mrisho gambo

Mrisho Mashaka Gambo (born in Arusha) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament presently serves Arusha Urban Constituency since November 2020. He was also a District Commissioner and Regional Commissioner for the Arusha Region replaced by Iddi Kimanta.

View More On Wikipedia.org
  1. Magazetini

    Mrisho Gambo: Mabadiliko ya kanuni Soko la Tanzanite mwaka 2019 yameipatia Serikali hasara kubwa sana

    Akichangia bajeti ya waziri mkuu, mbunge wa Arusha mjini, Mrisho Gambo ameongelea sekta ya madini ikiwemo mabadiliko yaliyopelekea kuhamisha soko la madini kutoka Arusha kwenda Mirerani na hasara yake kwa Serikali na mji wa Arusha. Mrisho Gambo: Mwaka 2019 tulianzisha masoko ya madini, Arusha...
  2. Countrywide

    Hawa wanafaa kuandaliwa kwa ajili ya Urais 2040, siyo dhambi tuwajenge tufaidike

    Moja ya sababu kubwa ya nchi nyingi kutoendelea ni kutoandaa viongozi kwa ajili ya vizazi vijavyo na vijavyo. Leo Mimi countrywide msomi ninatoa maoni yangu kuhusu kuandaa watu Hawa kwa ajili ya uraisi 2040. Ningeweza kusema 2030 lakini naona ni karibu sana kiasi ambacho itakua sio Tena...
  3. nyamadoke75

    Kimeumana! Gambo amshukia kama mwewe mkurugenzi wa jiji la Arusha

    Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo amemchukia vikali Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Dr John Pima kwa kumweleza wazi kwamba mkakati wake wa kumdhoofisha ili wananchi wa Jimbo hilo wamchukie hatafanikiwa kwani yeye ametokana na changuo la wananchi. Akiongea katika mkutano wa hadhara katika zoezi...
  4. Replica

    Mrisho Gambo: Suala la wamachinga si la mchezo, ni kuhusu maisha ya watu tena wanyonge kabisa. Tusisukumwe na Wafanyabiasha Wakubwa

    Suala la Machinga si jambo jepesi hata kidogo. Hakuna mtu anayependa kuwa mmachinga bali maisha ndio yamewafikisha hapo. Hakuna anayependa kupanga vitu vyake barabarani apigwe na jua au anyeshewe na mvua au agongwe na gari. Changamoto kubwa ni ukosefu wa ajira na Kazi ya Machinga imekuwa ni...
  5. U

    Mrisho Gambo ajitolea Mifuko 100 kwa Kanisa la TAG Arusha

    Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Tawala CCM leo amekabidhi mifuko 100 kwa Kanisa la TAG Kata ya Olmot Arusha Hongera Gambo kwa kuwa mfano wa kuigwa na kuamua kujiwekea hazina mbinguni
  6. JF Member

    Mrisho Gambo na Siasa za Arusha

    Kwà tunao jua Siasa tunahitaji kumuombea Sana na kumshauri Mh Gambo (MB). Mh Gambo anajua kama mimi ninavyo jua kwamba yeye hawezi siasa za Arusha. Kilicho baki ni kutimiza wajibu. Tofauti na Dar, siasa za sehemu nyingine ikiwemo Arusha. Yaani huko arusha kujuana ni njia Moja wapo kupata...
  7. aseenga

    Thadeus Mkamwa aeleza kuhusu mabadiliko ya mtazamo katika hoja anazozitoa Mrishi Gambo

    Kwa siku kadhaa zilizopita, tumemshuhudia mheshimiwa mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo akichangia hoja bungeni. Hoja zake zimeibua hisia tofauti kati ya wengi kutokana na sababu mbalimbali. Moja ya sababu hizo inaonekana ni mabadiliko ya ghafla ya mtazamo wake kiutendaji kabla na baada ya...
  8. S

    Kama anayosema Gambo yanatoka moyoni, basi anapaswa kuonesha njia na kuwaomba msamaha CHADEMA kwa aliyowafanyia

