Ni hivi , Baba Mkubwa wangu alikuwa na mke na akapata naye watoto ,mwishowe akamfukuza huyo mwanamke .
Lakini kutokana yule mwanamke alipendwa sana na Bibi yangu ( Mama yake Baba mkubwa ) alimsaidia sehemu ya kuishi akawa jirani tu .Baadae yule mwana mama alizaa watoto wengine 3 na watu...