mrisho gambo

Mrisho Mashaka Gambo (born in Arusha) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament presently serves Arusha Urban Constituency since November 2020. He was also a District Commissioner and Regional Commissioner for the Arusha Region replaced by Iddi Kimanta.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Mrisho Gambo atoa ufafanuzi wa million 400 za bodaboda Arusha

    Baada ya kutokea sakata la fedha za bodaboda katika jimbo la Arusha Mjini kuoneka zimeliwa na mmoja wa walitajwa ni Mbunge wa jimbo hilo Mrisho Gambo. Soma Pia: Arusha: RC Makonda aiagiza TAKUKURU kumhoji Mrisho Gambo upotevu wa Tsh. Milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia...
  2. chiembe

    Tetesi: Mrisho Gambo kuhamia ACT Wazalendo?

    Kuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo. Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao unachochewa na mahusiano mabaya aliyonayo na viongozi wote wa mkoa mzima wa Arusha katika chama na...
  3. The Watchman

    Pre GE2025 Mrisho Gambo: Rais Samia anaishi 4R kupitia Samia Legal Aid

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuanzisha Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, akibainisha kuwa kampeni hiyo imekuwa msaada mkubwa kwa wananchi wa Arusha na maeneo mengine nchini. Akizungumza Ijumaa, Machi 7, 2025, katika...
  4. Waufukweni

    Pre GE2025 Makonda uso kwa uso na Gambo kwenye mabanda Arusha, ona kilichotokea mbele ya Waziri Ndejembi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda leo Jumatatu ya Machi 03, 2025 akiwa ameambatana na Waziri wa ardhi Deogratius John Ndejembi kutembelea mabanda kwenye maonyesho ya wiki ya mwanamke Jijini Arusha wamekutana uso kwa uso na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo. Pia, Soma Kumekucha...
  5. T

    Pre GE2025 Viongozi wa bodaboda Arusha wasema wana mashaka na Gambo sakata la Milioni 400

    Baada ya mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuele mbunge Mrisho Gmbo ahojiwena TAKUKURU kuhusu upotevu wa Ths. Milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia bodaboda. Hatimaye viongozi wa boda boda na wao wamaeeleza kuwa wana mashaka na Gambo kwenye upotevu wa pesa hizo na kwamba...
  6. Waufukweni

    Pre GE2025 CCM Arusha yapinga Madiwani kumpigia Debe Makonda, yatoa Onyo kali

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho kuheshimu viongozi waliopo madarakani hadi muda wao utakapokamilika rasmi kwa mujibu wa kalenda ya chama. Ameyasema hayo hii leo February 28, 2025 alipozungumza na waandishi wa...
  7. mwanamwana

    Pre GE2025 Arusha: RC Makonda aiagiza TAKUKURU kumhoji Mrisho Gambo upotevu wa Tsh. Milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia bodaboda

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha kufanya uchunguzi wa upotevu wa kiasi cha fedha shilingi milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia waendesha pikipiki maarufu bodaboda. Fedha hizo zimepotea na...
  8. chiembe

    Sasa Mrisho Gambo yuko katika mstari wa mbele katika foleni ya kula chakula cha sumu alichowapikia na kuwalisha wenzake-fitna, ukiua kwa upanga!

    Mrisho Gambo sasa anatakiwa kula chakula alichowalisha wenzake kwa muda mrefu sana, chakula chenye sumu ya fitna. Katika foleni, hakuna aliyebaki isipokuwa ni yeye, na mgawa chakula anamuangalia usoni kwa macho pima akiwa na upawa uliojaa chakula, gambo akiwa na sahani yake mbele ya mgawa...
  9. GENTAMYCINE

    Sijawahi kumkubali Mbunge Mrisho Gambo na hata Yeye anajua, ila leo niseme tu RC Makonda na hao Madiwani mmezidisha Chuki juu yake

    Nina Marafiki kadhaa huko Arusha na GENTAMYCINE huwa sipendi kuwahi Kumhukumu Mtu bila ya Kwanza kufanya Uchunguzi wangu wa Kinjagu (Kimosadi) ili Kujiridhisha. Nilichogundua ni kwamba Mbunge Mrisho Gambo amefanya mazuri kadhaa na yanaonekana ila mengi ambayo ameshindwa Kuyatekeleza ni kwasababu...
  10. J

    "Shule iliyonyooka" Ndio ipi hiyo Gambo? Ni PhD za UDOM au Degree za OUT?

