Wapenzi mkikaa muda mrefu kuna vitu mtafanana sababu ya kuigana tu ambako kunatokea automatically.
Mfano mke wangu ameiga kabisa maneno nnayotumia kuwagombeza watoto wakikosea, akiwa peke yake labda seblen mie nipo nje au chumbani utasikia anatumia hayohayo maneno nnayotumiaga mimi. Vile vile...
Nakumbuka nikiwa chuoni hadi nikawa najiulizaga mwenyewe nakosea wapi mpaka nakuwa single ? Yani nilikuwa naona wivu sana wenzangu wanavyoleta madem zao huku mimi nabaki kupigwa excile, kusifia shem huku roho inauma, n.k. Niliona naweza kumaliza chuo kwa usingle
Nikaja kugundua kwamba nipo...
Je kuugua Mafua na kikohozi kwa muda mrefu Mara kwa Mara huweza kusababisha kuziba kwa baadhi ya mishipa na kusababisha mtu kupata tatizo la kutosikia vizuri?
Wanabodi habari za mchana.
Nimepata tatizo la kupata ganzi katika miguu wakati wa kukaa especially wakati wa kujisaidia katika choo cha kukaa!nikiinuka nakua napata ganzi sana!
Naomba msaada kujua tatizo linaweza kuwa nn?
Dr Ahmed Albah-Shahwa na Madr wengine msaada.
1. Hawazeeki upesi
2. Huwa ni Wakakamavu
3. Hawaugui hovyo
4. Huishi muda mrefu
5. Upumuaji wao (siyo Kujamba) huwa mzuri
6. Miili yao huwa na Mvuto
7. Uwezo wa Akili huongezeka
Nayasubiri kwa bashasha zote Majibu yenu ili basi nami GENTAMYCINE kuanzia Kesho nianze Ratiba ya kutafuta kwa...
Anaandika Almaliki Mokiwa
Februari 28, 2024.
Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ni eneo lenye 6,534 km² lililopakana na Wilaya ya Kilindi upande wa Magharibi, Wilaya ya Korogwe na mkoa wa Kilimanjaro kwa upande wa Kaskazini huku likipakana na wilaya ya Pangani kwa Upande wa Mashariki na Mkoa wa...
Salam wadau wa afya,
Nimepata tatizo kwa muda wa week tatu sasa, nikikaa muda mrefu mfano choo cha kukalia nikikaa kwa muda napata kusikia ganzi miguuni.
Inaeza kuwa inasababishwa na nn?
Marekani haikujua kuwa wamechokoza adui ambaye anaweza akawaletea kusalimu amri kwa mara nyengine kama ilivyotokea kule Vietnam na Afghanistan.
Wapiganaji wa Houth wamesema wana mikakati endelevu ya kupigana na Marekani mpaka pale Israel itakapoacha uadui na Palestina.
Mikakati iliyotajwa na...
Kila mwanadamu huwa na matumaini kwamba hakika yeye bado ana mda mrefu wa kuishi duniani,na kwamba uzima wake na afya yake nzuri ndio viashiria ambavyo humuaminisha kwamba yeye bado yupo yupo kwanza.
Ukitaka uamini hili ninalosema ebu msikie huyu mtu ikiwemo mimi na wewe mara tunapo sikia...
Mbunge Asya Sharif Omar: Kukaimisha Watimishi Muda Mrefu Kunaondoa Ufanisi
Mbunge Asya Sharif Omar amesema ipo changamoto kwa wizara ya Maji watumishi wake ngazi ya Wakurugenzi na wakuu wa vitengo kukaimishwa kwa muda mrefu katika nafasi walizopo.
Akichangia hoja ya Kamati ya Kudumu ya Bunge...
Hili suala la Bandari tatizo tumeingiza sana siasa ndani yake lakini Meli inaweza fika Dar mapema ikacheleweshwa kupangiwa siku ya kushusha mzigo kiasi kwamba kufika inaweza chukua wiki 2 au 3 halafu ikasubiri tena wiki 3 hadi 4 kupangiwa kushusha mzigo.
Tanzania jamani sijui ni nani katuloga...
Kwenye maisha kuna kipindi unakuta unapitia machungu kama vile
Kufirisika / kufulia
Uraibu uliokurudisha sana nyuma kiuchumi mfano kubeti, ulevi, n.k.
Matatizo na vyombo vya sheria mfano kesi za mahakamani, Mapolisi kukusumbua, n.k.
Kurogwa - Hatupaswi kuuamini ila haya mambo yapo hata kwenye...
Habari wadau,
Naombeni mnifahamishe ikiwezekana tupia Na picha ya hotpot ambazo zinatunza joto muda mrefu hotpot nazokumbana nazo zinapoza haraka chakula
Ogopa Sana kuishi na mtu mkimya asiye na maneno mengi watu wa aina hii huwa ni wavumilivu Sana na pia huwa na mioyo ya upendo lakini huwa hawapendi dharau
Watu hawa wakigundua una wadharau kitakachokuokoa usiwadhalilishe hadharani ila wakigundua kwamba unawadhalilisha hadharani na wakianza...
Vita vya Israel na Palestina vinazidi kutoa matokeo hasi na ambayo hayakutarajiwa kabisa.
Mataifa rafiki na ya kiislamu yameanza kutofautiana na kuanza kupigana yenyewe mfano ni Iran na Pakistan na Iran kupiga ndani ya Syria na Iraq bila hofu ikiwinda vikundi vinavyofadhiliwa na Israel.
Hata...
Wanaukumbi.
Vyama vya siasa ambavyo muda wa ongozi wa viongozi wake unakaribia kuisha, vinakumbushwa kufanya uchaguzi wa viongozi wake kabla ya muda huo kuisha..
Kila mtu ana ndoto zake na malengo yake.
Anjela msanii aliyekuwa konde gang wakashindwa kumpa huduma muhimu akasepa, ndoto yake kubwa ni kufanya kolabo na msanii wa kike namba moja east africa Zuchu.
Leo baada ya kuelezea namna atafurahi akitimiza ndoto yake hii, Zuchu alimpa go ahead ya...
Safi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji.
Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha.
Nasubiri...
Maandalizi ya ujenzi wa hekalu la Suleiman uko tayari. Vifaa, budget vyote viko tayari
Hekalu hili litajengwa eneo ambalo sasa hivi kuna msikiti wa Alqsa.
Utaratibu wa ujenzi utafanyika baada ya eneo hilo kutakaswa. Katika desturi za wa Israel eneo hilo hutakaswa kwa kutumia majivu ya ng'ombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.