mrembo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi bado hamasa ya maneno ya mdomoni na ubunifu wa maandish vinaweza kukupatia mrembo kama zamani au siku hizi unakaguliwa kwanza ndio utupe sound?

    Zamani unakuta unakalili wimbo wa westlife ili uuchomeke ndani ya mistali ambayo utakayokuwa unampiga mtoto mzuriz na kusema kwwli mtoto alikuwa ana appreciate kikamilifu haswaa. Ila sasa hivi katoto ka miaka 20, kanakuanaglia juu hadi chini kama unafanania mtu wa kumpeleka beach wiki mara 3😂😂
  2. Hawa warembo, wana nia nzuri kweli na mimi?

    Siku ya ijumaa nilikuwa napiga misele ya mtaa kwa mtaa, baada ya kutembea umbali mrefu kiasi, nikakutana na warembo wawili wamesimama wanabadilishana mawazo; walikuwa wamevaa suruali pamoja na vitopu. Zile suruali walizovaa, ziliwachora vizuri maumbo yao. Kimoyo moyo, nafsi yangu ikatokea...
  3. Ang'oa mrembo mhudumu wa Betting baada ya kushinda milioni 36 za Mkeka

    Wakuu, Mwana kang’oa pisi kali Jamaa mmoja kutoka Uganda ana-trend baada ya kushinda milioni 36 kwenye betting. Baada ya ushindi huo, mhudumu wa mapokezi katika kituo cha betting aliamua kuacha kazi yake mara moja na kuwa mpenzi wake, kisha wakaondoka pamoja. Pia, Soma: Mchungaji afunga...
  4. Mrembo huyu wa Boda boda awavutia wengi, anaswa akienda kwenye Mitikasi yake

    Mrembo huyu amewavutia wengi baada ya kunaswa barabarani na kamera akienda kwenye Mitikasi yake, akiwa kwenye pikipiki yake.
  5. Miss JF2024: Nani Mrembo(mwenye mvuto) kuliko Wengine humu JF

    Mpo salama Wakuu! Mwaka Jana FaizaFoxy aliibuka kidedea Kwa kuwa Mrembo zaidi humu JF ingawaje wengine walisema ni mwanaume Wengine wakasema ni Bibi kikongwe. Lakini yôte Kwa yôte yeye ndiye aliibuka kidedea. Sasa Kwa Mwaka huu tutakuwa na orodha ifuatayo. 1. Midekoo 2. Palina 3. binti kiziwi...
  6. Kwa aina ya Mademu wa Kibongo wanaopishana Kutwa pale Kwake Palm Village na huyu Mwingine Stress za Kushea Mrembo na Boss nilijua tu yatawakuta

    Kocha Yanga SC Miguel Gamondi amejibu maswali wanaohoji wachezaji wa Yanga Stephane Aziz ki na Khalid Aucho kuwa na kiwango cha chini kwenye mchezo dhidi ya KMC Azam Complex. Chanzo Taarifa: manaratv Yaani Mademu wa Kibongo hasa wa Tabata na Sinza wakujue ni Star halafu una Hela wakuache...
  7. Swamidwa Habidadi Mkulima Mwenye Ndoto Kubwa Kutoka Burkina Faso

    Swamidwa Habidadi ni kutoka Burkina Faso ambaye ni mkulima mwenye mafanikio makubwa. Alianza kilimo akiwa na umri mdogo wa miaka 16 baada ya wazazi wake kufariki dunia, na kwa sasa amejitolea kikamilifu katika shughuli za kilimo kuliko masomo yake. Aligawa shamba alilorithi kutoka kwa wazazi...
  8. Hivi Mtoto wa kike akija Ghetto kwako lazima Kujigi-jigi?

    Mambo vipi wakuu? Binafsi naamini wakati wote Mrembo anapokuja ghettoni kwako si lazima Mjigijane... Muda mwingine unaweza ukaishia kupiga nae Story tu..... au Mkacheki Muvi.... au Mkacheza video games.... Naamini ni kuonesha umekua kihisia hata kuongeza uaminifu kwa Mwenzako... We unaonaje...
  9. Huyu mrembo amenikataa, nimefurahi kwa kweli

    Wakuu, Ulishamtokea mtu lakini sometimes ukawa na wasiwasi sana? Imenitokea mimi weekend moja hivi. Huyu Dada wa kisukuma amezaliwa 2003. Muonekano wake na umri vinakinzana sana! Ni binti nyama za mwili wake zimejipangilia vizuri sana. Nilikutana nae tukazoeana kwa haraka sana na nilikuja...
  10. Afrika Kusini: Raia wakataa Mrembo mwenye asili ya Nigeria kuwania Miss South Africa

    Mashindano ya Urembo yamezua Mjadala mkali wa Ubaguzi baada ya watu Mtandaoni kudai kuwa Mshiriki Chidimma Adetshina (23) ni Mnaigeria, na hivyo kudai hawataki kuwakilishwa na Raia wa Kigeni Waaandaaji wa Mashindano ya Miss South Africa wamethibitisha kuwa Chidimma ni Raia wa Nchi hiyo na...
  11. Kwanini Watu wenye sifa nzuri kama uzuri na uhandsome au utajiri husemwa kwa mabaya? Je, ni wivu kwa waliokosa sifa hizo?

