msamaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Ni kitu gani mzazi/ mlezi alikukosea ukiwa mdogo bila kukuomba msamaha na kinakuumiza mpaka leo, mlioweza kusamehe mlifanyaje?

    Watu wengi wakiwa watoto wanafanyiwa matukio ya kuumiza na kwasababu ya udogo wao wengi hupuuzwa au kuongezewa maumivu badala ya kushughulikia madhara yaliyoletwa. Kutokana na dhana iliyojengeka kuwa "Mkubwa hakosei" wazazi/ walezi wengi huwa hawaombi msamaha endapo amemkosea mtoto, na watoto...
  2. BARD AI

    Biden atoa msamaha kwa waliokamatwa na Bangi

    Rais Joe Biden amewasamehe Wamarekani wote ambao wamepatikana na hatia katika ngazi ya kitaifa ya kumiliki kiasi kidogo cha bangi. Maafisa wanakadiria takriban watu 6,500 walio na hatia ya kupatikana na bangi watafaidika na msamaha huo. Kwa sasa hakuna mtu aliyefungwa kupitia shirikisho kwa...
  3. JanguKamaJangu

    Morogoro: Mfungwa aliyetoka gerezani kwa msamaha wa Rais adaiwa kufanya mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro linamshikilia mmoja wa wafungwa ambao waliachiwa huru kwa msamaha wa Rais mnamo Mei Mosi, 2022, Nestory Elias (62) kwa tuhuma za mauaji. Elias anadaiwa kumuua Mwajuma Sadru (75), Mkazi wa Mtaa wa Bong'ola kutokana na mgogoro wa kugombania eneo la biashara ambalo...
  4. Sir robby

    Waliofanya pati ya kusamehe Trilioni 360 ni viongozi au wananchi masikini?

    Mambo yamekuwa Mambo kumbe kuna Kundi lilisheherekea.
  5. Lady Ra

    Msamaha wa Malimbikizo ya Riba ya Kodi ya Ardhi, Kuna Walakini Mahali

    Wakuu Kwema? Mwezi uliopita niliona tangazo kutoka Waziri wa Ardhi, Mheshimiwa Angelina Mabula kua kama unadaiwa kodi ya Ardhi yenye malimbikizo ya riba juu yake basi ukilipa hiyo kodi utakua umesamehewa ile riba. Mimi nina Kiwanja mkoa wa Kilimanjaro, na Kiwanja hiki kilitathminiwa kama cha...
  6. T

    Ukiumizwa na kutendwa, bado unaweza kutoa msamaha?

    Katika maisha haya bado nawaza tofauti ya kuumizwa na kutendwa maana najua mtu kukuumiza ni pale amekuonea au kupoteza imani yake juu yako lakini kutendwa na jua tu labda kwenye usaliti wa mapenzi au umeachwa, ila mimi juzi yaliyonikuta hata nalia kwa uchungu kwani mwanaume niliyechumbiwa naye...
  7. Tate Mkuu

    Ni wakati muafaka kwa Mhe. Ismail Aden Rage kuwaomba mashabiki wa Simba msamaha

    Kwa heshima na taadhima naomba huyu Mheshimiwa ajitokeze hadharani kuwaomba mashabiki msamaha kwa kuwaita mbumbumbu wakati alipokuwa kiongozi mkubwa tu wa Simba Sports Club. Ni vizuri akalifanya jambo hili wakati bado akiwa hai. Hata kama alighadhabika kiasi gani, bado hakutakiwa kuwaita...
  8. Poker

    Uzi maalum wa kuombana msamaha na kusameheana! Members only

    Kama unahisi kunamtu umemkwaza kwa namna yoyote ile au ulimkera kwa njia yoyote basi uzi huu utumie kumuomba msamaha ili maisha yaendelee! Maisha yenyewe ndio haya haya let's forgive, forget and move on! Ukiombwa msamaha na wewe samehe kwani hutopungukiwa na kitu, let peace and harmony be with...
  9. MK254

    Urusi kuwapa msamaha wafungwa watakaojitolea kwenda kufa Ukraine, hali mbaya

    Urusi inajaribu kila mbinu kuficha aibu inayotokana na mapigo wanayopata kutoka kwa kataifa kadogo saizi ya mkoa wao mmoja, inapanga kuwapa msamaha wafungwa watakaojitolea kwenda kufa Ukraine, pia walinzi wa kwenye mageti wenye uwezo wa kufyatua bunduki. ================== WASHINGTON (Reuters)...
  10. Lady Whistledown

    Msamaha wa Madeni: China yashutumiwa kwa Mikopo ya Mitego kwa Nchi za Afrika

    Baada ya Waziri wa Mambo ya Nje kutangaza Agosti 20, 2022 kwamba nchi hiyo inasamehe mikopo 23 kwa nchi 17 za Afrika, huku ikiahidi kuimarisha uhusiano wake na nchi hizo baadhi ya wanadiplomasia wameiita hatua hiyo ni ”diplomasia ya mtego wa madeni” Wakosoaji hao wameituhumu China kwa Kukopesha...
  11. M

    Waafrika tulipotoshwa kuhusu Chifu Mangungo wa Msovero sio mjinga, Watanzania tuiombe familia yake msamaha na tumuenzi kama shujaa wa uwekezaji

    Chifu mangungo hakuwa mjinga, watanzania tulipotoshwa, tunapaswa kuiomba familia yake msamaha Kwa miaka mingi sana chifu mangungo ameendelea kuonekana kama mfano wa kiongozi mjinga hasa pale linapotokea swala la mikataba. Lakini je Mangungo alikuwa mjinga kweli? Chifu mangungo ni nani...
  12. Pascal Mayalla

    Kumbe Shetani Alikuwa Mwandishi wa Habari!, na Alichomfanya Eva Bustani ya Eden ni Uandishi wa Habari?- Je Media Tuombwe Msamaha Kuitwa Shetani au?

