mrejesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Waziri mkuu Kasimu Majaliwa tumechoka na kamati zako.Sasa utupe mrejesho wa kamati zote ulizounda kabla ya kamati mpya.

    Kesho ikitokea familia moja wamemeza mashoka na kulazwa utaunda kamati. Hatupingi kuundwa kamati ila tunataka majibu ya wazi kama ulivyotangaza kwa uwazi kuwa unaunda kamati kuchunguza jambo. Tupe majibu ya kamati zote ulizounda.
  2. LA7

    Mrejesho: Nimenyimwa kukopeshwa mkate wa buku nikanywe chai na familia yangu

    Toka aninyime kunikopesha mkate naamini kila aliponiona alikosa amani moyoni, maana kusema ukweli alikuwa hana sababu ya msingi kuninyima mkate niipelekee familia ikale, kwasababu hiyo mimi nilitaka tu kumuonyesha kwamba mimi sipo hivo anavo nidhania, Niliendelea kwenda dukani kwake tena ikawa...
  3. Jooho

    Nimwache au nilee mimba

    !
  4. F

    Serikali itupe mrejesho kuhusu wizi wa vifaa vya milioni 500 Hospitali ya Wilaya ya Bunda

    Hili ni suala nyeti mno. Vifaa vya milioni 500 kuibiwa huku serikali ikiwa kimya haipendezi hata kidogo. Wiki tatu sasa zimepita lakini tukio hili kama vile limesahaulika. Watu wanaiba dawa wakaona haitoshi, wameamua kuiba vifaa. Kifuatacho ni kunyofoa mabati, mbao na milango ya Hospitali za...
  5. B

    Tulioambiwa Marburg, nchini hakuna taarifa mpya?

    Magonjwa yanayoangukia kwenye 'haemorrhagic fever" huwa siyo ya kupuuza, labda tu huko ambako watu hujifungua mawe. "Huko hata ule mwingine kutokea pande za Wuhan, uliwahi kuitwa kaupepo." Kwenye haemorrhagic fever kama iliyotupiga, siku 21 zinazobeba matumaini ya kuondokana na magonjwa hayo...
  6. mfate42

    Mrejesho Yule binti wa kazi nimeshamrudisha kwao..

    Habari wana jamvi,..baada ya kutoa ya moyoni kuhusu Yule binti wa kazi ambae nilikuja kuthibitisha kuwa Ni miathirika wa ugonjwa huu unaosumbua dunia...nimesoma comments zenu ambazo zilikuwa na maoni mengi Ambayo yamenisaidia Sana katika kufanya maamuzi ,..binti nimemrudisha kwao japo hakujua...
  7. Teslarati

    Mrejesho kuhusu kupima DNA za watoto wangu

    Miezi kadhaa imepita niliandika uzi humu nikasema nitaenda kupima DNA watoto wangu. Nilipatiwa muongozo kwenye ule uzi na baadhi ya wanasheria/mawakili waliomo humu ikabidi kumjulisha wakili wangu akasema inawezekana na ni rahisi sana. Nashukuru nimekuta mabao yote ni yangu, I felt like Messi...
  8. R

    Dkt. Makakala nakupa mrejesho kwamba, matumizi ya Madaftari kuhudumia wageni mipakani Karne hii nikufeli kwa wanaokusaidia. Fungeni mifumo mipakani

    Last time nilisema Tarakea na Manyovu wanatumia Madaftari kutoa huduma za kuingia na kutoka nchini nikashauri wafanye marekebisho vituo hivi vifanye kazi kama vituo vingine kuleta hadhi Kwa wanaovuka mpaka. Naomba kumkumbusha Dkt. Makakala kwamba bado Hali hii ipo vile vile pamoja na ushauri...
  9. LA7

    Maana ya ndoto ya kutembea uchi mbele za watu, mrejesho

    Kwanza kabisa niwashukuru wana jamiiforms kwa kunifumbulia maana ya ndoto hii, ukweli upo hivi, toka nianze maisha na make wangu sijawahi chepuka nje na mke wangu ni miaka miwili sasa imepita, na watu wengi mpaka ndani ya familia yangu wananisifiaga kuwa Mimi ni mtu wa pekee sana kwani sipo kama...
  10. D Metakelfin

    Mrejesho kuhusu vijana nane niliowasaidia

    Wale vijana niliowasaidia kwa kuwapeleka site wakaungane na mafundi wangu(japo hawana ujuzi wa ufundi) Baada ya kutangaza kwamba vijana wasio na ujuzi ila wanahitaji walau kutoboa kimaisha kwa kujifunza ujuzi wowote niliwachagua hawa nane kwa sababu zangu flani na usiriaz walioonyesha Vijana...
  11. Poker

    Mrejesho wa kumuona mwenza wako kwenye kioo!

