mrefu

Mrefu Farm is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Wapenzi mkikaa pamoja kwa muda mrefu kuna kitu mtafanana, je wewe umefanana nini na mpenzi wako?

    Wapenzi mkikaa muda mrefu kuna vitu mtafanana sababu ya kuigana tu ambako kunatokea automatically. Mfano mke wangu ameiga kabisa maneno nnayotumia kuwagombeza watoto wakikosea, akiwa peke yake labda seblen mie nipo nje au chumbani utasikia anatumia hayohayo maneno nnayotumiaga mimi. Vile vile...
  2. G

    Let's be honest: Kwanini upo/ uliwahi kuwa single kwa muda mrefu?

    Nakumbuka nikiwa chuoni hadi nikawa najiulizaga mwenyewe nakosea wapi mpaka nakuwa single ? Yani nilikuwa naona wivu sana wenzangu wanavyoleta madem zao huku mimi nabaki kupigwa excile, kusifia shem huku roho inauma, n.k. Niliona naweza kumaliza chuo kwa usingle Nikaja kugundua kwamba nipo...
  3. Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

    Wana JF ningependa tulikunjue hili jamvi pamoja ase! Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?
  4. Kuugua mafua kwa muda mrefu hupekekea kuziba kwa mishipa?

    Je kuugua Mafua na kikohozi kwa muda mrefu Mara kwa Mara huweza kusababisha kuziba kwa baadhi ya mishipa na kusababisha mtu kupata tatizo la kutosikia vizuri?
  5. O

    Miguu kupata ganzi wakati wa kukaa muda mrefu

    Wanabodi habari za mchana. Nimepata tatizo la kupata ganzi katika miguu wakati wa kukaa especially wakati wa kujisaidia katika choo cha kukaa!nikiinuka nakua napata ganzi sana! Naomba msaada kujua tatizo linaweza kuwa nn? Dr Ahmed Albah-Shahwa na Madr wengine msaada.
  6. Ni kwanini Wanaotembea umbali mrefu kwa Miguu au wafanya Mazoezi ya Kutembea kwa Miguu hufaidika na yafuatayo?

    1. Hawazeeki upesi 2. Huwa ni Wakakamavu 3. Hawaugui hovyo 4. Huishi muda mrefu 5. Upumuaji wao (siyo Kujamba) huwa mzuri 6. Miili yao huwa na Mvuto 7. Uwezo wa Akili huongezeka Nayasubiri kwa bashasha zote Majibu yenu ili basi nami GENTAMYCINE kuanzia Kesho nianze Ratiba ya kutafuta kwa...
  7. Changamoto ya maji wilaya ya Handeni mkoani Tanga ulikuwa mtaji wa kisiasa. Mradi wa htm ni taa ya giza la muda mrefu

    Anaandika Almaliki Mokiwa Februari 28, 2024. Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ni eneo lenye 6,534 km² lililopakana na Wilaya ya Kilindi upande wa Magharibi, Wilaya ya Korogwe na mkoa wa Kilimanjaro kwa upande wa Kaskazini huku likipakana na wilaya ya Pangani kwa Upande wa Mashariki na Mkoa wa...
  8. O

    Nikikaa muda mrefu napata ganzi za miguu

    Salam wadau wa afya, Nimepata tatizo kwa muda wa week tatu sasa, nikikaa muda mrefu mfano choo cha kukalia nikikaa kwa muda napata kusikia ganzi miguuni. Inaeza kuwa inasababishwa na nn?
  9. Yemen chini ya Houth yataja mikakati yake ya kupigana na Marekani kwa muda mrefu

    Marekani haikujua kuwa wamechokoza adui ambaye anaweza akawaletea kusalimu amri kwa mara nyengine kama ilivyotokea kule Vietnam na Afghanistan. Wapiganaji wa Houth wamesema wana mikakati endelevu ya kupigana na Marekani mpaka pale Israel itakapoacha uadui na Palestina. Mikakati iliyotajwa na...
  10. Binadamu anaponzwa na matumaini ya muda mrefu

    Kila mwanadamu huwa na matumaini kwamba hakika yeye bado ana mda mrefu wa kuishi duniani,na kwamba uzima wake na afya yake nzuri ndio viashiria ambavyo humuaminisha kwamba yeye bado yupo yupo kwanza. Ukitaka uamini hili ninalosema ebu msikie huyu mtu ikiwemo mimi na wewe mara tunapo sikia...
  11. Mbunge Asya Sharif Omar: Kukaimisha Watimishi Muda Mrefu Kunaondoa Ufanisi

