mrisho gambo

Mrisho Mashaka Gambo (born in Arusha) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament presently serves Arusha Urban Constituency since November 2020. He was also a District Commissioner and Regional Commissioner for the Arusha Region replaced by Iddi Kimanta.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Mwana FA asema Gambo ana kila sababu za kuendelea kuwa Mbunge wa Arusha

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, ameagiza wataalamu wa wizara yake kufanya tathmini ya ujenzi wa uwanja wa mazoezi kwa ajili ya AFCON 2027 katika eneo la FFU, Morombo, Arusha. Ametoa maagizo hayo leo, Februari 15, 2025, wakati wa uzinduzi wa michuano ya...
  2. L

    Pre GE2025 Wakulaumiwa kukosekana Stendi Arusha ni Mrisho Gambo ambaye amekuwa DC, RC na Mbunge wa Arusha. Ashirikiane na Makonda kuipata

    Ndugu Zangu Watanzania, Nimemsikia Mbunge wa Arusha Mjini Mheshimiwa Mrisho Gambo akisema na kulalamika kuwa ni aibu Kwa Arusha kukosekana kwa Stendi kubwa na ya kisasa Mkoani Arusha. Lakini ikumbukwe na kuwakumbusheni na kumkumbusha Mheshimiwa Mrisho Gambo kuwa Kabla ya kuwa Mbunge Amekuwa DC...
  3. ESCORT 1

    Pre GE2025 Mrisho Gambo: Nitaenda kuwajibu nini wananchi wa Arusha. Jiji kama Arusha linakosaje stendi?

    Ni wazi sasa Mrisho Gambo ameanza kuchachawa na kukumbuka shuka kukiwa kunakucha. Ameng’aka bungeni dhidi ya serikali kwa kuhoji kuwa ataenda kuwaambia nini wapiga kura wake wa Arusha mjini kwa Jiji kubwa la Arusha kukosa stendi bora na ya kisasa kama mikoa mingine. Kupata taarifa na matukio...
  4. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Mrisho Gambo: CHADEMA Wakisusa, sisi twala

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amesema kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya "No Reform, No Election" inaonesha dalili za woga, akisisitiza kuwa CCM ina uzoefu wa kushinda hata pale upinzani unapogomea uchaguzi. Akizungumza Februari 4, 2025, katika maadhimisho...
  5. S

    DOKEZO Ukiukwaji wa sheria na ukwepaji kodi shule ya sekondari Mrisho Gambo

    Habari wana bodi, Hii ni shule ya serikali inayosimamia na TAMISEMI iliyopo Jiji la Arusha. Sisi wazazi na jamii nzima tunaelewa na tunapewa elimu mara kwa mara na mamlaka mbalimbali za serikali kama vile TRA juu ya ulipaji wa kodi na kudai risiti na tunatambua pia kuwa ktk shule hizi za...
  6. Papaa Mobimba

    Pre GE2025 Diwani Arusha: Mbunge Mrisho Gambo ni matatizo tunayotembea nayo, hafai

    Diwani wa kata ya Themi Labora Mkoani Arusha kwa tiketi ya CCM Ampiga Spana Mbunge Mrisho Gambo, amuomba msamaha Rc Paul Makonda
  7. Mindyou

    Mrisho Gambo ageuka mbogo kusuasua kwa ujenzi wa barabara ya Engosheratoni jijini Arusha

    Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mrisho Gambo, ametembelea mradi wa ujenzi wa Barabara ya Engosheraton jijini Arusha na kumtaka mkandarasi wa mradi huo, Jiangxi GEO, kuongeza kasi ya utekelezaji. Akizungumza baada ya ziara hiyo, Gambo amesema barabara hiyo ilitakiwa...
  8. Waufukweni

    Pre GE2025 Ulega katika kikao kizito na Makonda na Mrisho Gambo, akituliza hali baada ya kurushiana maneno

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, (kulia) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, mara baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika jana mjini Arusha. Haijafahamika watatu hao walikuwa wanazungumza nini lakini lugha ya picha inaonyesha...
  9. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Gambo: Mimi sio Mfanyakazi wa Serikali ni Mbunge, Makonda anahitaji kuelimishwa

    Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kudai mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo haudhurii vikao, mbunge huyo amesema suala hilo linahitaji elimu kwa sababu yeye ni mbunge na ana vikao vya Bunge. "Mimi sio ofisa tarafa, siyo mtendaji wa mtaa wala kata, mimi ni mbunge wa...
  10. MSAGA SUMU

    Pre GE2025 Lema, Makonda na Gambo vijana watatu wanaochukiana kutoka kwenye uvungu wa mioyo yao

