msamaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    Sabaya komaa mpaka mwisho, usitume viongozi wa dini kuomba msamaha

    Mwamba wa Chadema alijifanya nunda lakini mwisho wake alituma viongozi wa dini ili wamchomoe na akalia sana kwa hudhuni ya huruma. Sasa hivi habari ya katiba mpya na kudai haki za wanyonge amesahau amebaki kuhudhuria live concert sababu yeye ni Deejay
  2. Chachu Ombara

    Kenya 2022 William Ruto amuomba msamaha Rais Uhuru Kenyatta

    Naibu Rais wa Kenya William Ruto amemwomba msamaha Rais Uhuru Kenyatta baada ya wawili hao kutofautiana pindi tu uchaguzi wa 2018 ulivyokamilika. "Najua kuwa kuhudumu kama Naibu wa Rais huenda sikufikia matarajio ya bosi wangu Rais Kenyatta, na ninaomba unisamehe," Ruto. Ruto ameomba msahama...
  3. N

    Habari mbaya kwa Makanjanja: kocha chizi la Orlando Pirates aiomba msamaha Simba na CAf

    Habari hii ndugu zangu wana jukwaa hamtaisikia ikiongelewa kwenye "media" zetu za HOFYOHOFYOOOOOO makanjanja huko yalipo yamekunja hadi sura maana week hii wamejaribu kufanya yooote kutingisha wana simba waapiiii raia wamekausha tu kimya lengo lao la kuleta mgogoro limeshindikana Team kushika...
  4. mr gentleman

    CHADEMA ni wakati wa kuomba msamaha kwa Zitto ili awasaidie, amewazidi sana maono

    Pamoja na madhaifu yake lakini kiukweli Zito Kabwe amedhiilisha ni kiongozi mwenye maono kuliko viongozi wote waliopo Chadema. Kila kinachotokea sasa Zitto alikiona muda mrefu nyuma na akawa anawakumbusha kuweka akiba ya maneno sababu yeye anamjua Mbowe kuliko nyinyi mnaomsoma mitandaoni. Sasa...
  5. Daudi1

    Kwanini inakuwa ngumu kusamehe katika mahusiano?

    Salamu nyingi ziwafikie popote mlipo..... Niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha mada kinavyojieleza, kwanza ijulikane maisha tunayoishi hatuishi kwa ajili yetu, yaani maisha yako ili yaende yanategemea watu wengine hakuna anayeweza kuishi kwa kujitegemea mwenyewe, vivyo hivyo hata...
  6. BigTall

    Rais wa Misri atoa msamaha kwa mwanahabari na wafungwa 3,000

    Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi ametoa msamaha kwa mwanahabari aliyefungwa jela kwa madai ya “kusambaza habari za uongo”, msamaha ambao umeenda sambambana zaidi ya wafungwa 3,000. Mwandishi huyo Hossam Moniss alihukumiwa kifungo cha miaka minne jela Novemba kwa shtaka la kusambaza habari za...
  7. Lady Whistledown

    TRA yavifutia riba vyombo vya moto ambavyo havijasajiliwa

    Mamlaka ya Mapato (TRA) imefuta adhabu na riba kwa vyombo vyote vya moto vilivyoingizwa nchini bila kufuata taratibu za forodha, huku wamiliki wakitakiwa kusajili rasmi vyombo vyao hadi kufikia Juni 30, 2022. TRA imesema lengo la hatua hiyo ni kujenga ushirikiano na uhusiano mwema kati yao na...
  8. B

    Namuombea msamaha hayati Magufuli kwa makosa aliyoyatenda

    Habari ndugu zangu Watanzania. Nimekuwa nikifatilia mijadala ya kumsema hayati Magufuli ikiwa inataradadi hapa jukwaani. Nipende tu kusema hakuna mwanadamu aliyemkamilifu. Kila mwanadamu ana mazuri na mabaya yake. Wote sisi ni waja wa Mwenyezi Mungu, na hatujakamilika. Ukitaka kuangalia kwa...
  9. Khadija Mtalame

    Makonda, Ita MEDIA omba msamaha watanzania

    hello wanajukwaa, hapa naongea kama mtu wa "sayari ya 78" baada ya Britanica kukupa ushauri asubuhi kuhusu hali ya usalama wa maisha yako ulivyo, nami nakuomba sana na nakusihi sana mdogo wangu Makonda acha kabisa kuwaomba ushauri hao wazee wa chama unaohisi watakusaidia, mfano:leo umekutana...
  10. P

    Je, tunapaswa kumwomba msamaha Hayati Magufuli kwa tulivyomsema na kumdhihaki? Naona mambo hayaendi sasa

