Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Huu ushahidi wa mwezi wa 4 Waziri akisema atakuja ponda ponda kichwa cha nyoka baada ya kumaliza vidagaa vyake.
Iran inafanya biashara kubwa ya mafuta na chinaNani anayeisponsor Iran maana na yenyewe imefungiwa kiuchumi KWA vikwazo vingi