Ukiachana na kujaza uwanja mengine yote na kila kitu kilidoda.
Kwenye pitch walicheza mechi 3,mbili wakachezea kichapo na moja ndoo
Kwenye burudani kulikuwa na Koffi mambo aliyofanya ni aibu ya mwaka. Baadae alikuja msaani mwingine anaitwa Kabwili nadhani ni kipa yule. Msikilize alichoimba