katika tafiti zangu nimegundua kua chenye upinzani kinanguvu sana sababu hakina cha kupoteza wala kujitetea kwa watu ni kwamba mtu anaweza kutoa taarifa may be whistler blower ambaye anaweza kupata attettion kubwa public ila bahati mbaya sana akishamaliza kutoa taarifa bado hatowi mrejesho wa...
Habari wakuu! Kwenye simu yangu nilikuwa na shida ya matangazo kila sekunde 30 tangazo, kibaya zaidi nikiwasha tu data, matangazo yanaanza kujitokeza! Hii simu nilinunua kwa mtu nahisi aliuza kwasababu ya matangazo haya!
Nilikuwa nimetafuta kila njia ya kuuondoa lakini imeshindikana, ilikuwa...
Nilileta uzi huu last month nikiwa kwenye lindi kubwa la mawazo baada ya kusex na mwanamke aliyeathirika.
https://www.jamiiforums.com/threads/nimeyatimba-nimesex-na-mtu-mwenye-hiv-ni-kipindi-kigumu-sana-maishani-mwangu.2156809/
Sasa baada ya mwezi mzima wa kutumia PEP, haya ndiyo majibu...
Baada ya kuomba ushauri hapa jukwaani, watu walichangia kwa hekima, kuna waliosisitiza nikatoe mahala ninapoabudu pia kuna walionishauri nikatoe kwa watu wenye uhitaji.
Pia kunawaliosema nikatoe ninapoabudu halafu pia nikatoe kwa wahitaji.
WOTE MLIOCHANGIA, NAWASHUKURU SANA.
Mm na mke wangu...
CCM naona huwa wanatoa matamko tu ili jambo lipite. Waanajua watz ni watu wasahaulifu sana na hawafuatilii mambo. Mfano.
1. Tume za waziri mkuu kubusu kuungua masoko.
2. Tume za waziri mkuu uoigaji wa pesa za umma.
3. Madini ya ruby Dubai.
4. Nyara za serikali nchini Australia kutoka...
kwanza Namshukuru Mungu kwa sikuu hii tukufu ya leo kwa kutujalia kupata baby boy, hakika yeye ni Muweza 🙏
Pili nipende kutoa pongezi zangu za dhati kwa members wote wa JF mlionipatia ushauri kuhusu mpenzi wangu aliegoma kuacha bangi wakati wa ujauzito, nilifanikiwa kudeal nae baada ya kuamua...
Nanukuu kama ilivyosimuliwa na muhusika, " Niliingia katika mahusiano na binti mmoja alikuwa akiishi na wazazi wake. Tulikuwa vizuri mpaka ikafikia nikawa namhudumia kama mke vile, kuanzia kula yake, kuvaa na hata akiumwa nahusika na kila kitu. Ikafikia wakati akahama kwao, akaenda kupanga na...
Habari wana JF naleta mrejesho wa kesi ile ya mgogor wa urithi. Baba aliyezaa na wanawake tofauti.
Baada ya kwenda mahakamani ikaonekana ilikuwa ni kampuni na si mali ya mtu binafsi.
Na katika mgawanyo wa kampuni kuhusu share mke wa ndoa yani mke wa baba yao aliyezanaye mtoto mmmoja ambaye ni...
Habari wanajf.
Nilileta uzi hapa kuhusu rafiki yangu mmoja ambaye alizaa nje watoto 2. Na mkewe alizaa nae watoto wawili.
Thread 'Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?' Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?
Alipata kigugumizi kuhusu mali...
Ni mwezi sasa umepita wakurungwa toka nimepost nasaka wife material ili niachane na usemi wa wahuni, wazembe, watoto wa kulelewa na mishangazi unaosema"KATAA NDOA " NDOA NI UTUMWA"NAONA dalili za kuukimbia ziko ukingoni.
Tarehe 2/09/2023 alinicheki mtot wa kisukuma tukapata kuzungumza yupo...
Wasalam vijana na wazee wa JamiiForums mie naitwa Fetty sio muislamu lakini nimwanadada ninayetafuta humu mwenzi wakutulia naye tena awe Mkristo mwenye uhitaji wa mke.
Asiwe mdogo sana au mzee sana wastani tu
Ninachopenda ni heshima /upendo/faraja/matunzo.
Siku njema
====
Mrejesho wa...
WanaJF natumaini mnakumbuka siku chache zilizopita niliomba ushauri kuhusu jambo langu la mapenzi hapa JF kuhusu mchumba wangu aliyekuwa akisita mimi kuendelea na mchakato wa kutuma mshenga kwao kwa nia ya kumuoa. Kwenye huo uzi nilipata ushauri mwingi ingawa baadhi ya wanaJF wenye roho mbaya...
Miezi michache iliyopita nilianzisha Uzi hapa JF wenye title" Tunaowatoa watoto wetu shule za English Medium na kuwarejesha kayumba njooni tufarijiane hapa"
Soma: Tunaowatoa watoto wetu shule za kiingereza njooni hapa tufarijiane
Lengo la Uzi lilikuwa kupata watu watakaonipa "faida"...
Kwanza niwashukuru nyote mlonipa ushauri juu ya Nini tufanye tumpate mzee wetu.Ukweli tulifanya kila kitu ata kujiunga magroup mbalimbali ya wasapu na fb.
Tuliopita kila Kona,tulifanikiwa kumpata mzee mmoja aliyekuwa anafanya kazi gereza la musoma na sasa Ni mstaafu yupo Mkoani Singida alikiri...
Habari za asubuh wapendwa JF,
Nitumie fursa hii kuwashukuru sana kwa moyo wenu mliouonyesha kwangu. Sio kwamba tatizo limeisha moja kwa moja ila mmeweza kusimama na angalau sasa naweza kutoka nje na nikacheka na watu as if nothing is there which kwangu ni hatua.
Mmenionyesha upendo mkubwa sana...
Mara kadhaa nimeona hili tatizo watu wakiliibua na hata humu ni juzi juzi kuna mtu kaanzisha uzi, nimeona ni vema nilete experience yangu.
Mimi hali ishawahi kunipata, dah we acha tu, nikafikiria mbali kwamba natembelewa na wachawi, nilipaniki sanaaaaa!! nilianza kulala saa tisa au kumi natumia...
Nipo natumia huduma hii tangu mwaka jana na msukumo wa kuja huku ilikuwa ni baada ya mitandao kupandisha bei za mabando, nadhani wote mnakumbuka mabando yalikuwa bei chee ila kuna wabongo hawakutosheka wakaanza kuyabipu makampuni ya simu kwamba vifurushi visiwe vina expire, Mb ni chache, n.k...
Habari Wanajamii...
Ninatumai wote ni wazima wa afya kabisa pasina shaka, Mimi pia ni mzima na buheri wa afya kwa wastani wake. Kwa sababu bado naendelea na dawa kadhaa ili kuurudishia mwili afya tena kama ilivyokuwa hapo awali.
Naomba nianze na shukrani zangu za dhati kwenu wanajamii wenzangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.