DC Msando huelewi nini?
Aeleze kitu gani kilichotokea?
Nyie wafunga makanisa, wazua watu kuabudu Mungu ndo elezeni nini kimetokea hadi mnazuia watu kuombea taifa na kumwombea Tundu Lissu na wengine walio kwenye madhila ya utawala wa Jezebel..
Mchungaji na Askofu, ratiba yake ni maombi ya siku 7 (Seven days uninterrupted fasting and prayers) kuanzia tarehe 2 - 8/6/2025 na alipo haruhusiwi polisi au kiongozi yeyote wa serikali ya kidunia kusogea hadi atakapomaliza mission hiyo...
Baada ya hapo, straight na mchana kweupe tutakwenda naye Kwa ofisi ya RPC Afande Muliro kusikiliza ujumbe wake alio nao
Kwa hiyo, DC wewe si saizi ya Gwajima. Tuliza makalio yako, endelea na shughuli zako