DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

Kama ni hivyo hata la lisu linaweza kuwa kiini macho tu

Watu wanazani nchi inaongozwa kama disco.

Yaani ucheze movies inayo damage your government reputation, Movies inayo ku vua uchi kua wewe unabatiki Watekaji na wanyanyasaji.

No one will choose that way no wonder the results
 
Hii ni aibu ya mwaka serikali mkono wake mrefu ila imeshindwa kujua chimbo alilopo gwajima mpaka Leo wanahaha tu hivi ni kweli serikali inamkono mrefu au ndio mkono wa mbilikimo maana gwajima anatamba tu na hamna mnalomfanyaa kweli gwaji boy ni moto wa kuotea mbali anaogopeka vibaya sana
Kwani Gwajima ni muhalifu anayetafutwa?
 
Watu wanazani nchi inaongozwa kama disco.

Yaani ucheze movies inayo damage your government reputation, Movies inayo ku vua uchi kua wewe unabatiki Watekaji na wanyanyasaji.

No one will choose that way no wonder the results
Ndio maana nikakuambia basi hata ya lissu ni danganya toto
 
Inaweza kujua alipo kwa IP yake lakini wasiweze kumfikia.
 
Mbona nayo inakiri kuwa Kuna wasiojulikana?
Mkono mrefu bwana.
 
Hii ni aibu ya mwaka serikali mkono wake mrefu ila imeshindwa kujua chimbo alilopo gwajima mpaka Leo wanahaha tu hivi ni kweli serikali inamkono mrefu au ndio mkono wa mbilikimo maana gwajima anatamba tu na hamna mnalomfanyaa kweli gwaji boy ni moto wa kuotea mbali anaogopeka vibaya sana
Labda Gwajiboy ndo mkono wenyewe, utajuaje!
 
Mbilikimo!
images - 2025-06-06T140520.400.jpeg
 
Hahaha eti mkono mrefu
Labda wa kuweza kufikia korodani na kujikuna! Si wangemfikia Mdude huko alikofichwa? Au wote waliopotea maana nchi zingine hata aliye uawa akaxikwa wanaenda mpaka alipofukiwa
 
Back
Top Bottom