    Nauliza tu. Tangu lipofariki JPM na wengi tukambatiza kwa jina la Mwendazake, mvua zilikata na hazijawahi kunyesha kabisa kwa baadhi ya mikoa na maeneo mengi nchini ukilinganisha na kipindi cha yeye kuwepo madarakani. Na inavyoonekana kuna mikoa baadhi huwenda mvua zisije kabisa msimu mzima...
  11. Victoire

    Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

    Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo. Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda. Rais kweli hapa si sawa kabisa.
  12. Etwege

    CCM ya Awamu ya Tano ilisamehe wengi akiwemo Kinana

    CCM mpya ya awamu ya tano haikuishia kuongoza kwenye kuwaletea maendeleo watanzania tu mbali iliongoza pia kwenye kutoa misamaha ya dhati kwa wanachama wake waliofanya makosa mbalimbali kwenye chama kipindi hicho. Miongoni mwa misururu ya wanufaika wa misamaha hiyo ni pamoja na makamu...
  13. Leak

    Nini kimemkuta Bernard Membe hadi kubadili msimamo wake mpaka kuomba msamaha mara tatu?

    Kipindi cha sakata la Membe,Makamba na Mzee Kinana kuhojiwa na kamati kuu Mh Membe pekee ndiye aliyegoma kuomba radhi kwa chama na viongozi kwa madai kuwa hakuna kosa alilofanya na alisema yuko radhi kufukuzwa lakini kamwe hatoomba msamha! Na kweli Membe alifukuzwa chamani na kukimbilia ACT...
  14. GENTAMYCINE

    Msamaha kwa 'Mwamba' ulikuwa ni wa lazima ili Taifa lipate Misaada ya Fedha nyingi kwa Watoaji wa Kimataifa wasiopenda Uonevu

    Baaada ya 'Mwamba' kutoka sasa ni wazi zile Pesa za Msaada kutoka Marekani na Uingereza zitatoka ili zingine tuzichezee, tuzifuje, tuzihifadhi kwa Matumizi 'Maalum' ya 2025 na nyingi zitakazobakia tukakijenge zaidi Kisiwa chetu na Chenji apewe Baba Mshauri wa Pwani ya Kaskazini mwa nchi.
  15. GENTAMYCINE

    Mliosoma na Kubobea katika 'Psychology' kupitia Picha 'Magogoni' ni nani aliomba Msamaha kidogo na nani aliombwa Msamaha zaidi na Kujutia?

    Binafsi nimeangalia Picha Tano ( 5 ) zote nimeona tu Kuna Mtu Sura yake ni ya Utulivu na ya Umakini ila ya Mtu mwingine kila mara anabembeleza, anatabasamu, anataka yaishe, anaomba Msamaha kwa Mikono, mara avae Barakoa na mara aivue na anaonekana Kashukuru kwa Kuutua Mzigo uliokuwa ukimuelemea...
  16. Tajiri Tanzanite

    Viongozi wa dini msitumie taasisi za kidini kumtetea mhalifu

    Hapo vipi! Jana nimesikia maombi ya viongozi wa dini kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiukweli kinachoonekana hapo nikwamba baadhi ya viongozi wa dini ni wanasiasa wenye mrengo fulani, lakini namuona kiongozi mmoja wa dini ambaye ndio, aliyepanga huo makakati kwa lengo la kumuombea...
  17. kibenten

    Mpenzi wangu amekiri kunisaliti, ameomba msamaha natafakari maamuzi ya kufanya

    Nipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja. Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30. Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia...
  18. Tajiri Tanzanite

    Lissu amejiridhisha Mwenyekiti wake hachomoki, ndio maana kaamua kumuombea msamaha kwa Rais Samia

    Hapo vip!! Nijambo la kushangaza na kuchekesha leo Tundu Lissu kumuomba Rais Samia atumie mamlaka yake kuondoa kesi inayaomkabili mbowe mahakamani. Ni wazi Lisu amesikika akisema hii kesi ni ya kutengenezwa na hamna kesi hapo,hivyo alisikika akimuonya Zitto kabwe kutomuombea msamaha mbowe kwa...
  19. Superbug

    Kumuomba mwanamke msamaha sio kosa hata kama hujamkosea

    Nawashauri wanaume wenzangu tuwaombe wake zetu msamaha hata kama wao ndio wamekosa. Ikibidi mfulie nguo zote na uoshe vyombo mbele ya jamii kama mmepanga.
  20. K

    Kama tutatumia mabilioni Kwa miaka mitano viongozi walewale kuitana na kutuambia AMANI, MSAMAHA NA UZURI wa mtawala, lini tutakaa na wananchi?

    Hii mikutano inayoandaliwa Kila Siku na Serikali inagharimu Fedha nyingi Sana za walipa Kodi. Lakini waudhuriaji ni watu walewale na wazungumzaji ni wale. Dhima ya mikutano hii yote nikuwaaminisha wananchi kwamba Serikali Kuna Jambo inafanya Kwa ajili ya wananchi, wazungumzaji wote wanazungumza...
Back
Top Bottom