    Ni vema tukapata Ufafanuzi wa " Shule iliyonyooka" Ili na sisi Jimbo la Kawe na pale Iringa Mjini tusije kuchagua Mbunge wa Elimu ya " hapa na pale" Kwa Sasa Kawe tunaye Dr Gwajima PhD na Iringa Mjini Dr Jesca PhD Nimekaa pale 🐼
  11. mwanamwana

    Pre GE2025 Gambo Vs Makonda: Gambo asema anayetaka Ubunge Arusha aje uwanjani aone kama ngoma ya kitoto inakesha

    Gambo amesema kuwa yeye ndiye Mbunge halali kwa muda huu na yeyote anayehitaji nafasi hiyo anapaswa kusubiri muda ufike kisha kufata taratibu zote za kuwania nafasi hiyo na sio vinginevyo. “Kama kuna mtu anataka ubunge, asubiri utaratibu ufike, ajitokeze uwanjani. Wananchi wa Arusha Mjini...
  12. Waufukweni

    Pre GE2025 Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amejibu mashambulizi yanayohusiana na wito ulioibuliwa na baadhi ya madiwani wa jiji la Arusha wakimuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo. Gambo amesema kuwa yeye anatekeleza majukumu yake kama...
  13. M

    Pre GE2025 Mrisho Gambo hauhitajiki tena Arusha, Mwachie Paul Makonda

    Kwa sasa, ni wazi kabisa kwamba Mheshimiwa Paul Makonda hana mpinzani wa kweli kwa ushawishi alionao hapa Arusha Mjini. The undeniable truth is that the regional commissioner of Arusha possesses exceptional administrative ability and an innovative mindset, always bringing tangible development...
  14. Mindyou

    Pre GE2025 Diwani Arusha: Madiwani wa Arusha tunakuomba msamaha Mkuu wa Mkoa kwa kumchagua Mbunge asiyejitambua

    Diwani wa Kata ya Themi wilaya ya Arusha mjini Mkoani Arusha Petro Lobora wakati wa kikao cha Baraza la madiwani bajet ya halmashauri kwa mwaka 2025-2026 alisimama na kuzungumza kwa niaba ya madiwani kwamba Mbunge walio nae Mrisho Mashaka Gambo hatoi ushirikiano kwa madiwani pindi anapohitajika...
  15. J

    Makonda na Gambo Ndio mfano wa Siasa Halisi za CCM zilivyo nyuma ya Pazia hakuna kusuluhishana Kanisani kama CHADEMA!

    Wanachonifurahisha Paul Makonda na Mrisho Gambo ni kwamba Wao hawafanyi siasa za kinafiki Kila Kitu kinawekwa mbele ya pazia halafu July Wajumbe wataamua kwenye Kura za maoni Tofauti na Mbowe na Tundu Lisu wanaopelekana Kanisani kusuluhishwa kisirisiri Ahsanteni sana
  16. The Watchman

    Pre GE2025 Mrisho Gambo: Barabara ya Esso - Long'Dong Arusha mjini kujengwa kwa kiwango cha lami

    Serikali kupitia uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imechukua hatua za kuboresha miundombinu ya barabara kwa kuhakikisha ujenzi wa barabara ya Esso - Long’dong mkoani Arusha, yenye urefu wa kilomita 1.8 unaanza hivi karibuni. Barabara hii inayounganisha...
  17. mwanamwana

    Pre GE2025 Mrisho Gambo: Godbless Lema aliniambia mzigo anaoupiga Rais Samia umenifanya hata hamu ya kugombea iniishe

    "Nilikutana siku moja na mjomba wangu, Lema, akaniambia: 'Bwana, ni hivi tu, mimi ni mpinzani, siwezi kusema hadharani, lakini nataka niwaambie—mzigo anaoupiga Dkt. Samia umenifanya hata hamu ya kugombea iniishe.'" "Sasa, kama mtu kama Lema ameanza kuwa na hekima, basi ujue tuko karibu kuiona...
  18. The Watchman

    Pre GE2025 Mrisho Gambo: CCM tumekaa tumesema sisi 2025 mgombea wetu ni Dkt. Samia, wewe yasiyokuhusu unapiga porojo unapoteza muda

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo amesema Chama cha Mapinduzi na wanachama wake wameshafanya maamuzi ya kumteua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea wa Urais hivyo wanaopiga kelele wanapaswa kukaa kimya kwa sababu wao sio wanachama wa Chama hicho. Soma, Pia: Wajumbe...
  19. The Watchman

    Pre GE2025 Mrisho Gambo aahidi kugawa mitungi ya gesi kwa wazee 182 Arusha mjini

    "Tunayo kampeni inayoendelea ya Dkt. Samia Suluhu Hassan ya masuala ya nishati safi ya kupikia, kampeni ambayo inakwendaa kuokoa mazingira yetu, na ambayo sisi kwenye mji wa utalii tunatakiwa tuipigie chapuo zaidi kwa sababu utalii na mazingira vinaendana. Makundi mengi yameshirikishwa...
  20. The Watchman

    Pre GE2025 Arusha Mjini: Mrisho gambo azungumza na wazee kuhusu uhamasishaji wa kutoa elimu nishati safi

    Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo anazungumza muda huu lengo ni Uhamasishaji wa Kutoa Elimu a Nishati Safi kwa Viongozi wa Baraza la Wazee Arusha Karibu kufuatilia kinachoendelea. https://www.youtube.com/live/jEzBkft9o9g?si=uw038dewWr2M8B72 Akizungumzia ushirikishwaji wa kundi la wazee...
Back
Top Bottom