    Mbunge Asya Sharif Omar: Kukaimisha Watimishi Muda Mrefu Kunaondoa Ufanisi Mbunge Asya Sharif Omar amesema ipo changamoto kwa wizara ya Maji watumishi wake ngazi ya Wakurugenzi na wakuu wa vitengo kukaimishwa kwa muda mrefu katika nafasi walizopo. Akichangia hoja ya Kamati ya Kudumu ya Bunge...
  12. Bandarini meli zinachukua muda mrefu kuliko kawaida

    Hili suala la Bandari tatizo tumeingiza sana siasa ndani yake lakini Meli inaweza fika Dar mapema ikacheleweshwa kupangiwa siku ya kushusha mzigo kiasi kwamba kufika inaweza chukua wiki 2 au 3 halafu ikasubiri tena wiki 3 hadi 4 kupangiwa kushusha mzigo. Tanzania jamani sijui ni nani katuloga...
  13. G

    Ni kitu gani kimewahi kukutesa kwa muda mrefu ukiachana na mahusiano ama kumpoteza mtu?

    Kwenye maisha kuna kipindi unakuta unapitia machungu kama vile Kufirisika / kufulia Uraibu uliokurudisha sana nyuma kiuchumi mfano kubeti, ulevi, n.k. Matatizo na vyombo vya sheria mfano kesi za mahakamani, Mapolisi kukusumbua, n.k. Kurogwa - Hatupaswi kuuamini ila haya mambo yapo hata kwenye...
  14. M

    Anayefaham hotpot ambazo zinatunza joto Muda mrefu

    Habari wadau, Naombeni mnifahamishe ikiwezekana tupia Na picha ya hotpot ambazo zinatunza joto muda mrefu hotpot nazokumbana nazo zinapoza haraka chakula
  15. Reaction za mtu mkimya zina madhara sana tofautisha mtu mkimya na mpole, kuna jambo gumu na zito litatokea muda si mrefu stay tuned kuna upande utalia

    Ogopa Sana kuishi na mtu mkimya asiye na maneno mengi watu wa aina hii huwa ni wavumilivu Sana na pia huwa na mioyo ya upendo lakini huwa hawapendi dharau Watu hawa wakigundua una wadharau kitakachokuokoa usiwadhalilishe hadharani ila wakigundua kwamba unawadhalilisha hadharani na wakianza...
  16. Netanyahu na Rais Biden hawasemezani kwa muda mrefu sasa. Sababu ni vita vya Gaza

    Vita vya Israel na Palestina vinazidi kutoa matokeo hasi na ambayo hayakutarajiwa kabisa. Mataifa rafiki na ya kiislamu yameanza kutofautiana na kuanza kupigana yenyewe mfano ni Iran na Pakistan na Iran kupiga ndani ya Syria na Iraq bila hofu ikiwinda vikundi vinavyofadhiliwa na Israel. Hata...
  17. Msajili: Vyama vya Siasa vinatakiwa kufanya uchaguzi wa viongozi kama Sheria inavyowataka na kuepuka kukaa muda mrefu bila uchaguzi

    Wanaukumbi. Vyama vya siasa ambavyo muda wa ongozi wa viongozi wake unakaribia kuisha, vinakumbushwa kufanya uchaguzi wa viongozi wake kabla ya muda huo kuisha..
  18. Hatimaye Anjela atimiza ndoto yake ya muda mrefu, Zuchu akubali kufanya nae kazi

    Kila mtu ana ndoto zake na malengo yake. Anjela msanii aliyekuwa konde gang wakashindwa kumpa huduma muhimu akasepa, ndoto yake kubwa ni kufanya kolabo na msanii wa kike namba moja east africa Zuchu. Leo baada ya kuelezea namna atafurahi akitimiza ndoto yake hii, Zuchu alimpa go ahead ya...
  19. Hatimaye Samia amejipata baada ya kujitafuta kwa muda mrefu

    Safi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji. Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha. Nasubiri...
  20. Msikiti wa Al Aqsa utavunjwa muda si mrefu

    Maandalizi ya ujenzi wa hekalu la Suleiman uko tayari. Vifaa, budget vyote viko tayari Hekalu hili litajengwa eneo ambalo sasa hivi kuna msikiti wa Alqsa. Utaratibu wa ujenzi utafanyika baada ya eneo hilo kutakaswa. Katika desturi za wa Israel eneo hilo hutakaswa kwa kutumia majivu ya ng'ombe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…