DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
14,241
Reaction score
40,752
DC Albert Msando amesema Askofu Gwajima ajitokeze kutoka huko alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea. Amesema kama Askofu Gwajima hana makosa ni kwa nini anawaogopa polisi.

View attachment 3356498
Anawaogopa polisi kwa sababu ni watekaji na wauaji, siku hizi polisiccm wamegeuka kuwa mumiani ukiingia mikononi mwao ni sawa na kukutana na israili.
 
Back
Top Bottom