Mratibu wa Mradi wa Kuendeleza Elimu ya Ualimu (TESP), Mwl. Cosmas Mahenge, ameelezea mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia mradi huo, ikiwemo ongezeko la vitabu na vifaa vya kujifunzia na kufundishia kwa wakufunzi na wanafunzi.
Aidha, ameeleza kuwa Mradi huo umewezesha ujenzi na ukarabati...