DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

Mathayo 4 : 6

6 Ndipo Ibilisi akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa kuwa imeandikwa, ‘Atawaagiza malaika wake wakuhudumie,’ na, ‘Watakuinua juu mikononi mwao ili usijikwae mguu wako kwenye jiwe.’ ”

Maswali kama hayo huwa yanaulizwa na Maibulisi ili yakuingize mkenge.
 
Daa hadi msando anaongelea hili wakati majibu ya mwenyekiti wake ameyasikia .........gwaji boy ametoa hoja ............badala ya kujibiwa mwenyekiti amechamba kama alikuwa kwenye kibao kata..........sasa hapo unafikiri nini zaidi ya gwaji boy kuchutama.................maana wanapoelekea ni matusi na si hoja...........yule anatumiwa polisi kukamatwa au unamwandikia barua aje ofisini ?? Yule si mbunge Mheshimiwa wa kuchaguliwa na wananchi sasa mbona kama mmevuka mipaka kumvamia kama machinga wa mitumba pale karume?? Tumieni hekima hivyo vyeo hamzikwi navyo...........ukitaka sikia usipotaka pia sikia..........tukutane oktoba
 
Ndiyo maana wananchi tulivikataa hivi vyeo vya kipumbavu vya ukuu wa Mikoa na Wilaya. Sasa huyo Gwajima akiamua kujificha, yeye inamhusu nini?
 
Kumbe Gwajima amejificha?
Kwani kuna kosa amefanya?
Wenye kujua sheria wajitokeze waseme kama G anakosa
Kama hawamtafuti kwa nini wadai amejificha?

Na kama wanamtafuta kwa nini wamtafute bila kosa?

Tumeshapata taarifa namna sheria ilivyokiukwa kulifunga kanisa lake.

Je kujiweka kifua mbele kwa hali iliyopo hivi sasa angelisalimika?

Ungelikuwa ni wewe ungelijiexpose?
 
Mathayo 4 : 6

6 Ndipo Ibilisi akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa kuwa imeandikwa, ‘Atawaagiza malaika wake wakuhudumie,’ na, ‘Watakuinua juu mikononi mwao ili usijikwae mguu wako kwenye jiwe.’ ”

Maswali kama hayo huwa yanaulizwa na Maibulisi ili yakuingize mkenge.
Yaani ubaki tuu kisa huna kosa,mtari huu ni Muhimu!
 
Kajificha ni kwa sababu anajua watawala wa hizi nchi za Africa hawatanii wanakufanyia kitu mbaya na akuna kitu watafanywa.
Hapo utakuta wao ndio wanammiliki kwa sasa halafu wanasema kajificha, wahuni sio watu, huyo msando mwenyewe muhuni tu anashika nyeti za watu hadharani.
 
DC Albert Msando amesema Askofu Gwajima ajitokeze kutoka huko alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea. Amesema kama Askofu Gwajima hana makosa ni kwa nini anawaogopa polisi.

View attachment 3356498
hawaogopi police.kwa nini wale walikamatwa kotea kenya walikamatwa na nani? what happened to them?
kama wangekabidhiwa kwa balozi wa nchi zile kungetokea nini?
 
Askofu feki katoroka akiwa kavaa boksa kifua wazi
siyo feki kewa sababu alitoroka.Hata Yesu kuna kipindi aliwatoroka waliyotaka kumuua:

Yohana 10:38-40​

38 Lakini kama nafanya anayofanya Baba, mnapaswa kuyaamini ninayoyafanya. Mnaweza msiniamini mimi, lakini muamini yale ninayotenda. Ndipo mtakapofahamu na kuelewa kwamba Baba yumo ndani yangu nami nimo ndani ya Baba.”

39 Walijaribu kumkamata Yesu tena, lakini yeye akawatoroka.

40 Kisha akarejea tena kwa kuvuka Mto Yordani hadi sehemu ambapo Yohana alipoanzia kazi ya kubatizia watu. Yesu akakaa huko,
 
Yeye ni nani asitoroke!
 
Back
Top Bottom