https://www.youtube.com/watch?v=xyOZfGov2YA
Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akizungumza na Wanahabari, leo Machi 24, 2024, mada Miaka Mitatu ya Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
KUHUSU KAULI YA WAZIRI NDUMBARO
Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi...
Katika taasisi kubwa hapa duniani Kuna Maafsa habari au wasemaji wa taasisi hizo.Achilia mbali taasisi pia Kuna wasemaji wa serikali hususan katika masuala ama jambo Fulani.
Simba sports club ni club ya mchezo wa mpira wa miguu.
Mpira wa miguu ni burudani,ni starehe ni furaha na anasa...
Kuisemea Team ambayo haina uwezo ni kazi jamani nyie achen Mtu unajitamba Jumamos tunaenda kumaliza kazi Mashabiki Njooni..
Mnyama Robo anatinga,ghafla Akili inarudi inakwambia huo uwezo huna,Team lako goigoi... unaanza kuomba Support ya Mashabiki tena onhoo hili hatuwez sisi na Mo na Mangungu...
"Tumeshachoka sasa na hii tabia ya Uongozi wa Singida Fountain Gate FC ya kila mara kubadili Jina la Timu, kuhamisha Timu kwenda Mikoa mingine na kufanya Biashara kimya kimya ambazo hazileti Tija kwa Timu yetu.
Sisi wakazi wa Singida tunaomba hii Timu ibadilishwe Jina na watumie Majina ya huko...
"Sisi Yanga SC siyo Timu ya Kulialia na Kudekadeka kama Wengine kuomba Mechi zao za Ligi zisimamishwe wakidhani hivyo Viporo vyao watavila wakati Yanga SC tumejiandaa kuhakikisha Viporo vyao vyote Vinachacha na Vitachacha. Yanga SC tutaendelea kucheza Ligi na kucheza Mechi za Kimataifa ili...
Haji ni kijana bado, sio mzee kivile, mwanamichezo na serebliti katika sport na kadhalika.
Hoja yangu ni kwamba ni kweli aliigusa 7 points katika division ya kwanza.
Labda nite maelezo mafupi kwa wenye talent, bahati njema ni kwamba hawa vipaji aka vipanga wamenizunguka nawafaham vyema. Mmoja...
"Kwa sasa Simba SC tutautumia Uwanja wa Azam Complex kwa Mchezo wetu dhidi ya Tembo katika Mechi ya ASFC Keshokutwa na Taarifa ya Simba SC itatumia Uwanja upi kwa Mechi zake za Ligi Kuu ya NBC na CAFCL itatolewa baadae" amesema Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally alipokuwa akiongea na Mtangazaji wa...
Tena simba sc wamechelewa sana kumshtukia na kuja na onyo hili kwake
Kwa miezi miwili sasa kama ukiwa makini kila ukimsikia msemaji wa simba sc ahmed ally akiongea na media utagundua kuwa hayuko serious kabisa na kwa 99%. anachokifanya ni mzaha mwingi pamoja na ukomedi wake ambao wala hauna...
"Hakuna klabu ya ligi kuu ya Tanzania isiyokuwa na madeni hivyo watuige sisi Singida Fountain Gate FC ambao huwa hatufichi na wala hatuoni aibu kusema kuwa tuna madeni lukuki" amesema Hussein Massanza msemaji wa Singida Fountain Gate fc
Taarifa: sports headquarters ya Efm radio hivi punde tu...
Ahmed Ally wa Simba amekuwa akijiita Semaji la CAF. Taarifa hizo siyo za kweli, pichani chini Veron Mosengo Omba ndiye msemaji wa shirikisho la soka barani Africa CAF, Kwa Mujibu wa katiba ya shirikisho hilo Katibu mkuu yaani General Secretary ndiye msemaji wa taasisi
Pia nimekuta pahala...
Serikali ya Tanzania imesema thamani ya misaada iliyotolewa na wahisani mbalimbali kwenye maafa ya Hanang imefikia Sh7.7 bilioni.
Kiwango hicho kinajumuisha misaada ya chakula na mahitaji muhimu ya kibinadamu ambavyo thamani yake ni Sh2.5 bilioni huku fedha taslimu zikifikia Sh5.2 bilioni...
Salamu,
Huenda tutegemee matokeo chanya toka kwa msemaji huyu wa TANESCO Mha. K BOYMANDA
Ikimpendeza afuate nyayo za Yule wa Chama tawala huenda watendaji wazembe katika ngazi za wilaya, mikoa, kanda na vituo vya kufua umeme wataamka Kwa uchapaji kazi.
Jamaa alimumunya maneno na kujaribu kueleza kuwa hawakuua watu wasio wanajeshi ila alipohojiwa na kubanwa kwanini waliua familia za watu kwenye nyumba zao, watoto na akina mama, lizee likatokwa na jasho na kutupa mic, lilishindwa kujibu.
Ni aibu sana kwa mzee mtu mzima kama huyu kushindwa...
Wanaukumbi.
Mwanzo tuliaminishwa kuwa Hospitali ya Al Shifa, kuwa ndiyo Makao Makuu ya Hamas wana maandaki chini ya hosptali wanajicha huko na kupanga mashambulizi pia wanatumia wagonjwa na raia kama kinga.
IDF wamevamia hospitali na na hii ndiyo taarifa yao.
"Wanajeshi walipata sare za...
Msemaji wa HAMAS: Hatamu za udhibiti wa mapigano na adui mzayuni ziko mikononi mwa wanajihadi
Magharibi mwa Ei Rose ndani ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kuzilenga kwa makombora zana za kivita za jeshi la utawala wa Kizayuni.
Baada ya hapo, al Qassam ilitangaza kuwa wapiganaji wake...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi, amesema utiaji saini Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji na Uendeshaji wa sehemu ya Bandari ya Dar es Salaam, baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kampuni ya DP World ya Dubai kwenye hafla...
Msemaji wa Singida BS Hussein Massanza tulipokutana Singida nilikwambia uache kuwasumbua watu kwamba mtaifunga Yanga. Nilikuuliza mtashindaje ikiwa mnacheza kwa maelekezo? Mzee wa Jambia kaiweka vizuri, ni bora muwe mnaenda tu TFF kusaini matokeo mnayokubaliana badala ya kuleta mashabiki...
Tafadhali nawaomba Siku zingine msirudie tena au kama mnapenda awe anatumika katika Oparesheni zenu basi anzeni Kumlisha vyema ( Balance Diet ) ili Mwili wake uongezeke na mpeni Ratiba maalum ya kwenda Gym Kuujenga na Kuukomaza Mwili wake akienda tena katika Oparesheni zingine asiwe anapepesuka...
Kwa 95% Kiongozi wa Azam FC ( ambaye Watu wa Mpira Tanzania tunajua ni mwana Yanga SC lia lia ) CEO Popat ndiyo huwa Silaha Kuu ya Yanga SC kuifunga Azam FC muda wowote na inavyotaka.
Na hiyo 5% iliyobaki ni ya Msaliti mwingine mdogo Msemaji Ibwe ( ambaye ni mwana Yanga SC kindakindaki ) hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.