Wakuu,
Mambo yameendelea kuwa sukari kwenye hili sakata la Tanzania na Kenya. Yaani inaonekana kuwa Serikali ya Kenya ime-align na serikali ya Tanzania kwenye hili suala la CHADEMA na Martha Karua.
Yaani hizi serikali za kiafrika zinafanana wakuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.