Jumla ya Kata 10, Mitaa 15, Vijiji15, kesi 125 zilibainika na kushughulikiwa huku wananchi 25,780 walifikiwa ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga katika zoezi la msaada wa kisheria ambalo kilele chake ni leo Machi 6 Katika Mkoa wa Rukwa.
Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi wa...
Habari wakuu
Gari yangu imepata changamoto inawasha taa ya check engine, nikamtafuta fundi kwa ajili ya diagnosis, tukapata code p1656 (vvti sensor toyota) fundi akasema ni tatizo la vvti sensor tumbedilisha lakini bado taa inawaka. Kwa mtu aliyewahi kukutana na tatizo kama hili naomba msaada...
Habari wakuu
Kama title inavyojieleza naomba kufahamu hivi page ipo chini ya taasisi ya serikali au ipo chini ya mtu binafsi.
Ni kwasababu mara nyingi nimeona caption zake zinaanza na neno " nime... " Nimefanya hivi n.k
Lakini kuna vingine pia ni kama havihusiani na page au viko kibinafsi...
Wakuu kwema!?. Msaada tutani, nina gari aina ya Toyota Alteza ina engine ya 3s Yamaha imeua throttle(inajires na kuwasha chek engine muda wote). Wapi naweza pata spea!
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote...
Habari wanajamii forums!
Naomba MSAADA Kwa yeyote atakayekuwa anajua ndugu yeyote WA PRISCUS ALOYSE MATEI ambaye Kwa sasa ni marehemu, kabisa mchanga wa Moshi, alifariki 2013 kama sikosei. Nia na dhumuni ni kutaka kuwaunganisha hao ndugu na damu ya ndugu yao aliyoiacha mahali. Asante.
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe.
Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki?
Je, waliotangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29...
Mtoto wangu sio Mjinga ila ana changamoto tu ya kuwa 'Slow' kwenye kuelewa Masomo yake jambo ambalo kidogo linaleta changamoto kwenye Ufaulu wake na kwasasa inamfanya ajisikie vibaya pia kwani anajiona kuwa tofauti na wenzake
Msaada nifanyeje hapa jamani ili kumsaidia mwanangu (yupo Shule ya...
Habari za wakati huu wanajukwaa!?
Sidhani kama huu ni uziwangu wa kwanza jukwaani juu ya maombi ya kazi. Mimi ni kijana (ME 23) ninaishi Dar es salaam, nimetoka chuo mwakajana ila sikufanikiwa kumaliza (juu ya changamoto zilizonipata) hivyo mwakahuu mwezi wa 11 nitaenda kumalizia mtihani wangu...
Habari Wakuu
Ninaomba msaada wa kupata daktari wa Jadi ambaye anaweza kumsaidia ndg yangu ambaye kwasasa ni kama amekata tamaa kabisa kutokana na kuhangaika pasina kufanikiwa. Historia yake fupi.
Amefanikiwa kuoa mke ambaye kabla ya mafanikio walikuwa na upendo tu mzuri na maelewano na hivo...
Natumaini hamjambo.
Nina jambo ambalo linahitaji muongozo:
Nina Kampuni,imesajiliwa kwa jina furani. Imejitokeza kampuni nyingine, yenye jina kama la yangu. Activities ni tofauti. Sasa, wanaomba niwaruhusu watengeneze trademark logo ya kampuni yao. Alieniandikia, ni mwanasheria, anadai ni...
Habari wakuu nimepata mchongo wa kazi nje ya nchi, nimepewa taratibu za kupata passport na inachukua muda wa mwezi na week kutoka, naombeni msaada kama kuna njia naweza kutumia kuipata kwa siku 7. Kila kitu kinachohitajika ninacho.
Natanguliza shukran🙏
Ninategemea kuwepo dsm kwa miezi mitatu , nina miliki Gari ndogo Toyota Wish sasa issue inayonileta mjini ni masaa 8 per day kuanzia saa 9 nakua free na weekends nakuwa free sasa nawaza huo niwe napiga kazi ya uber/bolt kuingiza chochote kitu. Sasa sijui taratibu zake za kujiunga zinakuaje na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.