msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO TTCL iangalie huduma za mawasiliano Kata za Kikio na Misughaa Mkoani Singida

    Tunaomba Kampuni ya Mawasilano ya TTCL iangalie huduma za mawasiliano katika mnara uliopo katika Kata za Kikio na Misughaa Mkoa wa Singida. Kuna muda Mtandao unakuwa haupo inakuwa kero sana, inadaiwa chanzo ni kutokana na mnara huo kutumia Mitambo ya Sola licha ya kuwa nguzo za umeme zipo...
  2. E

    Msaada; Jinsi ya ku 'disign' baiskeli ya kubebea biashara

    Wakuu, nimejiajiri kwenye biashara ndogo ndogo Mwenye picha au wazo, jinsi ya kutengeneza hiyo baiskeli yenye uwezo wa kubeba bidhaa kama; Miwa, fenesi, madafu na matunda mengine Naombeni picha au wazo nmpe fundi Natanguliza shukurani
  3. Msaada: Nimefuta Xender na Miziki yangu pia imefutika

    Wakuu kama ilivo ainishwa hapo juu, MSAADA ninao hitaji nikwamba Jana KWENYE harakati za kwny 1 na 2 nmejikuta nimelifuta file la Xender kwenye simu yangu lakini Cha kushangaza sasa zile MIZIKI nilizokuwa nmezihamishia kwenye hii cm KUPITIA hii Xender kuja kwenye simu yangu nilioifuta ki...
  4. Msaada wa machimbo ya jeans bei ya jumla

    Habari wa JF. Kama title inavyojieleza hapo juu nahitaji chimbo ya jeans kkoo kwa bei ya jumla, kuna jamaa niliongea nae leo tuonane kkoo anipeleke matokeo yake hapokei simu ko nimeenda nimerudi empty.
  5. R

    Msaada wajuvi wa sheria

    Ile form ya District Land and Housing Tribunal ya kufanya application to institute a suit, unawea kuijaza kwa kiswahili au lazima iwe kiingereza maana imetengeneza kwa kugha ya kiingereza.
  6. Msaada tutani: Swali kuhusu mahusiano ya kirafiki/kijamaa kazini..

    Habarini, Nimekuja gundua maofisini kwenye eneo la kutaftia riziki, kwenye day to day interaction watu wako na mindset tofauti sana, ukilinganisha na eneo kama chuo. Nimegundua kuwa watu wanachunga sana wanachoongea kwa bosi na wafanyakazi wenzao, na waki interact na wafanyakazi wenzao...
  7. Nawasemea, mama kuna watu vyandarua vya msaada wanafugia kuku

    Kuna mtu aliwahi kupost uzi kuwa mwafrika hatakiwi kupewa bima ya afya ya bure na serikali kwa sababu ya ujinga wake Mwafrika ni wajinga,watakunywa maji machafu,watafanya ngono zembe na watu zaidi ya 400,watalala bila chandarua serikali kuwapa bima watu kama hawa lazima ifirisike tu. Kuna...
  8. N

    Naomba kujua utumishi wa mahakama hizi fani Civil, plumbing, electrical, welding & fabrication zinaaply wapi

    Habari wakuu! Hivyi karibuni yametoka majina ya waliopata ajira utumishi wa mahakama, miongoni mwao wapo wahandisi kwa maana ya maengineer na mafundi kwa maana ya Technician ( civil, plumbing, electrical, welding & fabrication) naomba kujua utumishi wa mahakama hizi fani zinaaply wapi? Au wana...
  9. M

    Msaada: TV Hisense Inch 55 imeacha kuonyesha picha

    WanaJF, Poleni na majukumu. Kama mada inavyosomeka kwenye kichwa cha habari TV ya Hisense imeacha kuonyesha picha na ninahisi kwamba kama bulb zake zimeungua. Msaada tafadhali kwa mafundi waliopo kwenye group ili niweze kuitumia bila gharama kubwa. Asante, Maramojatu
  10. N

    Msaada wa hii ndoto

    Jamani napitia kipindi kigumu sana jana usiku kuamkia leo nimeota nimeingiliwa na mwanaume mwenzangu kushtuka usiku nimejikuta nimemwaga bao nilikemea ndoto ila bado naumia kwanii initokee mm jamani mwenye kujua hii ndoto au msaada naona sielewi kabisa
  11. Msaada wa jinsi ya kuondoa makovu ya tetekuwanga

