mrejesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wilhelm Johnny

    MREJESHO KUHUSU YULE BINTI NILIOMBA MSAADA

    Wakuu nilikuja kuomba msaada hapa kuhusu yule binti mwenye jini mahaba eee bwana nilifanikiwa kumtafuna kweli na wala hakupandisha hayo majini yake kitu kilichofanya nihisi alikua ananiigizia japo aliniambia kuna dawa anatumiaga. Utata unakuja anapokomaa mimi ni mwanaume wake wa kwanza kukutana...
  2. mcrounmj

    Mrejesho biashara ya madini 'third season'

    Salam zangu na zisambae kwenu nyote. Matumaini yangu mu buheri wa afya tele, na hata walioteteleka mwenyezi Mungu awajaalie wepesi wa kupona haraka. Ahadi ni deni. Nami tangu nimeanza mbio zangu za kibiashara kwenye madini ya Dhahabu nimekuwa na tendency ya kuripoti wapi nimefikia kila baada ya...
  3. C

    Mafunzo nyuma ya mrejesho wa kinachoendelea mahakamani kesi ya CCM dhidi ya wananchi

    Uzi huu, ni maalumu kwa kuandika mafunzo unayoyapata kutokana na kesi namba 16/2020 inayoendeshwa katika mahakama kuu kitengo cha ufisadi na uhujumu uchumi. Ninaomba tukutane hapa kufanya majumuisho ya mafunzo yakini. Kwa upande wangu:- 1. Ninaona kana kwamba polisi wanafanya kazi nzuri wakiwa...
  4. Mwamuzi wa Tanzania

    Mrejesho baada ya kumfuata mwanangu P. Sasa yuko nyumbani pesa zinaanza kujaa

    Jumapili nilileta uzi humu nikieleza jinsi wiki iliyopita nilivyopitia ukame wa mpito wa mambo ya shekeli. Nilisema kuwa hii hali sijaiexperience kwa kipindi kirefu. Nikaenda mbali na kusema kuwa mwanangu P ambaye alifanyika baraka sana katika familia yangu mara alipozaliwa. Ukata...
  5. S

    #COVID19 Wizara ya Afya isiache ukutoa mrejesho wa chanjo ya Johnson&Johnson

    Tunaomba wizara ifanye yafatayo 1. Itoe ratiba nzuri na itoe orodha ya vituo vya kutolea huduma maeneo ya vijijini. 2. Wizara ituambie J&J iliyoingia nchini inamaliza lini mda wake wa matumizi maana sasa ni mda ila taarifa za kuwa lini chanjo hiyo itamaliza mda wa matumizi haijatolewa. 3...
  6. Chris wood

    Mrejesho, Baada ya kuokota kipochi cha mzungu kilichokuwa na pete

    Kama ambavyo nilivyokuwa nimeleta bandiko, weekend wakati nilikuwa nikizunguka huku na kule, nilipita mahali nikakaa wakati naondoka niliokota kipochi kidogo ambacho ndani nilikuta kunapete 3. Nilikuja kutaka ushauri humu ni jinsi gani na wapi ninaweza kuzipiga bei kwani zilikuwa zikionekana...
  7. Wilhelm Johnny

    Mrejesho Window 11

    Wakuu habari za masiku, majuzi nilikuja hapa jukwaani na nyuzi takribani 2 nikiomba msaada juu ya kusahihisha toleo la window 11 kwa pc yangu. Bahati nzuri nilifanikiwa juu ya hilo sasa nilikuwa napenda kushare nanyi kasoro kadhaa nilizoziona. Kama wewe PC yako unatumia kwa ajili ya shughuli za...
  8. Tien corrector

    Mrejesho kuhusu kufumania Shemeji yangu

    Kwanza kabisa nipende kuwapa pole wanajavi wote kwa changamoto ya corona na pole zaidi kwa waliopoteza ndugu zao. Tuzidi kumwomba mwenyezi MUNGU na kuchukua tahadhari Inshallah tutavuka salama. Leo napenda kuleta mrejesho wa thread yangu ya week kadhaa zilizopita niliyoiandika hapa hapa yenye...
  9. Mad Max

    Mrejesho wangu baada ya kutumia Serengeti lite

    Wakuu kwema. Mi sio mdau sana wa kilevi. Ila kutokana na matatizo, upweke na stress zilizoniandama hivi karibuni nimeona hakuna jinsi. Nilianza na St. Ann, Dompo ila izo uwa nagusa tu kidogo robo glass tu. Ila nilipojaribu Castle Lite Ijumaa niliona mabadiriko. Bia ina utamu wake. Sasa leo...
  10. Unique Flower

    Mrejesho wa yule kaka wa immigration

    Wakuu kama mnataka kujua mrejesho basi yule kaka nimeendelea kumuona tena kila siku anatoka nje nimuone na anajiongelesha. Cha kushangaza hiyo njia ya immigration ndio njia ya kwenda home sikuhizi namuona na sijui anajuaje mida yangu yakupita hapo. Naanirembulia kabisa kama nini ila kwa sasa...
  11. C

    Mrejesho baada ya kuambiwa nichague kati ya Vanguard na Harrier ili ku compensate kama malipo ya kazi

    Kama nilivyowaomba ushauri kwenye post yangu ya 8/1/2021 nikitakiwa kuchagua kati ya gari tajwa hapo juu na kampuni moja ya ujenzi kama fidia ya deni nililowadai kwa muda mrefu bila malipo. Nawashukuru sana wana Jf na members wa forum hii kwa ujumla kwa mchango wenu wa ushauri , maoni na mawazo...
  12. K

    Kampeni ya kum-disqualify Diamond Platnumz BET Awards, tunahitaji mrejesho

    Habari wakuu, Siku kadhaa zimepita tangu watu wanaojiita wanaharakati wa mitandao kuwaongoza wananchi kuandaa na kusaini petition yenye lengo la kumdisqualify Diamond platnumz kushiriki tuzo za BET kwa mwaka huu 2021. Wanaharakati hao waliongoza huko Twitter chini ya Kigogo na Maria Sarungi...
  13. Idugunde

    TAKUKURU tupeni mrejesho wa kesi zote mlizokuwa mnashughulikia

    Kwanza kabisa mtambue kuwa mnatumia kodi za Watanzania kufanya shughuli zenu. Kwa hiyo kufanya maigizo yasiyo na kichwa wala miguu sio jambo jema. Sakata la Mbowe kujilipa bil 8 liliwekwa wazi na wanachama waliokuwa wanakatwa hizo pesa na mpaka leo mliishia maigizo ya kuhoji wanachama bila...
  14. Sky Eclat

    Ukiweka milioni 200 kwenye fixed deposit unapata mrejesho wa 1.5m kwa mwezi

    Wale waliokuwa wanauliza interest inayolipwa na benki kwa fixed deposit account. Niliongea na mmoja aliniambia wastani wa malipo ni kama hivyo ilivyo. Hii inawafaa wasioweza kuzungusha pesa kwa njia ya biashara. Una uhakika wa kula kila mwezi na pesa yako iko pale pale.
Back
Top Bottom