Huu ndio ulikuwa mradi wa kwanza kabisa mkubwa na wa Uhakika wa Maji safi ya bomba Wilayani Kyela , ulianzia Kasumulu ukapita Lubele, Mbako, Kilasilo, Ibungu, Lupembe, Muungano, Ikolo hadi ziwani huko, kule upande wa pili ukipita Njisi (boda ya sasa), Isaki, Kabanga hadi Katumbasongwe.
Huu ndio...
Habari zenu wakuu,
Katika kutafuta mishe za kazi nimefikiria kutua mwanza kufatilia kazi kwenye mradi wa reli. Naombeni ushauri niende nikajitose au namna kwa sasa nipo Dsm.
Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi
Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
Leo katika kuzurura kwangu nikajikuta naelekea Masaki. Nikiwa ndani ya daladala nikajikuta tunapiga Kinondoni lililo bonde la Mkwajuni nimekuta magari yanapanua ule mto huku mengine yakichota mchanga na kupeleka upande wa pili ya barabara.
Je kuna mradi gani unawekwa pale?
Maisha ya Tanzania yamejawa na matukio leo uraiani kesho Serikalini kama sio huku basi itatokea Kanisani au kwenye Chama cha Siasa. Bahati mbaya mambo ya msingi hayatiliwi maanani kabisa. Hebu fikiria suala la Tozo za Miamala hatima yake haijulikani. Kama ulimsikia Spika wa Bunge utajua...
Kilimo cha biashara ni njia ya kujitoa katika umasikini. Mtaji katika kilimo hiki ni changamoto kubwa.
Wazo lililopo ni kuunganisha nguvu na ujuzi wa watu mbali mbali. Wahitimu wa kilimo, uhandisi, HR, accounts, marketing nk waungane na kuunda kampuni.
Eatafute eneo kuanzia heka 20, wa...
Huu mradi wa maji ya kuleta umeme wa nyerere tumekuwa tukidanganywa kila siku kuwa utakamilika June 2022, kitu ambacho c Cha kweli hata kidogo, pia tukidanganywa Mwezi wa 11 maji yataanza kujazwa kwenye bwawa huu ni uongo mkubwa, kwanini nasema hivo
1. Njia za kupeleka maji kwenye mashine...
Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE
Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM Ndio maana tunasema JPM rest in power
===
Viongozi wakuu wastaafu Rais Ali Hassan Mwinyi na Jakaya...
Siku chache kabla ya maadhimisho ya miaka 100 ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), China ilizindua kituo kikubwa cha kuzalisha umeme kwa nishati ya maji kilichoko Baihetan Kusini Magharibi mwa China. Kituo hicho ni moja ya miradi mikubwa ya umeme sio nchini China tu, bali pia duniani. Mradi...
30 June 2021
Dar es Salaam,
EU YATOA MAMILIONI KUSAIDIA MRADI WA ECO - FISH ZIWA VICTORIA
Mkurugenzi Wizara Ya Mifugo na Uvuvi Bwana Emmanuel M. Bulai akizungumzia kuhusu Mkutano wa Usimamizi wa raslimali za Uvuvi Ndani ya Ziwa Victoria unaosimamiwa na nchi tatu wanachama wa Jumuiya ya Afrika...
Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7.
Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika pamoja na uwezo wa kudadavua mambo mengi.
Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba...
Rais wetu kipenzi,
Kabla ya mambo kubadilika, kulikuwa na mpango mkakati wa ujenzi wa kiwanja cha ndege eneo la Omukajunguti mkoani Kagera. Huu mradi ulilenga kuziunganisha nchi za Afrika Mashariki, lakini si hivyo tu mama, kama umeenda Bukoba umeona ni jinsi gani ndege zinastrugle kutua katika...
Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Kumekuwa na makosa yanayojirudiarudia kila ajira zinapotangazwa. Ingawa kwasasa wamejitahidi sana kupunguza hilo, sijui ni mradi wa 'wakubwa' au ni makosa ya 'system'?.
Mosi, mtu mmoja kupata ajira mara mbili ndani ya miaka mitatu, katika sekta/kada...
Tunaomba radhi, tulipotoshwa na watu wenye chuki zao kwa sababu za kisiasa.
Kenya wamemaliza Lamu, sisi bado, tinaomba radhi sana maana tulifanya haya mambo kwa kulipwa matokeo yake tukakwamisha nchi.
Tunaomba radhi kwa Mama Samia, watanzania wote pia
#matege
Code-SSH-2025
Wazee tumekwisha rasmi. End of the game.
Bado ardhi tu, tubaki kuwa watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe.
China inalalamikiwa kote Duniani Kwa kufanya miradi inayowaumiza wazawa, sasa zamu yetu imefika rasmi.
Walau kwa hili, Magufuli tutamkumbuka mno. Hii bandari ina maslahi makubwa sana kwa...
Tunataka Miradi mingi katika taifa letu, Lakini tunataka miradi ambayo kiukweli italeta ukombozi wa maisha ya wananchi
Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi mkubwa na unaumhimu wake, Lakini kwa nini usiwe wazi?
kwa nini tunadhani JPM pamoja na aliyekuwa mgombea Uraisi kupitia Chadema 2015 mh...
Mei 2019 , Serikali ilisitisha mradi mkubwa wa Bagamoyo SEZ , Kiongozi wa chama Zitto Zuberi Kabwe aliandika makala akionesha umuhimu wa mradi huu na namna serikali ya awamu ya tano namna ambavyo haikuwa na uwelewa wa mradi huu na umuhimu wake kutokana na hoja zao za kipropaganda kwamba China...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali ipo katika mazungumzo ili kuweza kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo. Hayo ameyasema leo Tarehe 26, 06. 2021 wakati wa hotuba yake katika mkutano wa 12 wa baraza la biashara.
Rais Samia amesema pia hiyo itakwenda sambamba na mradi wa Mchumchuma...
Asasi ya Kiraia ya Okoa Mombasa ikishirikiana na Taasisi ya Uwajibikaji wa Kijamii (TISA) wameiburuza Serikali ya Kenya mahakamani kudai kuwekwa wazi kwa mikataba ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Mombasa - Nairobi ya Standard Gauge Railway (SGR).
Mashirika hayo mawili yanadai serikali iweke wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.