Msemaji wa Serikali, Mobhare Matinyi akiwa kwenye hafla za utoaji tuzo za Washindi wa Shindano la JamiiForums la Stories of Change zilizofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro amebainisha kuwa kazi kubwa atakayoifanya ni kuhakikisha Wananchi wanapataa taarifa...
Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi amesema ukisoma JamiiForums hata kama umeingia umenuna utacheka tu kwa kuwa ni sehemu inayowapa watanzania uhuru wa kuzungumza.
Ameipongeza JamiiForums kwa kuandaa shindano la stories of Change ambalo halfa ya utoaji wa zawadi kwa washindi inafanyika...
Je, kwa sasa jina la Bodi ya Mikopo kwa Elimu ya Juu limebadilka kutoka lile tulilolizoea la HESLB ( Higher Education Student Loan Board ) na sasa limebatizwa Jipya la Samia Suluhu Higher Education Student Loan?
Haya Poti wangu (mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu) Mobhare Matinyi naomba uanze na huu...
"Ligi Kuu ni Marathon hivyo bado Michezo iko mingi na huu wa leo ndiyo Kwanza wa Nne hivyo msiwe na wasiwasi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe akiongea na Waandishi wa Habari baada ya Kichapo cha Mbarali leo.
Hivi Wewe Ali Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) na wana Yanga SC Wenzako ukiongozwa...
Nauliza, kati ya Mobhare Matinyi(Mwanafamilia Mwandamizi wa Kipanga House aliyewiva hata mara kadhaa jina lake kufikishwa mezani kwenye Mamlaka za Uteuzi ateuliwe kuwa DG wa Jumba lile).
na Ndg. Salim Kikeke (with due respect, Mshereheshaji na Chawa Mkuu wa Makolo FC kwa sasa) nani alipaswa...
Nimetafakari kuhusu mamlaka ya huyu msemaji wa serikali. Anapata wapi cha kusema? Anatafuta mwenyewe au Rais anasema sema hili na hili na hivi na hivi?
Naomba mwenye CV ya Msemaji Mpya mrithi wa Gerson Msigwa atuwekee hapa.
Sambamba na TV nani anaweza kutupa A,B,C ya mambo ambayo amewahi kufanya na kufanikiwa ili tuone kama anaweza kilisemea Taifa au Serikali pale tunapolazimika kufanya hivyo.
Je, kuzungumza na waandishi wa habari akiwa DC...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Kabla ya uteuzi huo Bw. Matinyi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.
Uteuzi huu unaanza mara moja.
Julai 2, 2023, Rais Rais Samia...
Kama kwa siku kadhaa hatuna Msemaji wa Serikali baada ya Gerson Msigwa kupelekwa Wizarani , na hakuna kilichobadilika , basi ni dhahiri kwamba Cheo hiki hakina haja ya kuwepo ili kupunguza matumizi ya serikali .
Napendekeza Waziri wa Habari ndiye awe Msemaji wa Serikali .
Msemaji Mkuu wa Serikali ni Nafasi Muhimu na nyeti. Inamhitaji Mtanzania Mwenye uzoefu wa kutosha na kwenye sekta ya habari, mzalendo na ambae anaweza kuizungumzia positively Serikali wananachi wakamwelewa; pia Mwenye uwezo wa kuchakata taarifa vizuri na Mwenye art ya kufanya spinning katika...
Jinsi upepo unavyovuma sio kwamba Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali anaandaliwa Kikeke.
NB; Ni utabiri tu nisipigwe mawe. Leta utabiri wako Mwanabodi.
Miaka ya nyuma hili jeshi ilikuwa ni nadra sana kusikia wanatoa matamko kwenye vyombo vya habari, na ikitokea kutoa taarifa basi itakuwa ni taarifa ambayo ni nzito sana na kila mwanachi anakuwa na shauku ya kuisikia.
Pia walikuwa wakitoa taarifa au tamko basi ni mara moja na hutaona wakirudia...
Tokea Alhamisi iliyopita (ila najua baada ya Kuumbuka kwa leo wamefanya Editing) Kurasa halisi (Official Page) ya Yanga SC na zile za Mashabiki wake Wapuuzi Wapuuzi walitutangazia kuwa Mchezaji wa Yanga SC Beki Gift Fred ameitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes)
Taarifa...
“Serikali imesharudisha takribani TZS bilioni 9 kwa wafanyabiashara waliokuwa wamewekeza kwenye Bureau de Change [maduka ya kubadili fedha] ambazo zilikuwa zimekamatwa katika oparesheni iliyofanyika, na baada ya kujiridhisha na kukuta wamefuata na kuzingatia vigezo, wamerudishiwa fedha zao ili...
"Tumewaletea wana Yanga SC Mchezaji ambaye hatakama hatofunga Goli ila atahakikisha Mashabiki Wote Uwanjani wanaburudika kwa Maufundi yake ya Kuchezea Mpira" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe aliye Studioni sasa Spoti Extra ya Clouds FM.
Haji Manara (Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC) hakukosea...
Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali amesema haya...
Rais ametoa uhuru wa kujieleza, kila mmoja anaweza kujieleza lakini Mheshimiwa Rais hajaruhusu watu walete mtafaruku kwenye nchi,mgongano kwenye Nchi, Sio kwamba hatujuwi wanachokifanya, bahati mbaya sana watu wameingiza maslahi...
Yaani kila Siku tu Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe unazidi tu Kujichoresha na Kujidhalilisha kwa Kauli zako.
Wenye Akili zaidi yako tunajua kuwa kuna Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC ya nchini Uganda wamekuja kufanya Majaribio (Trials) na Yanga SC na cha Kushangaza Wewe umehojiwa na...
Nasikiliza mjadala unaondelea unahusu DP World huko Club House kwa kweli comment zote zinakataa uwepo wa Muwekezaji huyo kutoka Dubai kupewa bandari yetu, sijui kwa nini Serikali bado imekomaza shingo na kutaka watu wakubaliane nao na huku hali inaonesha wamekataa kila sababu wanayopewa na...
Maulid Kitenge na wenzie walitamba mitandaoni kuwa wanakwenda kufanya mahojiano na DP world na kuleta majibu juu ya maswali ya watanzania!
Maswali makubwa mawili yakikuwa!
1. Mkataba ni wa muda gani?
2. DP world wamewekeza kiasi gani kwenye mradi huu?
Lakini cha kushangaza wamekwenda kumuhoji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.