ya kisasa ya ng’ombe yaliyopo katika kata ya Ndembezi, umekwama kukamilika

    Naibu waziri Katambi amefanya ziara katika Machinjio ya kisasa ya ng’ombe yaliyopo katika kata ya Ndembezi na kuonesha kutoridhishwa na ujenzi wa machinjio hayo yenye gharama ya Shilingi Bilioni 5.57 ulioanza mwaka 2018 ukitarajiwa kukamilika mwaka 2019 lakini mpaka leo hauoneshi dalili yoyote...
  17. Premij canoon

    Nahitaji partner kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama (broiler)

    Salaaams wanajukwaa, poleni na majukumu. Kama heading inavyojieleza, Nahitaji partner wakushirikiana nae kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama ( BROILER ). Mabanda ni makubwa na ya kisasa, yenye uwezo wa kuingiza kuku (BROILER) 6000. Partner anahitajika aweke BROILER kuanzia 2000 kwa kuanzia...
  18. Marathon day

    Ubaguzi kwenye usaili Dodoma standard gauge

    Usaili mradi wa reli ya mwndo kasi ni shida, wanaofanya usaili na wako vizuri wanaondolewa na wanaingizwa wenye pesa na wanojulikana tu. Bila kujali mtu amekaa hapo zaidi ya wiki ametoka mbali ngarama zote mpaka vipimo juu yako halafu mtu anaambiwa amefeli arudi nyumbani, Serikali ingilieni...
Back
Top Bottom