    Siasa za Arusha ni tofauti kidogo. Lema hampendi Makonda, Makonda hampendi Gambo, Gambo hampendi Lema, Lema hawapendi hao wote wawili. Makonda anawachukia wote, Gambo anawachukia pia yaani ni vurugu ile balaa. Wote wanapenda mitandao na attention. Halafu ilivyo bahati mbaya wote wamejikuta...
  11. Waufukweni

    Pre GE2025 Arusha: Wananchi wakasirika wamvaa Mbunge Gambo mkutanoni "Unatuangusha, sisi tunakufa"

    Wakuu Wananchi wakasirika wamvaa Mbunge wao Mrisho Gambo mkutanoni "Unatuangusha, sisi tunakufa"
  12. U

    Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo aomba Rais Samia kusaidia upatikanaji tshs milioni 200 zilizotapeliwa na waliokuwa Viongozi bodoboda

    Wadau hamjamboni nyote? Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kiswahili: Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mrisho Mashaka Gambo amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kusaidia kufanikisha upatikanaji wa Shilingi milioni 200...
  13. Waufukweni

    Pre GE2025 Mrisho Gambo asaidia Bodaboda Arusha kwa kiasi cha Milioni 1.2 kuboresha Usalama na Utalii

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amewakabidhi Bodaboda wa Jiji la Arusha kiasi cha Shilingi 1,200,000 kwa ajili ya kutengeneza mfumo wa kuwezesha kusajili Bodaboda za Jiji la Arusha na kuwezesha upatikanaji wa taarifa za uhakika kwa ajili ya usalama na utalii. Akizungumza mara baada ya...
  14. Cute Wife

    Pre GE2025 Arusha: Gambo asaidia malazi kwa manusura wa ajali ya moto

    Wakuu, Unatoa msaada ukiwa umevaa shati ya mama mitano tena :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: ===== Zaidi ya wananchi 15 katika Kata ya Unga Limited mkoani Arusha, wamelazimika kulala nje kwa zaidi ya siku 10 baada ya moto uliotajwa kusababishwa na shoti ya umeme kuteketeza...
  15. Cute Wife

    Pre GE2025 Gambo atoa Milioni 2 kulipia kodi ya chama cha bodaboda, awanunulia pia TV wafuatilie matukio duniani

    Wakuu, Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, ameonesha kujali changamoto zinazowakabili waendesha bodaboda jijini Arusha kwa kuchangia shilingi milioni 2 kwa ajili ya kulipia kodi ya ofisi ya chama chao hadi kuanzia Februari hadi Disemba 2025. Hatua hiyo imekuja baada ya...
  16. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Gambo aonya wenyeviti wa Serikali za mitaa kutumia mihuri ya serikali kujinufaisha

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, ameongoza wanachama na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa katika jimbo lake, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji na utumishi wa kweli kwa wananchi. Akizungumza wakati wa kampeni hizo...
  17. Cute Wife

    LGE2024 Gambo: Ilibidi tumtumie mke wake ndio Lema akakubali kujiandisha, hamasa yetu imefanikiwa

    Wakuu, Ila CCM bana, sasa hili nalo ni jambo la kuita media na kuanza kubwabwaja? Mko na ujinga mwingi! Haya, wacha tuendelee kuangalia maigizo. "Lema mwenyewe amejiandikisha jana na makelel yote yale, ilibidi mpaka tumtume mtu akamtumia ujumbe mke wake ili kumkumbushe ajiandikishe. Hamasa...
  18. Cute Wife

    Pre GE2025 Mrisho Gambo: Lema aliniomba nimsaidie kuingia CCM

    Wakuu salam, Msikilizeni Gambo hapa, eti hii ilikuwa siri baina yao, lakini Lema kasababisha hadi Gambo kaitoa nje!
  19. Mindyou

    LGE2024 Arusha: Mrisho Gambo amuahidi Rais Samia kulinda mitaa kwenye Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa ili kutengeneza jeshi kwenye Uchaguzi Mkuu

    Wakati taifa likiwa linaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwezi Novemba, Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amemuahidi Rais Samia kutumia viongozi watakaochaguliwa na wananchi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kama Jeshi la kumtetea Samia kwenye uchaguzi mkuu. Soma pia: Ruvuma...
  20. Ngongo

    Paul Makonda na Mrisho Gambo wako katika vita kubwa Arusha

    Heshima sana wanajamvi. Mkuu wa Arusha Mh Makobda aka Bashite na Mbunge wa sasa Arusha Mjini Mrisho Gambo wapo katika vita kubwa ya kuomba ridhaa ya chama ya kuwania ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM. Makonda kupitia harakati mbali mbali ikiwemo kuandaa utatuzi wa kero za kisheria hasa...
Back
Top Bottom