DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

Hii ni aibu ya mwaka serikali mkono wake mrefu ila imeshindwa kujua chimbo alilopo gwajima mpaka Leo wanahaha tu hivi ni kweli serikali inamkono mrefu au ndio mkonono wa mbilikimo maana gwajima anatamba tu na hamna mnalomfanyaa kweli gwaji boy ni moto wa kuotea mbali anaogopeka vibaya sana
Mkuu, Gwaji si wa kwanza kutojulikana alipo. Kuna ambao mpaka dau la kujua walilipo lilitolewa.
 
Hii ni aibu ya mwaka serikali mkono wake mrefu ila imeshindwa kujua chimbo alilopo gwajima mpaka Leo wanahaha tu hivi ni kweli serikali inamkono mrefu au ndio mkonono wa mbilikimo maana gwajima anatamba tu na hamna mnalomfanyaa kweli gwaji boy ni moto wa kuotea mbali anaogopeka vibaya sana
Gwajima Yuko mbele miaka 2, you think alikurupuka ?
 
Kuna mengi yanaendelea, kuliko Yale unayoyaona,
Hili swala la gwaji boy, linaweza likawa kiinimacho kimetengenezwa na ccm, kwanini!?
Swala la Lisu na mateso ya kutisha waliofsnyiwa wanaharakati wa Ug na Kenya, limeleta joto Kali Sana kwa samia na ma ccm wenzake, sasa ili kupunguza ukali wa hayo Mambo katika kujadiliwa Sana, inability itengenezwe "bongo muvi" ndio hili swala la gwaji sasa!
Sasa hv watu wanamuongelea gwajima kuliko Lisu,
Kesho utasikia Mond kamuacha Zuchu, Zuchu kaondoka wasafi kaenda kwa Kings music!
No no thank you
Kwa suala la Gwajima sio km unavyodhani!

Wanaojua Taifa liko nyakati Gani wanaelewa zaidi nn kinaendelea,
😷acha niishie hapa
 
ni nani anamhitaji gwajima gentleman? anatafuta kiki ya kijinga sana dah!

na mbona amejificha kichwa tu mgongo uko wazi?Tz unajificha wapi ikiwa unahitajika?🐒
Kumbe wana uwezo wa kumkamata yeyote wakimtafuta sio? Sasa mbona walio mshambulia Lissu mwaka wa 7 huu hawashikwi? Au kwa vile mkono wa kulia hauwezi kushika wa kushoto? Mdude, Soka na waliomuua Kibao hawawashiki ina maana wanawajua ila ni wenzao?
Siku nchi hii ikikombolewa yatajulikana mengi na watu wata zimia kwa yatakayo ibuliwa na wanaccm uchwara watakufa kabisa kwa mshangao maana hawaamini kuwa hilo dude ni Lucifer mwenyewe
 
Hii ni aibu ya mwaka serikali mkono wake mrefu ila imeshindwa kujua chimbo alilopo gwajima mpaka Leo wanahaha tu hivi ni kweli serikali inamkono mrefu au ndio mkono wa mbilikimo maana gwajima anatamba tu na hamna mnalomfanyaa kweli gwaji boy ni moto wa kuotea mbali anaogopeka vibaya sana
Dogo Yuko mikono salama.
Na hata wakitaka kumpoteza kama kweli Kuna kupotezana kama sio kiki tu, basi ni rahisi maana hakutakua na mshukiwa.
 
Kumbe wana uwezo wa kumkamata yeyote wakimtafuta sio? Sasa mbona walio mshambulia Lissu mwaka wa 7 huu hawashikwi? Au kwa vile mkono wa kulia hauwezi kushika wa kushoto? Mdude, Soka na waliomuua Kibao hawawashiki ina maana wanawajua ila ni wenzao?
Siku nchi hii ikikombolewa yatajulikana mengi na watu wata zimia kwa yatakayo ibuliwa na wanaccm uchwara watakufa kabisa kwa mshangao maana hawaamini kuwa hilo dude ni Lucifer mwenyewe
nani anamhitaji gwajima hata akamatwe gentleman?

hayo matukio mengine hayahusiani kabisa gentleman 🐒
 
Serikali yenyewe ni pande mbili wengine hawapendi kabisa huu utekaji na mauaji wamo ndani ya mfumo.
 
Back
Top Bottom