    Nimekuwa nikimsikiliza sana Gambo kwa mengi anayosema. Ukweli nimetokea kuwa mtu ambaye namfurahia sana, kwa kuwa amekuwa mtu anaetoa kauli makini zenye kujenga bila hofu katika kuielekeza na hata kuikosoa serikali ambayo inaongozwa na chama chake. Mtazamo niliokuwa nao juu ya Gambo akiwa RC...
  9. P

    Kamati ya Maadili CCM, Mrisho Gambo anajijenga mwenyewe na anakibomoa Chama

    Kwa maelezo ya Mbunge wa Arusha inathibitisha kabisa utawala wa awamu ya tano haukufuata sheria za nchi. Gambo katika michango take Mara kwa Mara ameonyesha kama alikuwa RC kivuli. Ndugu zangu sana CCM hii inatoa ushahidi tosha kuwa Yale aliyokuwa anayasema LISU wakati wa kampeni na kabla ya...
  10. Shujaa Mwendazake

    Gambo: Awamu iliyopita kiongozi wa chini aliweza kuwa na nguvu kuliko hata Mimi Mkuu wa Mkoa

    "Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua". Mh Mrisho Gambo
  11. Determinantor

    Mrisho Gambo acha Unafiki

    Kama kuna mambo yanachukiza basi ni huu unafiki wa kiwango cha SGR. Moderator naomba msifute. Hivi karibuni huyu kijana ameonekana "akijaribu" kwa kiwango kikubwa sana kujitenganisha na Utawala katili na dhalimu wa Magufuli, kitu ambacho hakijui ni kwamba hawezi kukwepa sehemu udhalimu huo...
  12. Replica

    Mrisho Gambo: Bajeti Haijatoa Ahueni yoyote Sekta ya Utalii, Wanaenda Kuiua

    Mrisho Gambo akichangia Bungeni kwenye Bajeti iliyopendekezwa, ameielezea kutotoa ahueni yoyote kwenye sekta ya utalii iliyoyumba kutokana changamoto za ugonjwa wa Covid. Amesema mchango wa utalii umeshuka kutoka asilimia 17.5 mpaka asilimia 10.7 na mapato yamepungua kutoka bilioni 584 mpaka...
  13. S

    Mrisho Gambo: Wafanyabiashara wa maduka ya kubadili fedha za kigeni walioporwa fedha na mali zao warudishiwe

    Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mhe. Mrisho Gambo ameiomba Serikali kuwarejeshea mali na fedha zilizochukuliwa katika maduka ya kubadilisha fedha kwani “wameporwa pesa zao, magari yao, hati zao za nyumba, viwanja, wamewaacha hoi-bin-taaban.” Pia, soma: Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha...
  14. beth

    Mrisho Gambo: Tanzania kuna double standard, yapo maeneo maamuzi yanafanyika haraka kulimo mengine

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amesema Tanzania ina 'Double Standard' ambapo kuna baadhi ya maeneo maamuzi yanafanyika haraka, yapo ambayo maamuzi yanafanyika kwa kuangalia maslahi mapana ya Nchi na mengine maamuzi yanachelewa Vilevile akiwa Bungeni leo wakati wa majadiliano ya Bajeti ya...
  15. Jembe Jembe

    Arusha: Mrisho Gambo awapatia msaada wa vyakula Wajane 160 kwa ajili ya sikukuu ya Eid-el-Fitr

    Kina mama wajane wapatao 160 kutoka kata nne za jiji la Arusha wamepatiwa msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Iddy. Msaada huo umetolewa na Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mrisho Gambo baada ya kutambua uhitaji wa kina mama hao ambao wengi wao wanaumri mkubwa na...
  16. B

    Mrisho Gambo umehadaa wapiga kura. St. Jude ilivuka vikwazo ikiwa upande wa watesi wao

    Wakati St. Judy inapitia matatizo juu ya madeni Hadi kufikia wanafunzi kugoma na wafanyakazi kurejeshwa nyumbani Mrisho Gambo hakusema lolote Wala akuwatetea kwa chochote. Leo hii baada ya hali kutulia anaibuka Bungeni nakuzungumza huku akijua kabisa muda wa machungu umepita na Sasa shule ile...
Back
Top Bottom