msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada wa kisheria Sumbawanga kesi 125 zilibainika na kushughulikiwa

    Jumla ya Kata 10, Mitaa 15, Vijiji15, kesi 125 zilibainika na kushughulikiwa huku wananchi 25,780 walifikiwa ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga katika zoezi la msaada wa kisheria ambalo kilele chake ni leo Machi 6 Katika Mkoa wa Rukwa. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi wa...
  2. Msaada tatizo la taa ya check engine kwenye premio 1NZ

    Habari wakuu Gari yangu imepata changamoto inawasha taa ya check engine, nikamtafuta fundi kwa ajili ya diagnosis, tukapata code p1656 (vvti sensor toyota) fundi akasema ni tatizo la vvti sensor tumbedilisha lakini bado taa inawaka. Kwa mtu aliyewahi kukutana na tatizo kama hili naomba msaada...
  3. Wataalam, Msaada Tafadhali

    Wakuu, naomba Msaada wa namna ya ku unlock hii pocket router ya Alcatel pichani Nikiweka line tofauti na voda inaandika hivi๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ
  4. Naomba msaada wa uzi wa Mpwayungu ''Sitosahu Safari yangu ya Lindi''

    Wakuu ama mods naomba ule uzi wa Mpwayungu Village nina shida nao sana labda kama kuna link yake , asanteni
  5. Msaada ufafanuzi page ya Tanzania government communicator

    Habari wakuu Kama title inavyojieleza naomba kufahamu hivi page ipo chini ya taasisi ya serikali au ipo chini ya mtu binafsi. Ni kwasababu mara nyingi nimeona caption zake zinaanza na neno " nime... " Nimefanya hivi n.k Lakini kuna vingine pia ni kama havihusiani na page au viko kibinafsi...
  6. Msaada spea ya Toyota Alteza

    Wakuu kwema!?. Msaada tutani, nina gari aina ya Toyota Alteza ina engine ya 3s Yamaha imeua throttle(inajires na kuwasha chek engine muda wote). Wapi naweza pata spea!
  7. Naomba msaada wa ku unlock router hii hapa chini

    Nimeambatanisha d details zote pichani.
  8. Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi) 2+ (katika mechi yote...
  9. M

    Natafuta kazi ya uhasibu Naombeni msaada wetu

    Naitwa jenipha Nimesomea degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
  10. B

    MSAADA WA KUUNGANISHWA NA NDUGU WA PRISCUS ALOYSE MATEI (R.I.P).

    Habari wanajamii forums! Naomba MSAADA Kwa yeyote atakayekuwa anajua ndugu yeyote WA PRISCUS ALOYSE MATEI ambaye Kwa sasa ni marehemu, kabisa mchanga wa Moshi, alifariki 2013 kama sikosei. Nia na dhumuni ni kutaka kuwaunganisha hao ndugu na damu ya ndugu yao aliyoiacha mahali. Asante.
  11. Je, wajua mwaka huku hapatakua na kumbukumbu ya kifo cha ally Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili?

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe. Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki? Je, waliotangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29...
  12. Msaada tafadhali: Nitumie njia gani kumsaidia Mtoto wangu ambaye ni mzito kidogo kuelewa Shuleni (Slow learner)?

    Mtoto wangu sio Mjinga ila ana changamoto tu ya kuwa 'Slow' kwenye kuelewa Masomo yake jambo ambalo kidogo linaleta changamoto kwenye Ufaulu wake na kwasasa inamfanya ajisikie vibaya pia kwani anajiona kuwa tofauti na wenzake Msaada nifanyeje hapa jamani ili kumsaidia mwanangu (yupo Shule ya...
  13. Msaada: Je, unaweza kupata nakala ya taarifa zako ulizojaza NIDA?

    Hivi inawezekana kizipata taarifa zako ulizozijaza kwenye NIDA? Mfano ulipozaliwa, Kata, Ulipojiandikisha n.k? Ni muhimu sana. NIDA Tanzania
  14. Naomba msaada wa ajira/kazi/kibarua

    Habari za wakati huu wanajukwaa!? Sidhani kama huu ni uziwangu wa kwanza jukwaani juu ya maombi ya kazi. Mimi ni kijana (ME 23) ninaishi Dar es salaam, nimetoka chuo mwakajana ila sikufanikiwa kumaliza (juu ya changamoto zilizonipata) hivyo mwakahuu mwezi wa 11 nitaenda kumalizia mtihani wangu...
  15. Msaada ndugu yangu anakoweza kupata tiba ya ugonjwa unaomsumbua kwa muda mrefu

    Habari Wakuu Ninaomba msaada wa kupata daktari wa Jadi ambaye anaweza kumsaidia ndg yangu ambaye kwasasa ni kama amekata tamaa kabisa kutokana na kuhangaika pasina kufanikiwa. Historia yake fupi. Amefanikiwa kuoa mke ambaye kabla ya mafanikio walikuwa na upendo tu mzuri na maelewano na hivo...
  16. vyuo vya afya ngazi ya diploma

    Naomba kama kuna mtu yoyote Mwenye mungozo(soft copy )wa vyuo vya afya ngazi ya diploma. Tafadhali naombeni ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
  17. Msaada Lugha ya Kifaransa

    Wadau Kwema Naomba kuuuliza ni wapi wanatoa mafunzo ya lugha ya kifaransa ndani ya Jiji la Dar es Salaam
  18. T

    Msaada kuhusu TradeMark Logo

    Natumaini hamjambo. Nina jambo ambalo linahitaji muongozo: Nina Kampuni,imesajiliwa kwa jina furani. Imejitokeza kampuni nyingine, yenye jina kama la yangu. Activities ni tofauti. Sasa, wanaomba niwaruhusu watengeneze trademark logo ya kampuni yao. Alieniandikia, ni mwanasheria, anadai ni...
  19. Msaada: Nahitaji passport ya kusafiria

    Habari wakuu nimepata mchongo wa kazi nje ya nchi, nimepewa taratibu za kupata passport na inachukua muda wa mwezi na week kutoka, naombeni msaada kama kuna njia naweza kutumia kuipata kwa siku 7. Kila kitu kinachohitajika ninacho. Natanguliza shukran๐Ÿ™
  20. S

    Msaada juu ya kuwa dereva wa Bolt/Uber

    Ninategemea kuwepo dsm kwa miezi mitatu , nina miliki Gari ndogo Toyota Wish sasa issue inayonileta mjini ni masaa 8 per day kuanzia saa 9 nakua free na weekends nakuwa free sasa nawaza huo niwe napiga kazi ya uber/bolt kuingiza chochote kitu. Sasa sijui taratibu zake za kujiunga zinakuaje na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