msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mama wa watoto 8 atorokwa na mumewe, aomba msaada

    Waziri Dkt. Gwajima D kuna hii familia ya kuitazama inahitaji msaada wa kiuchumi na kijamii. Mama wa watoto nane, Belita Deus, ambaye mumewe katoroka. Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto wa Wilaya ya Malinyi, Mkaguzi wa Polisi Michael Rasha, ameguswa na hali ya mama wa watoto nane, Belita Deus...
  2. Msaada namna ya kurenew leseni ya biashara kupitia Tausi Portal

    Habari za leo wakuu, Mimi ni kijana wenu mhangaikaji. Leseni yangu ya biashara ya hardware imefikia ukomo, na nilihitaji kuirudia kupitia Tausi Portal. Changamoto niliyonayo ni kuwa sioni sehemu ya kufanya urudishaji wa leseni hiyo. Nimefuata hatua zote hadi ninapofika sehemu yenye vipengele...
  3. Msaada wa kujaza hapo

    .
  4. K

    Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie

    Habari wakuu, Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu. Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
  5. Mahitaji msaada wenu wana JF nimekwama, tafadhari nisaidieni.

    Habari za muda huu wana JF. Kama kichwa kinavyojieleza, nahitaji msaada wenu wa kitaalamu. Nina boma langu ambalo nahitaji kulipaua baada ya kukaa muda mrefu bila paa. Nimejaribu kuhesabu na mafundi kadhaa ili wafike pale site na kunipa za bati mahitaji. Hata hivyo, kila mara wanaponitumia...
  6. G

    Wapalestina waneemeka na chakula kingi cha msaada wa kimataifa kilichoibwa na kuhodhiwa godauni la hamas baada ya walinzi kulikimbia jeshi la Israel

    wapalestina wanalia njaa, chakula chote cha misaada kinaenda kwenye magodauni ya Hamas kwajili yao na familia zao, wapalestina wa kawaida huuziwa kwa bei ya juu mno. Palestina kuna njaa inayosababishwa na Hamas kujichukulia kimabavu misaada halafu wanaanza kuidanganya dunia kwamba ni Israel...
  7. G

    Wapalestina waneemeka na chakula kingi cha msaada wa umoja wa mataifa baada ya walinzi wa magodauni ya hamas kulikimbia jeshi la Israel

    moved
  8. Msaada: Nahitaji Winchi kubwa kuanzia tani 25+

    Habari zenu wadau, Nipo mwanza nilkuwa nauhitaji wa winchi kubwa kwanzia TAN 25+ Please mwenye kujua anijuze naipata wapi 0614853457 pls
  9. T

    Msaada: Je, ni sahihi Jamhuri kukata rufaa baada ya miaka miwili ya hukumu kupita?

    Wakuu naomba kueleweshwa, nilishtakuwa Kwa kesi ya jinai na Jamhuri miaka miwili imepita sasa toka hukumu ilipotolewa na mahakama iliniachia huru baada ya kujiridhisha na ushahidi. Imepita sasa miaka miwili, Jamhuri wamekata rufaa. Naomba mnieleweshe imekaaje hii ya rufaa imepita miaka miwili
  10. Viupele hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno, ni ugonjwa gani?

    Yani hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno ,vinapoanza panaanza kuwasha kwanza halafu vikishatokezea kama vipele ila vinakuwa kama mtu kaungua na moto hv yaani ukiminya vinakuwa na maji yani vinauma kweli kweli. Vinaweza kukaa kama miezi mwili ama mitatu vinarudi tena...
  11. B

    Msaada wa haraka wapendwa, mgonjwa wangu anahitaji Upasuaji MOI na familia haina fedha

    Nawasalimu ndugu zangu. Samahani kwa usumbufu, kaka yangu alipata ajali mbaya sana ya pikipiki akiwa kwenye mizunguko yake. Aliumia hasa, akapelekwa Taasisi ya MOI, ndugu tumepeleka hela nyingi tuzizochanga familia yetu ni duni sana zimeisha kwenye vipimo, sasa tangu Ijumaa amegundulika...
  12. Nina maumivu makubwa moyoni, hadi nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru

    UPDATED 18 JAN 2025 GOD BLESS ME
  13. M

    Msaada wa kupata Remote jobs

    Hello! Msaada jamani waliowahi kufanikiwa na hizi remote jobs Huwa wanatuambia njia zipi maana Huwa naapply cjawahi pata na nasikia Kuna watu wanapata tupeane Siri angalau tupate kupata kipato Cha ziada
  14. F

    Jaman msaada wa muongozo wa interview Assintant aircraft mashaller

    Msaada wa muongozo interview kada ya Assintant Aircraft Mashaller
  15. K

    RC Songwe apongeza msaada wa magodoro 60 kwa Wagonjwa, vitanda 40 vya Shule na madawati 100

    Wagonjwa Hospitali ya Rufaa ya Songwe watapa msaada wa madogoro 60, Shule 40 na madawati 100 kwa Shule za Msingi Londoni na Sai. Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, ameipongeza Benki ya NMB kwa kutenga sehemu ya faida wanayopata kurudi kusaidia jamii, ametoa pongezi hizo leo Oktoba 22...
  16. Msaada tutani wa gharama za kuvuta maji taka

    Gharama za kuvuta maji taka kwenye karo ni Tshs kwasasa kwa mwenye ufahamu ? Nipo Mbezi Luis Dar es salaam, kama nitapata kujuzwa bei na namba za simu za watu wanaopatikana jirani na Mbezi Luis nitashukuru Ahsante
  17. Naomba msaada wa kurudisha file la mobile data Icon kwa juu ya simu Galaxy A15 yangu

    Wanajukwa habari za wakati huu ndugu jamaa na marafiki natumai nyote ni wazima waafya .Lengo kuu la kuandika uzi huu nikuwaombeni msaada wale wataalamu wa maswala ya Technology and science in computer skills and accessories. Jaman mm natumia simu aina ya Samsung galaxy A15 nimei UPDATE jana...
  18. Kwa msaada wa AI GEMINI leo natunukiwa tunda.

    Akili mnemba ndio habari ya mjini hatimaye kwa mara ya kwanza kupitia Gemini somebody daughter kaingia kwenye mfumo. Naungana na waliosema teknolojia imekuja kurahisisha maisha.
  19. I

    Hivi ukipata mkopo 100% Boom unaweza kupata lote

    Hivi ukipata mkopo 100% Boom unaweza kupata lote
  20. Msaada unahitajika: Jina la website ya movies na series inayotumia Mb chache.

    Habari wanaJukwaa! Nawapa salamu za Jumapili hii ya tarehe 20/10/2024 ambayo nayo inaanza kuyoyoma taratibu. Shida iliyonileta ni kupata website nzuri ambayo ina series na movies za Hollywood ambayo ina packages zote hizo kwa Mb chache, nimejaribu kuingia fzmovies ila spidi yake hairidhishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…