DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

Hii ni aibu ya mwaka serikali mkono wake mrefu ila imeshindwa kujua chimbo alilopo Askofu Gwajima mpaka Leo wanahaha t

Hivi ni kweli serikali ina mkono mrefu au ndio mkono wa mbilikimo maana Gwajima anatamba tu na hamna mnalomfanyaa kweli gwaji boy ni moto wa kuotea mbali anaogopeka vibaya sana
 
Hii ni aibu ya mwaka serikali mkono wake mrefu ila imeshindwa kujua chimbo alilopo gwajima mpaka Leo wanahaha tu hivi ni kweli serikali inamkono mrefu au ndio mkononwa mbilikimo maana gwajima anatamba tu na hamna mnalomfanya
Anatafutwa?
 
ni nani anamhitaji gwajima gentleman? anatafuta kiki ya kijinga sana dah!

na mbona amejificha kichwa tu mgongo uko wazi?Tz unajificha wapi ikiwa unahitajika?🐒
 
Hii ni aibu ya mwaka serikali mkono wake mrefu ila imeshindwa kujua chimbo alilopo gwajima mpaka Leo wanahaha tu hivi ni kweli serikali inamkono mrefu au ndio mkononwa mbilikimo maana gwajima anatamba tu na hamna mnalomfanya
Kuna mengi yanaendelea, kuliko Yale unayoyaona,
Hili swala la gwaji boy, linaweza likawa kiinimacho kimetengenezwa na ccm, kwanini!?
Swala la Lisu na mateso ya kutisha waliofsnyiwa wanaharakati wa Ug na Kenya, limeleta joto Kali Sana kwa samia na ma ccm wenzake, sasa ili kupunguza ukali wa hayo Mambo katika kujadiliwa Sana, inability itengenezwe "bongo muvi" ndio hili swala la gwaji sasa!
Sasa hv watu wanamuongelea gwajima kuliko Lisu,
Kesho utasikia Mond kamuacha Zuchu, Zuchu kaondoka wasafi kaenda kwa Kings music!
 
Acha ujinga wapi serkali ikisema inatafuta gwajima ,msimpe umuhimu wa namna hiyo.

Ussr
 
Kuna mengi yanaendelea, kuliko Yale unayoyaona,
Hili swala la gwaji boy, linaweza likawa kiinimacho kimetengenezwa na ccm, kwanini!?
Swala la Lisu na mateso ya kutisha waliofsnyiwa wanaharakati wa Ug na Kenya, limeleta joto Kali Sana kwa samia na ma ccm wenzake, sasa ili kupunguza ukali wa hayo Mambo katika kujadiliwa Sana, inability itengenezwe "bongo muvi" ndio hili swala la gwaji sasa!
Sasa hv watu wanamuongelea gwajima kuliko Lisu,
Kesho utasikia Mond kamuacha Zuchu, Zuchu kaondoka wasafi kaenda kwa Kings music!
Kama ni hivyo hata la lisu linaweza kuwa kiini macho tu
 
Back
Top Bottom