Nawafokea maaskofu uchwara na viongozi wote wa dini wanafki na wadhalimu kwa jina la mwenye enzi Mungu.
Wakati wa utawala dhalimu wa yule dictator uchwara,,lipo juha moja lilikua likitoka kifua mbele na kutukana watu pasi na hofu yoyote.
Matendo hayo maovu yalifumbiwa macho na kufurahiwa na...
Wanabodi,
Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipokuwa akiyatenda hayo na kufanya makosa yale, hakuwa yeye, he was insane and possessed by demons hivyo kuwa kama kichaa kabisa! ni shetani alikuwa...
Siyo tunafungwa Goli 10 au 17 na Wydad Casablanca FC Siku ya Jumamosi tarehe 29 April, 2023 huko Kwao nchini Morocco halafu tunaanza Kumchukia na Kumlaumu Kipa Wetu Kinda ambaye nimembatiza rasmi Jina la Juma Kaseja Mpya.
Sijui nitaficha wapi Sura yangu mie.
Huu ndio ushauri wangu kwasababu dini zote zinatambua na kuhuburi msamaha kwa wakosaji.
Kwa msingi huo, kiongozi mwenye imani ya kidini, atakuwa sahihi zaidu kutoa msamaha kwa wafungwa katika sikukuu za kidini.
Na jatika hili, sidhani kama kuna sheria inatamka kuwa misamaha hiyo itolewe...
Ni kituo cha mabasi cha mawasiliano. Wako maaskari wengi lango wa kuingilia, kila gari linaloingia linasimamishwa na kuchukua hela kwa konda. Bahati nzuri nikashuhudia askari wa kike akipokea hela, nikamfuata na kumweleza nichokiona, akanijibu vibaya.
Nikatishia kuchukulia hatua zaidi lakini...
Anasema mwaka 2008, akiwa Msaidizi wa Rais Kikwete, alikuwa ziarani Makete. Alikuwa anatumia gari na dereva wake wa Ikulu, aliyeazimwa kutoka Jeshini. Jioni moja, kuna document ya Rais alitaka aifanyie kazi na kumpelekee kesho yake saa 1:00 asubuhi. Akamwambia dereva amfuate saa 12:30 asubuhi...
Huku JF wakati mwingine huwa naingia nikiwa serious na nikiwa makini kweli kweli. Lkn Kuna muda nakuwa na stress zangu tu naamua kuja kuziondolea huku.
Hivyo kuna muda natoa maoni yanayoweza kuwa yamewakwaza baadhi yenu.
Nachukuwa fursa hii kuomba radhi kwenu nyote ktk siku hii takatifu...
Nimekaa nimewaza sana sipati majibu iweje Mwanaume kamili anawaza kua upande wa pili?..Nina marafiki wa kike kama watatu kwa nyakati tofauti nilisikia wakisema wanatamani wangezaliwa wa kiume, maana mambo yanayowakuta ni mazito.
Imagine bwana mpwayungu sasahivi na hii mvua ungekua umechora saba...
Miezi michache iliyopita, nilitengana na mwenzi wangu wa muda mrefu baada ya kusitisha kuota mahari nyumbani kwao na kuamua kumsaidia rafiki yangu ambae alikuwa kwenye changamoto fulani za kimaisha.
Nilipomjulisha kwamba nitaahirisha kutoa mahari, hakukubali na aliniomba tuachane. Nilikubali...
Ikiwa Leo ni siku ya wanawake duniani ningependa nichangie mawili matatu.
Wanawake kama walivyo wanaume nao huwa Wana hisia za furaha na huzuni pia, kutofautiana katika ndoa ni Jambo la kawaida Sana kwasababu binadamu hatuja kamilika hivyo huwa tuna fanya makosa ima Kwa kujua au kutokujua au...
Kuna tetesi kwamba Chadema wameamua kuweka "silaha chini", na muda si mrefu watatangaza msamaha kwa Mdee na wenzake.
Mkutano mkubwa wa hadhara unapangwa ili kutangaza msamaha huo kwa msingi huohuo wa maridhiano, na wao wajikoshe kwamba hata kwao Kuna wema (charity begins at home).
Itakumbukwa...
Chris Brown amemuomba msamaha Robert Glasper baada ya kumkashifu kufuatia kushindwa kwake katika uwaniaji wa Tuzo ya Grammy.
Mwimbaji huyo wa "Under the Influence" ameweka picha Instagram ikiwa ujumbe wa moja kwa moja aliotuma kwa Glasper ambapo akimpongeza mwanamuziki huyo kwa kushinda Albamu...
Wazazi wengi huwa hawana utamaduni wa kuomba msamaha watoto wao pale wanapogundua kuwa wamewakosea.
Badala yake hutengeneza mazingira ama ya kugeuza kosa lile liwe kwa mtoto, au kutengeza mazingira ya kumfanya mtoto kuonekana anastahili adhabu hiyo sababu alizubaa kusema mapema kuwa hajakosa...
Raisi wa Tanzania alitowa msamaha wa riba kwenye kodi ya ardhi kwa watakaolipa kufikia 31 Disemba. Msamaha huu ulipigiwa debe na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi.
Ni kwa nini utekelezaji wake unalazimisha watu wajaze fomu ya maombi wa msamaha? Isingekuwa jambo jepesi kuweka utaratibu wa...
Tofauti kabisa na mawazo ya timu Marekani humu jamvini ambayo hung'ang'ania ushindi hata kama imepigwa za uso, jeshi la Korea ya Kusini limeomba msamaha wa wazi kwa kushindwa kuzipiga drones za Korea ya Kaskazini kwa masaa matano (jana wao wenyewe walisema kwa masaa 7, leo wamepunguza na kusema...
Na mkimaliza kutuomba huo Msamaha mkubali kuwa kuna Watu Wengine hapa JamiiForums wanayajua yale ya Ndani yaliyojificha zaidi yenu hivyo wakiwa wanayasema hapa JamiiForums muwe mnawashkuru na ikiwezekana hata kuwapigia Saluti sawa?
Mimi ndiyo MINOCYCLINE The Chief!!!
Hii ni baada ya siku chache pale nchini Qatar katika mechi ya mtoano hatua ya 16 Bora morroco walipo fanikiwa kuwaondoa spain.
Sofiane Alisema ushindi huu ni kwa Waaarabu wote na Morroco.
Jumuiya ya Ulaya inasema tayari imetoa ufafanuzi wa taarifa hiyo.
Jumuiya ya Umoja wa Ulaya inasema "hakuna haja ya kuomba msamaha" kwa Ukraine kwa kauli ambayo sasa imefutwa iliyotolewa na rais wake, Ursula Von Der Leyen, ambaye alidai kuwa wanajeshi wapatao 100,000 wa Ukraine wamepoteza...
Ni wanaodaiwa kuwa wanachama wa vikundi vya Kigaidi vya Islamic State na Al Shabaab ambavyo vimekuwa vikifanya mashambulizi katika jimbo la Cabo Delgado tangu mwaka 2017.
Nyusi amesema waliosamehewa ni wale waliojisalimisha kwa hiari yao baada ya vikosi vya Majeshi ya Msumbiji, Rwanda na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.