Kuna minong'ono imekuwa ikiendelea kwa siku kadhaa sasa kumuhusu RC wa Arusha, Paul Makonda, kwamba anaumwa sana na amekimbizwa South Afrika kwa matibabu. Hisia za baadhi ya watu ni kuwa kalishwa sumu kutokana na kuhatarisha maslahi ya "mafisadi" fulani.
Kwa kipindi chote tokea hizo tetesi...
Katika nyakati za hivi karibuni, Yanga SC imekuwa ikipitia mabadiliko makubwa katika nafasi ya msemaji wa klabu. Baada ya kufungiwa kwa Haji Manara na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), nafasi yake ilichukuliwa na Ali Kamwe. Tunaamini kwamba Ali Kamwe ni chaguo bora zaidi...
Mwaka mwishoni kama siyo mwaka huu mwanzoni GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliposema tena nikiwa na uhakika wa 100% kutokana na Vyanzo vyangu aminika kuwa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe ni mwana Simba SC Mwenzangu na kwamba Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC mlinikatalia na...
Ndugu zangu Watanzania,
Msemaji mkuu wa serikali atazungumza na waandishi wa habari jioni hii,ambapo atakuwa live au mbashara kupitia vyombo vyote vya habari hapa Nchini yaani vile vya serikali na vile vya binafsi vitarushaa matangazo hayo na mkutano huo na waandishi wa habari muda wa saa kumi...
Picha mtandao
Taaluma ya uandishi wa Habari, ni miongoni mwa taaluma inayozalisha wahitimu wengi katika vyuo mbalimbali hapa nchini Tanzania kila mwaka. Wahitimu hao wanakwenda kufanya kazi kwenye vyombo vya habari kama redio, televisheni, magazeti na vyombo vya habari vya mitandaoni.
Kazi...
Msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagari, anaonekana kutilia shaka lengo kuu la vita vya Israel vya Gaza baada ya kupendekeza kuwa Hamas ni 'wazo' ambalo haliwezi 'kubomolewa.'
Chanzo: Al Jazeera
The IDF signaled its agreement, saying it was acting to achieve Israel's war goals "tirelessly"...
Wadau wa Soka
Napenda kuwataarifu kuwa nimekabidhiwa jukumu zito la kuwa Msemaji wa Klabu ya Singida Black Stars yenye maono makubwa na kuongoza Idara nyeti ya Habari na Mawasiliano.
Nami nipo tayari kuisemea na kuitetea kwa weledi na maarifa yangu yote.. Eeh Mwenyeezi Mungu nisaidie 🙏🏾
Picha inajieleza na kaambatanisha na kanuni za league kuu ya Tanzania bara.
Kwako Karia TFF na bodi ya league yako, tunakufuatilia tuone mtaamuaje mechi hiyo. Mnatutia aubu na kuturudisha zama za ujima wakati tunaweka mpira kwapani.
League ya 6 kwa ubora Afrika inayumbishwa na kupindisha...
UWEPO WA KIMBUNGA “IALY” KATIKA BAHARI YA HINDI KASKAZINI MWA MADAGASCAR
Dar es Salaam, 17 Mei 2024:
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “IALY” katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar.
Mifumo ya hali ya hewa inaonesha kuwa kimbunga...
Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari
Mobhare Matinyi
Msemaji Mkuu wa Serikali.
========
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi, Aprili 20, 2024 jijini Dar es salaam ametoa taarifa kuhusu hali ya mafuriko nchini...
Baada ya Kuiangalia Video Clip yako iliyowekwa na Gazeti la Mtandao wa Mwanaspoti (ulipokuwa unazungumza) huku Body Language yako ikielezea mengi na Sura yako ikiwa Kali isivyo kawaida na kama ulivyozoeleka naamini kuna Jambo lililojificha lakini kama Siku PCCB (TAKUKURU) wakiamua waingie Kazini...
Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari
Ijumaa, Aprili 12, 2024
3:30 Asubuhi
Ukumbi wa TTCL, Jengo la TTCL, Ghorofa ya 12, Barabara ya Samora, Dar es Salaam
https://www.youtube.com/live/nUer3g5TXCs?feature=shared
UPDATES
Mvua na Mafuriko
Itakumbukwa kwamba tarehe 24...
bwawa
habari
kauli ya serikali
kufua umeme
kuhusu
mafuriko
mafuriko bwawa la umeme la julius nyerere
mafuriko morogoro 2024
mafuriko pwani 2024
mafuriko rufiji 2024
mafuriko tanzania 2024
mkutano
mkuu
mobhare matinyi
msemajimsemaji mkuu wa serikali
serikali
tamko la serikali
waandishi
waandishi wa habari
Third World War Info
-Balozi za Israel duniani kote haziko salama tena, anaonya Kayhan, msemaji wa Kiongozi Mkuu wa Iran Khamenei.
-Licha ya Iran kuendelea kupanga namna itavyoshambulia na kuimaliza Israel, Iran imeongeza tena mipango yake yaapa kulipiza kisasi kushambulia balozi zote za...
Kuwa Msemaji wa timu, tena kubwa kama Simba au Yanga, si lazima uwe unamwaga porojo na ndoto ambazo si rahisi kutimizika.
Kabla ya mechi ya Al Ahly Benjamin Mkapa, Ahmed Ally aliwaaminisha washabiki na wanachama wa Simba kuwa Ahly anakufa kifo kibaya na HATOKI BENJAMIN MKAPA.
Baada ya kupigwa...
Msemaji wa timu ya Tabora United FC, Christina Mwagala amemjia juu Mchambuzi wa Soka, Jemedari Said kufuatia kauli aliyoitoa juu ya kinachoendelea kwenye timu hiyo.
"Nafikri wewe kibabu Jemedari Said kuna kitu unakitaka ndani ya klabu yetu ya Tabora UTD muda sio mrefu utakwenda kukipata, Ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.