Sabah al kheir,
Naam, ni kuhusu yule mtu mzima mwenzangu ambaye nilimuomba ushauri. Wengi wenu mliniambia nijitose. Basi, nikampa maneno matamu ya kiutu uzima... lakini hakukubali wala hakukataa, akapiga kimya.
Zikapita siku kadhaa nikiwa naendelea kutafakari, huku nikiwa na hofu. Wasiwasi...