Huyu mrembo ana trend sana huko IG naona ameanza kumpiku yule Poshy Queen.
Hivi hawa wanakula nini jamani maana sio kwa shepu hizi? Kwasasa sidhani kama kuna mrembo anamzidi huyu bibie.
Niliwahi kukutana na binti ni mwaka sasa umepita nilikua na.date ila rasimi nimejitoa takribani wiki sasa,
Msichana ni mrembo mzuri, ana shape alafu kiumri ni mdogo sana yuko under 22, ukimwangalia sura kama ya kitoto.
Ila nlkua nadate nae mpaka mama ake anajua, ila hajatulia maana wki mbili...
Kama ilivyokawaida yangu wikiend nikiwa bored ilikuwa ni kawaida kabisa kucheki boda boda au uber afu na drop maeneo ya Bata Batani Ilikuwa the same case kuna demu flani nilikuwa namsuburi mageto, na nilikuwa na hamu naye sana lakini sasa alichelewa sana nikaona isiwe case ngoja niende zangu...
Wanajopu tupeane uzoefu kidogo hapa je ni sehemu ipi nzuri kwa kumtoa out mwanamke mnapokuwa katika uhusiano wa mwanzo ili afurahi na aone umemtendea vyema.
Nikifikiria kwenda naye club nahisi atakuona kama mtu wa viwanja sana na ikampa wasiwasi juu yako kama yeye si mtu wa kwenda katika kumbi...
Nipo kwenye mahusiano na mrembo takribani miezi sita hivi. Huwa anakuja kwangu nakuspendi nights. Kinachonishangaza sana ni kwamba juzi kati amekorofishana na baba yake na ameamua kwenda kukaa na rafiki yake hostel.
Hana kazi na wala biashara. Sijajua sababu ya kwenda hostel coz at times she...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.