msemaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwahiyo Bondia Dulla Mbabe alisubiri Kwanza hadi apewe na Rais Samia Tsh Milioni 2 kupitia Msemaji Msigwa ndipo aseme si Mitano bali Kumi tena?

    Yaaani Bondia Dulla Mbabe kapigwa, Rais kampa Tsh Milioni 2, ila Chama cha Mabondia Tanzania hakijapewa chochote.
  2. Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amezungumzia Mkataba wa Bagamoyo

    https://www.youtube.com/watch?v=VJmfnduWSJk The Chanzo imefanya mazungumzo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa juu ya masuala mtambuka ikiwemo suala la Serikali kuaminika kwenye taarifa inazozitoa kwa wananchi, Sakata la bandari Bagamoyo, matukio ya utekaji, utekelezaji wa miradi ya...
  3. Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe hapa kwa Kumjengea Nyumba Mama yako ili aishi na siyo Waishi sote na Baba yako umechemka vibaya mno

    Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na...
  4. Live from King Jada Hotel Morocco DSM: Kikao Kazi Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri, TEF

    Wanabodi, Niko kwenye ukumbi wa hoteli mpya ya King Jada Hotel, nikiwaripotia live, kikao kazi kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri Tanzania , TEF Karibuni. Paskali
  5. L

    Nashauri msemaji ya Tabora united asibugudhiwe, ila ataniwe TU

    Huyu ni dada yetu, ni mpenda soka mwenzetu, na anaifanya soka ipendwe zaidi na wanawake/wasichana. Naomba wanaume wenzangu kwa vyovyote vile mtanieni utani wote lakini nawashauri msimtanie utani usio faa, usio katika maadili ya taifa letu na hususan msimtanie mambo yanayokwaza kwa jinsia yake...
  6. Rais na msemaji wa Yanga wapo Morocco, waliofuzu shirikisho wapo Mbarahati

    Hii ndo tofauti ya CAFCL na shirikisho Timu ikicheza Club bingwa CAFCL itaalikwa kwenye majukwaa makubwa ya kimpira Viongozi wa timu za shirikisho hawawezi kusimama kwenye majukwaa makubwa, Soma Pia: Hafla ya upangaji wa Makundi AFCON 2025, Tanzania tutapangwa na nani? Viongozi wa Simba wapo...
  7. Msemaji Mkuu wa Serikali anazungumza na Wanahabari kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, leo Januari 25, 2025

    https://www.youtube.com/live/P1Wh1QZrawc Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali atakuwa akiongea na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Morogoro na Dodoma kutoa Taarifa ya Serikali kwa Wanainchi Kupitia vyombo vya Habari .
  8. Msemaji wa Chuo Kikuu cha SAUT ajibu madai ya mfumo wao wa Matokeo kuchezewa na baadhi ya watu, asema upo imara

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto kadhaa ndani ya mfumo wa Chuo Kikuu cha SAUT (Augustine University of Tanzania - SAUT), ufafanuzi umetolewa. Mwanachama huyo alidai kuna baadhi ya Watu ambao sio waaminifu wakiwemo baadhi ya Watumishi wa taasisi hiyo wamekuwa na...
  9. Mjue kwa undani msemaji wa wananchi

    Jina lake : Ally Shaban Kamwe Nafasi : Kitengo Afisa habari Yanga Mkoa aliozaliwa : Kilimanjaro Kabila : Mpare Umrefu : 5.1 Urefu wa ume wake : 4.7 Uzito : 59kg Kabila la Mama : Mchanga Kabila la Baba : Mpare Mama anashabikia : Yanga Baba anashabikia : Simba Amekulia : Dar es salaam...
  10. LGE2024 Msemaji Mkuu Wa Serikali: Ukishapiga kura rudi nyumbani

    Mkuu, Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania Thobiasi Makoba akitoa ujumbe kwa wanahabari na Watanzania kuhakikisha wanajitokeza kupiga kura kesho, Jumatano Novemba 27.2024 ili kuchagua viongozi wanaowataka Soma pia: Msemaji Mkuu wa Serikali azungumzia mafuriko nchini, miaka 60 ya muungano na...
  11. Said Mtanda: Msemaji wa Simba anatumia Umaarufu wake kunichafua

    “Ahmed Ally amenikosea sana, anatumia umaarufu wake kunichafua, Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga” Mh Said Mtanda, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kupitia kipindi cha michezo cha Crown Sports ya Crown FM Una maoni gani?
  12. Thabit Zaka za Kazi: Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango na nawadharau hata Mashabiki wao Wanaomumini

