exalioth
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 2,395
- 4,152
Gwaji boy alipenyezewa taarifa mapema akasepa usifikiri humo kwa wenye mamlaka hakuna anaeungana na jasusi la mbinguniGwaji boy aliwezaje kutoka pale kwa ule wingi wa Polisi waliozagaa pale kanisani ? [emoji2]
kama tu ndani ya selikali kuna wanaompa taarifa kimambi aje akoswe gwaji boy taarifa ya nini kinaendelea
Unaambiwa jasusi lilijirekodi eti nipo kanisani saa tano za usku tumezingilwa na polisi kumbe hakuna lilisepa mapema ndipo likaenda kujirekodi kwingine na maaskofu feki