    Habari za wanga! Muda ni 1:00 usiku wa manane, mbalamwezi na nyota zinaonekana vizuri kabisa. Nimeamua kuzima kabisa main switch, ili kuwe na giza totoro. Nimechukua mahitaji yangu ambayo niliambiwa lazima uwe nayo, yaani kichana, tufani na kioo. Mimi nikaongeza mishumaa, uwaridi nyekundu na...
  12. I am Groot

    5G technology: Vodacom Vs Tigo; Tupeane mrejesho nani katisha sana kwenye 'Superspeed' kati ya mitandao hii

    Vodacom na Tigo mitandao yote hii inajisifu kwa kuongoza kuwa na kasi kubwa ya internet 5G. Kwa baadhi ya maeneo nchini na baadhi ya watu wamekwisha jaribu kuona Je! Yaliyomo yamo? Tupe ripoti yako tafadhali.
  13. Nucky Thompson

    Mrejesho wa Vodacom wamefungia line yangu yenye milioni 10 M pesa

    Wakuu habari, juzi nilileta uzi kuhusu line yangu kufungiwa Kabla ya yote kwanza niwajibu waliokuwa wakilaumu au kushangaa mtu kuweka milioni 10 kwenye M pesa wakisema benki ndio salama Benki unaweza kuweka na hela zako zikipotea vilevile, kama mnakumbuka kuna benki kama 3 zilifungwa kipindi...
  14. M

    Mrejesho wa pili

    Karibu mwezi na kitu baada ya mke wangu kuwa na homework ya kutafakari umiliki wa nyumba niliyojenga kwenye kiwanja chake sasa amefunguka na kusema atapendelea tuandike Majina yetu wote (Mimi na yeye) kwenye umiliki wa hii nyumba. Hata Mimi nimejipa muda wa kutafakari kwanza
  15. Mganguzi

    Ni fitina za kibiashara au ukosefu wa ubora? Kwanini gari la Masoud Kipanya mpaka leo hakuna mrejesho?

    Nimeona niulize maana ukimya umekuwa mkubwa sana sana, si Masoud mwenyewe au serikali iliyodai inaenda kuifanyia uchunguzi iliyokuja na kutoa mrejesho tuambieni kama haifai tujue mmeifukia wapi tukatafute vyuma chakavu sie.
  16. LA7

    Nilijiapiza mjini nitarudi kutembea tu, lakini hapa nimelalia maboksi baada ya kuungua na maisha ya kijijini

    Ilikuwa ni mwezi wa saba sikumbuki tarehe ndo niliaga JF na kuelekea kijijini nikitokea Dar, baada ya kumaliza mafunzo ya ufundi, na nikijiapiza mjini ntarudi kutembea tu. Lakini hapa ninapoandika huu ujumbe nipo nimelalia maboksi kwenye geto la kupanga baada ya kuungua na maisha ya kijijini...
  17. INJECTION TECHNICIAN

    Mrejesho wa yale niliyosema kuhusu kijana wa hovyo Majaliwa aliyeidanganya nchi na wasomi wake

    INASIKITISHA SANA TENA SANA 😭 WALIOOKOLEWA WAKANA KUSAIDIWA NA MAJALIWA, WADAI WALITUMIA JUHUDI ZAO KUJIOKOA. Furaha ya Majaliwa Shujaa aliyeokoa watu kwe ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Bukoba mkoani Kagera huenda ikageuka huzuni baada ya abiria waliookolewa kwenye ajali hiyo kudai...
  18. GENTAMYCINE

    Mnaohudhuria Uzinduzi wa Baa Mpya Kawe Lugalo (Kwa Maasai ) usiku huu hebu tupeni Mrejesho

    Nasikia Kiingilio ni Bure na Bia nazo ni bure kwa idadi uitakayo halafu Wanawake wote wanatakiwa Kuvaa Madela ila ndani wawe Watupu tu Vile vile Watumbuizaji wakuu ni Christian Bella na Mboso na hivi sasa Saa 6 na dakika 57 hii Mvua ikiwa inanyesha Mboso ndiyo anaanza Kupanda Stejini. Mimi...
  19. M

    Mrejesho: Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

    Sasa nimeongea na mke wangu kuhusu nyumba ambayo nimejenga kwenye kiwanja chake kuhusu umiliki kwasababu yeye alitaka kuandika jina lake tena kwa siri. Nimemuuliza kwanza kwamba tangu tuoane hatujawahi kuongelea kuhusu hicho kiwanja chake. Akanikumbusha kwamba wakati tunaoana mimi nilimshauri...
  20. Pang Fung Mi

    Tabia ya wadada/wanawake kutosalimia huku Duniani mjiandae kwa mrejesho

    Naomba wahenga na wadau wa masuala ya jinsia na mshikamano kwenye jamii mtusaidie, hii tabia inayokuwa Kwa kasi ya wadada/ wanawake kutosalimia mzizi wake ni nini. Binadamu Hazina yake kubwa ni utashi wa kusalimiana. Kusalimia sio kutongozwa, na haimanishi ndio unajenga masndalizi ya...
Back
Top Bottom