msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Acehood

    Msaada wa mkopo Tsh. 25,000

    Habari za jioni wakuu. Nakuja kwenu muda huu nina shida sana na shilingi elfu ishirini na Tano. Naomba yeyote anayeweza kunipatia kiasi hicho kama mkopo wa wiki moja. Asanteni🙏
  2. Barantogwa

    MSAADA : SIMU YANGU AINA YA SONY SO 41B HAIPANDISHI MTANDO WA INTERNET.

    Wakuu nahitaji msaada, nina simu yangu Aina ya Sony so41b imekuwa haipandi mtandao wa intranet toka juzi, Chanzo cha tatizo kuna dogo nilipa alikuwa nataka kufanya mawasiliano na mtu, kumbe aliichezea mfumo wa setting hadi akawa ame backup hivyo kupelekea kila kitu kufutika. Nimejalibu kufanya...
  3. B

    RC HOMERA KUONGOZA UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA- MBEYA

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera atakuwa Mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Kampeni kubwa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa ajili ya kuwasaidia na kuwashauri wananchi kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria. Uzinduzi huu utafanyika Jumatatu hii Februari 24, 2025 kwenye Viwanja vya...
  4. Lavit

    Wakuu msaada shule nzuri ya private kwa primary!

    Mwenye kujua shule ya private maeneo ya kimara mpaka mbezi, kama nitajua na ada yake kwa mwaka itakuwa vizuri. NB: shule za karibu za government nilizojaribu kuzifatilia naona mazingira sio mazuri sana , kwahiyo mtu asije na ushauri wa nimpeleke mtoto Kayumba!
  5. J

    Rais, viongozi na watu wengine watakaoguswa na jambo hili naombeni msaada wa kupata passport

    Ninaandika huu ujumbe nikiwa katika hali ya uchungu mkubwa. Nimechoka! Nimevunjwa moyo! Nimeonewa kiasi cha kuhisi mimi si binadamu tena. Kila siku naamka nikiwa na maumivu mapya, nikiwa na mzigo mzito wa uonevu moyoni mwangu. Ninaomba msaada! Ninaomba mwenye kusikia kilio cha mnyonge anisaidie...
  6. danhoport

    Msaada funguo ya pikipiki imegoma kuwasha wala kutoa sterring lock

    Ni pikipiki aina ya boxer 125, imegoma ghafla tu niliipaki usiku nikazima ila cha ajabu asubuhi imekataa kutoa lock, wataalamu shida inaweza kuwa nini na inasababishwa na nini na je ni kawaida tu au kuna shida mahali?
  7. Madaga

    Naombeni msaada wa kupata wimbo huu

    Habari ndugu zangu wapenda muziki wa dansi! Ninatafuta wimbo wa zamani wa bendi ya dansi, uliosikika sana miaka ya 2002/2003 kwenye redio. Sikumbuki jina la wimbo wala bendi, lakini mashairi yake yalikuwa na maneno kama: "Masai kavamia pori kakutana na Wamakonde, Wamemchoma mishale ya sumu...
  8. Kipenseli

    Msaada: Nimetumiwa verification code nisiyoielewa

    Wakuu naomba kufahamu, nimetumiwa text na Hawa jamaa kukiwa na verification code as if nimerequest process mahali Fulani, je itakua kampuni gani?
  9. M

    Natafuta kazi ndugu watanzania naombeni msaada wenu

    Hello naitwa jenipha Nimesomea degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam naombeni msaada wenu 0713776534
  10. N

    Wataalam wa mambo ya uzazi naombeni msaada wenu, nimechanganyikiwa

    Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi ilikuwa tarehe 28 desemba ambazo hadi leo wiki 9 hazifiki, je changamoto ni nini?
  11. Hismastersvoice

    JF tendeni haki Hismastersvoice hajaomba michango popote wala hajamtaja jina anayehitaji msaada.