    Naomba kujuzwa dawa au mafuta ya kuondoa makovu baada ya kupitiwa tetekuwanga
  12. Kiukweli huyu mchezaji wa soka zamani Alphonce Modest anahitaji msaada

    Unaeweza tazama maswahibu anayopitia Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania na vilabu vya Mtibwa Sugar, Pamba, Simba na Yanga. Hapa tunamzungumzia, Alphonce Modest, beki aliyesifika kwa kukaba kwa nguvu na akili, kupandisha timu kwa kutengeneza mashambuliaji na kupiga krosi...
  13. Jina la mtoto limekosewa kwenye matokeo ya darasa la saba, msaada wa nini chakufanya

    Salaam wanajukwaa la sheria. Nina changamoto hiyo hapo juu, nimeileta jukwaa hili kupata ushauri wa nifuate utaratibu gani mwanangu aanze kidato cha kwanza na jina lake lilolopo kwenye cheti chake cha kuzaliwa. Limekosewa herufi mbili hivyo naona kabisa ataingia nalo form one na litakuja...
  14. K

    Msaada: Jinsi Ya kushare MB Mtandao wa vodacom

    Wakuu habari ,kama kichwa cha habari kinavyosomeka naombeni msaada wa jinsi ya kushare data mtandao wa voda
  15. Wazee naombeni msaada, mwili wangu unatoa sana jasho tiba ni nini?

    Nikitembea tu kidogo jasho kibao hata kama kuna baridi vipi. Mfano kukiwa na baridi yani ile baridi haswa naweza nikatembea fresh tu ila nikifika tu sehem nilipokua naelekea labda dukani au sehemu yoyote nikisimama tu jasho hizoo zinaanza kutiririka tena nyingi tatizo linaweza kuwa ni nini...
  16. Msaada aliyewahi kupata changamoto hii kwenye ajira

    Habari ndugu zangu, wakubwa shikamooni na wadogo habari zenu. Nasimama na kuleta hoja hii kwa niaba ya Ndugu (Brother from another Mother). Mwaka jana 2023 huyu ndugu alifanikiwa kuomba ajira (Ajira Potal) na kufanikiwa kuitwa kufanya usaili alifanikiwa kufanya written na baadaye oral na hivyo...
  17. Madereva wa Dar msaada taa za Mwenge kutozingatiwa

    Mara kadhaa napita barabara hii ya kutoka Tegeta kwenda Ubungo-Kimara, sasa ukifika hapo Mwenge mida ya saa moja jioni huwa sielewi utaratibu uko vipi, bahati nzuri huwa siwi wa kwanza kwenye foleni ya kusubiri taa ziruhusu, Huwa nafuata mkumbo Jambo ambalo sielewi, utakuta taa zimeruhusu...
  18. K

    Mwenye uzoefu wa Biashara ya cake accessories

    Habari wadau!, Naomba mtu mwenye uzoefu katika biashara ya cake accessories (vifaa vya kutengenezea keki (isipokua oven), mapambo ya keki, mabox, ingridients za keki, n.k) anisaidie kunipa overview ya biashara hii pamoja na makadilio ya mtaji.
  19. Kwa yeyote atakayeguswa na tatizo la huyu ndugu yetu, tunahitaji msaada wako

    Habari ndugu zangu. Natumai wote mpo salama, na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku. Ndugu zangu, na marafiki zangu na wasio kuwa Marafiki zangu, wote kwa ujumla nina jambo nataka kulileta mbele yenu kwa maana ni kweli kweli nahitaji msaada wenu, wa hali na mali na ushauri pia. Mdogo...
  20. Nilichokiona usiku wa leo, msaada wenu wanaJF

    Kwanza kabisa nianze Kwa salamu: Asalam alaykum na kwawale wasiopenda salamu hii basi habari za asubuhi ndugu zanguni wana JF. Kwanza kabisa ningependa kwenda moja kwa moja kwenye pointi husika nayo ni kile nilichokiona usiku wa Leo. Kwa kawaida yangu na ratiba zangu za kulala siku za hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…