    Wanabodi Declaration of Interest Mimi ni Mkristu Mkatoliki, ila mara moja moja huwa nahudhuria mafundisho katika madhehebu mbalimbali, ikiwemo Lutheran, Anglican, Makanisa ya Wokovu, na kwa wachungaji mbalimbali akiwemo Nabii Mwingira, Askofu Kakobe, Mzee wa Upako, Mwamposa, Assemblies of God...
  13. Mganguzi

    Namwombea msamaha Paul Makonda, ni damu changa iliyozikwa mapema

    Mimi Makonda ni mdogo wangu kiumri na hata kiutumishi. Nilikuwepo wakati akihudumu kama mkuu wa mkoa wa Dar. Ni kijana shupavu asiyeyumba katika jambo analoliamini. Makonda alisaidia sana Jiji la Dar kuwa salama alikimbizana Sana na wauza madawa pamoja na waliotelekeza watoto. Alilimudu Jiji...
  14. makilo

    Kwanini umenifanyia hivi Ritha?

    Baada yakupata maumivu yakutosha kutoka kwa mzazi mwenzangu niliyezaa nae (maumivu yasiyosameeka), nikajipa muda wa mwaka na ushee nikakutana na huyu binti mrembo cheupe jirani yangu. Mwanaume nikasimamia Kila kitu kuhusu yeye nikamshauri aache kazi ya elfu 4 kwa siku abuni biashara nitampush...
  15. G

    SoC02 Mtazamo wa msamaha

    Habari watanzania na wadau wote kwa ujumla. Katika chapisho hili nalenga kukutazamisha angalau kwa sehemu kuhusu msamaha, ninauhakika utakapomaliza kulisoma kwa utulivu utabadili au kuboresha mtazamo wako kuhusu msamaha. Katika chapisho la kiingereza liitwalo safari ya mahusiano binafsi...
  16. sky soldier

    Kabila lako bado mnaendelea kufanya matambiko ama mmeikacha asili yenu? Tambiko lenu hufanyikaje liwe la upatanishi, kufukuza mikosi, msamaha, n.k

    kabila hutambuliwa kwa Lugha, Mila, Miko, Majina na matambiko , hapa tutagusia matambiko .... Hakuna mtanzania asiye na tambiko, kila kabila alilotoka lina tambiko lake . yapo makabila ambayo.97% ya kabila hilo ni wakatoliki lakini matambiko ya kiukoo yanaendelea na wazee wamila...
  17. sky soldier

    IMEISHA HIO: Kuomba msamaha kwa Haji Manara sio taarifa njema kwa Simba waliodhani kwamba atasimamishwa, Wembe ni ule ule

    Tunaendelea tulipoishia! Hapa hafungiwi mtu, Manara ataendelea kuwapelekea simba moto kama kawaida, hizo ndoto za abunuwasi kwamba Manara atafungiwa msahau, Sana sana Manara ataambiwa alipie faini ya milioni 5 na ataendelea na majukumu yake Wananchii !!! Makombe yaendelee!!!
  18. N

    TFF msizuge nyie ndiyo mmemuomba msamaha Manara, CAF wangewabomoa

    Manara the greatest, the brightest, kijana mstarabu mwenye elimu yake nchi hii yaani degree mbili za south africa na china hajawahi kushindwa vita Hii ni kwa sababu ana upako wa Mungu yaani ni mpakwa mafuta, wapo waliojaribu kushindana naye waliufyata wenyewe Barbara sasa hivi ana migogoro...
  19. sam green

    Amenikosea badala ya kuniomba msamaha kakaa kimya tu

    Tulikwazana kidogo na my girlfriend nikaamua nikae kimya! Nashangaa naye yupo kimyaa siku ya 3 ina isha leo hivi kuna upendo hapo [emoji849][emoji849][emoji849] Nilitegemea atanitafuta ataomba msamaha lakini kaamua naye kukausha kama mimi.
  20. M

    Rais, Wananchi tunaomba msamaha wa Kodi za nyuma uhusishe pia kodi za Pango la Ardhi

    Wakuu Salam! Moja kwa moja kwenye mada! Hivi karibuni akiwa ziarani katika moja ya mikoa ya kanda ya ziwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alizitaka mamlaka za kodi kuacha kudai kodi za kuanzia miaka miwili (2) nyuma, huku akibainisha wazi kuwa kitendo cha kodi hizo kulimbikizwa ni uzembe wa...
Back
Top Bottom