    Habari za jumapili! Ni wivu katika jamii au ni jambo gani? Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika, Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya na kumhusisha na umalaya, udangaji, ukahaba n.k? Wakati ûkienda site unakuta hali ni tofauti...
  12. Huyu mrembo mwenye shepu kali ananichanganya sana

    Kutokana na upole wake, macho ya mahaba, chura iliyothibitishwa kimataifa, sura ya kuvutia, kiuno kilicho katika, hana majivuno, anajua umuhimu wakuwa mwanamke, anahakikisha namaliza hamu zangu zote, ananijulia hali kwa simu kila lisaa, ananifanyia usafi wa nyumba, ananifulia, wakati mwingine...
  13. Ukweli ni lazima usemwe, natafuta mrembo wa kuzeeka naye. Mapungufu yangu haya Hapa

    Umri wangu ni miaka 45, Hali yangu ya kindoa ni mtalaka, watoto wanne, Kila mmoja na mama yake, na watoto wote wako kwa mama zao. Kazi nafanya, Hela napata, pombe nakunywa. Mambo ya mabebzi labda itokee tu, wana gharama sana na Mimi ni bahili sana. Mwanamke ninayemtaka awe na sifa zifuatazo...
  14. Natafuta Mdada/Binti wa kazi Smart Mwenye Elimu Kuanzia Form 4 kwa ajili ya kazi ya duka

    Eneo Duka Lilipo : DAR - STOP OVER MAJUKUMU : 1.Kuuza Vitu Dukani 2.Kuwashawishi Wateja Kununua Kwa kuwaelezea Faida na Hasara ya Kutotumia Bidhaa Husika. 3.Usafi wa Vitu na Duka Zima kwa Ujumla 4.Ku record Mauzo ya Siku husika/Matumizi ya Siku Nzima,nk. SIFA ZA BINTI ANAEHITAJIKA 1.Uwe...
  15. Hatimaye nimempata anayenipenda, naye ananipenda! Aisee, love is a beautiful thing

    Aisee nimekamatika mpaka jana nikatoroka, na leo nimesingizia naumwa ili niwe nae nisiende ofisini. Mimi ni mchapakazi sana na mara ya nyingi ni wa mwisho kuondoka ofisi, lakini naona mapenzi yataenda kufanya kibarua chagu kiote nyasi Mahusiano haya yenye mwezi sasa yanazidi kunibadilishia...
  16. M

    Binti mrembo pisi kali, kwao maisha mazuri lakini ni kondakta wa Basi

    habari ya jumamosi. ukweli mabinti wa kichaga wana tofauti kubwa na makabila mengi. sio wavivu na hawachagui kazi. mfano hai ni huyu dada kondakta wa bus. shule amesomeshwa tena shule nzuri, kwao maisha mazuri, vijana wanasema mboga saba ila kazi yake huyu dada ni kondakta wa bus. nawaza...
  17. Mrembo wa Vidonge aitwa BASATA baada ya kupost video chafu mitandaoni

    Dada alie-trend mitandaoni kwa kijinadi kuwa ana vidonge vinavyoweza kumfanya Mwanaume akashindwa kuendelea na sex kitandani ameitwa na Basata. Mrembo huyo anaejulikana kwa jina la Pipy ameitwa Basata kwasababu ya kupost video inayomuonyesha akicheza wimbo huku maungo yake kwa kiasi kikubwa...
  18. Culture Me: Mrembo wa Jamiiforums mwenye akili zake

    Anaandika BICHWA KOMWE:- Huyu bibie nampenda. Kwanza mzuri, mcheshi na ana akili mingi sana. Ukimlishanganisha na makanjanja wengine wenye majina ya kike humu, Culture Me anachukua karata ya turufu. Anashinda asubuhi na mapema. Sijui kwanini lile shindano la mrembo wa Jamiiforums hakupewa...
  19. Mrembo aliyetengenezwa na A.I asumbua vichwa vya wanaume kwenye mitandao ya kijamii

    Mrembo mmoja wa Instagram ameyashika macho ya wacheza mpira wa miguu maarufu, mastaa pamoja na mabilionea, lakini yote si kama unavyoweza kudhania. @emilypellegrini amejikusanyia followers zaidi ya laki mbili kwenye Instagram ndani ya miezi minne tu. Ingawa picha na video zake zinaonekana kuwa...
  20. Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

    Kwema Wakuu! Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo. Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…