    Hismastersvoice ni kiunganishi tu na amesisitiza mhusika asipewe hela bali apelekwe kwenye hospitali atakayochagua mtoa msaada ili atolewe chuma(antena). Kumuhusisha Hismastersvoice na kiashiria cha utapeli ni kumvunjia heshima. JF mnapoamua kuzuia jambo muwe makini kwani mleta Post amezingatia...
  12. The unpaid Seller

    Msaada: Ni hatua gani kisheria naweza kumchukulia fundi msumbufu.

    Umuofia kwenu, Aise kuna fundi nilimpa kazi na malipo 85% kazi ilikua ya makubaliano ya kukamilika kwa wiki Moja, lakini sasa yapata mwezi na mwelekeo wa kukamilika haupo. Mbaya zaidi hana dharula yoyote yupo na anaendelea na kazi za wateja wengine nikimuhimiza kua ananikwamisha analeta...
  13. P

    Msaada kuhusu ujenzi wa nyumba ya ghorofa kumi kwenye eneo la sqm 500 hapa temeke

    Ni kiasi gani niwe nacho kuweza kujenga ghorofa kumi structure tu bila finishing? Kwa wataalamu natanguliza shukran nyingi sana Eneo temeke wailes Ukubwa 500 sqm Tambarare
  14. masanda

    Msaada wa kumpata archeologist

    Habarini. Nina hitaji mtu yeyote anayeoma archeology hasa UDSM au chuo kingine. Pia kama unamjua mwalimu anayefundisha somo hilo pia naomba mawasiliano yake. Sababu ni kwamba nina mabaki ya mnyama (sijajua kama ni binadamu au la) ambayo niliyapata chini ya ardhi umbali wa futi 80 nilipokuwa...
  15. Mtunisia mweusi

    Msaada mpenzi wangu mpya hisia zake hazipandi mpaka nimpulize mwili mzima na kumtekenya miguuni.

    Baada ya kupitia balaa zito la mke wangu kichaa aliyenipiga picha 71 za makalio ,niliamua rasmi kumuacha. Mungu si athumani nikapata mtoto mmoja wa kinyaru binti ajatumika sana,ana nyama nyama za kutosha mwilini(nakupenda sana kipenzi changu konjeta♥️♥️). Sikutaka kumchelewesha kama...
  16. Braza Kede

    Trump effect: Je, kuna mabadiliko yoyote hasi baada ya Trump kutangaza kuondoa pesa ya msaada

    Je kuna mabadiliko yoyote hasi baada ya Trump kutangaza kuondoa pesa ya msaada. Inajulikana madhara ya haraka ni wenzetu wengi kusitishiwa ajira zao. Je kwa upande wa utoaji huduma hali ikoje huko uliko? Naskia kuna wanaoambiwa watapewa dawa za mwezi kwa mwezi badala ya miezi 3 au 6. Hali...
  17. DexterLab

    Msaada jinsi ya kujisajili website ya Zimamoto

    Uzi tayari.
  18. Dasvidaniya

    Naombeni msaada wa maarifa ya kiroho

    Habari za usiku huu wakuu natumai mpo good Mimi kama kijana wenu tangu nijiunge JF hii ni mara yangu ya tatu naanzisha uzi na ni mara ya kwanza kuomba msaada wa maarifa ya kiroho Nimekuwa nikifatilia sana mada za kiroho na vitu kama hivyo kwa mda na members kama kina mshana jr DR Mambo Jambo...
  19. Bigmaaan

    Ninaomba msaada wa Template ya katibo ya NGO toleo la kiingereza

    Kwema wakuu? Nina hitaji Muongozo wa katiba ya NGO ambayo ni English version. Online site ya board ya NGOs iko suspended. Mwenye kuwa nayo ninaomba anisaidie. Asanteni.
  20. I

    Bunge la Ulaya lataka kusitishwa kwa msaada wa EU kwa Rwanda kuhusu mzozo wa Kongo

    Kama kawaida waafrika ni watu wanaopenda kutafuta visingizio kwa matatizo yanayowakabili ambazo mara nyingi wanajiletea wenyewe. Mfano mzuri ni mgogoro uliopo nchini Congo unaohusisha serikali ya nchi hiyo na waasi wa M-23 ambao wengine wamekuwa wakidai kwamba huchochewa na wazungu japo hawatoi...
Back
Top Bottom