    "Nadhani Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango. Anasema Mchezaji wao Dube huwa akitaka Kufunga Goli anapunguziwa mwanga wa Taa na Wafanyakazi wa Uwanja wa Azam Complex ila mbona hatujasikia lawama za Makipa wa Timu pinzani wakilalamika kuwa na Wao Dube akitaka tu Kuwafunga nao...
  13. A

    Msemaji wa Hezbullah: Waisrael Hamtarudi North, Msahau Kabisa

    Ujumbe ndio huo, msemaji wa Hezbullah anasema Israel hawezi kushinda vita kwa ndege, au kuvunja majumba na kuwauwa watoto au wanawake. Vita huwezi shinda bila ground force, na hicho kitu Israel hana. Anasema watakumbuka ujumbe wa Nasurlah Israel yupo katika ndoto, jeshi lake ni dhaifu kuliko...
  14. L

    Chadema mteueni Lema awe mwenezi au msemaji wenu maana kila siku yuko mtandaoni

    Inaonekana Godbles Lema hawaamini akina Mnyika wala yule mkurugenzi wao yeye akiwa na hoja anaita press anaongea t, tena anaongea as if chama chake hakina wasemaji. Ukiwa na chama cha namna hii ni hatari sana, kesho john Mrema ataongea, kesho Mnyika ataongea, keshokutwa Lissu, keshokutwa yake...
  15. U

    Msemaji Hezbollah Mohamed Afif adai kipaumbele kuichakaza Israel kijeshi ila wanaunga mkono juhudi zozote za kusitisha mapigano

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya za Msemaji wa Hezbollah Kwamba wao kipaumbele ni kuishinda Israel kijeshi japo wanakaribisha kwa mikono miwili juhudi zote za ndani na nje ya nchi kusitisha "uvamizi" wa Israel --- Hezbollah says priority is defeating Israel, but open to efforts to halt...
  16. C

    Ni msemaji yupi hajawahi kushinda kombe lolote?

    Kati ya Haji Manara, Ahmed Ally, Ally Kamwe na Zakazakazi/Ibwe, nani hajaonja ladhs ya ubingwa wowote? Nauliza tu
  17. Azim Dewji. Navyomuona ana kitu atafika mbali. Rais Samia mtizame huyu Mzee

    Huyu mzee anajitahidi sana kutetea Serikali. Isimwache hivi hivi imwangalie kwa jicho la tatu anaweza kuwa msaada hapo mbeleni. Anajitahidi sana kuitetea Serikali. Ni kumpa tu Elimu angalau sasa awe na maneno ya akili au ajue kujenga logic katika anachoongea. Nimemkubali ana mapenzi sana na...
  18. M

    Vita l'O , wakiondoka watuachie msemaji wao yule jamaa ni mtu safi sana halafu ikiwezekana apate kazi kwenye timu za Bongo.

    Yule jamaa ana courage kubwa sana , Yule kwanza ni muungwana sana , Anapokua kashindwa wala haleti ubishi, anakubali na maisha mengine yanaendelea hataki matatizo na watu, Buchuti anakupambania hadi mwisho hata kama anajua utashindwa, Jamaa abaki tu Bongo ili tudumishe muungano wa east africa...
  19. Arsene Bucuti, Msemaji wa Vital O ajiuzulu, ni baada ya Kichapo kutonga Yanga Afrika

    Arsene Bucuti, Msemaji wa Timu ya Mpira kutoka Burundi ya Vital O, ameamua kujiuzulu. Ni baada ya Timu yake kufungwa na Timu kutoka Tanzania ya Young Africans. Amesema ametimiza ahadi yake. Kabla ya Mchezo uliochezwa Azam Complex Mkoani Dar Es Salaam, aliahidi kwamba Timu yake ya Vital O...
  20. Haji Manara anapaswa kumuachia Ally Kamwe kuwa msemaji mkuu wa Yanga sc, kwa maana wakati wake umeisha (umepita)

    Kila kitabu na zama zake , Haji Manara alikua moto sana kipindi anashindana na Murro wakati Haji akiwa Simba sc na Muro akiwa msemaji wa Yanga hakika nilishuhudia na kusikia maneno yenye mbwembwe na kejeli humo humo ndani yake hakika gemu ilichangamka mno tena mno na hiyo yote kwa kua walikua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…