Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imemtaka msemaji wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa, Mathias Gillmann kuondoka Nchini humo haraka iwezekanavyo baada ya Wizara ya Mambo ya Nje kumshutumu kwa kutoa "taarifa zisizoeleweka na zisizofaa" kuhusiana na Nchi hiyo
Takriban watu 30...
MANDONGA ANASTAHILI KURITHI MIKOBA YA HAJI MANARA NA KUWA MSEMAJI RASMI WA KLABU YA YANGA
Apoteza pambano lakini anafaa kuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga kwani anao weledi mkubwa wa kujieleza, ucheshi, uhamasishaji, kutokata tamaa & anakubalika sana na Watanzania wengi!
Twende na Mandonga...
Nani anaundanganya Umma wa Tanzania au Watumishi wa umma wa nchi hii? Msemaji wa serikali anasema wamewapa viongozi wa TUCTA muda wakajadiliane.
Wakati huo huo Rais wa TUCTA anasema wameipa serikali muda ije na majibu kwanini nyongeza ya mshahara imekuwa tofauti.
Kwa vyovyote vile kati ya...
Msemaji wa serikali ndg Gerson Msigwa akitoa mrejesho wa kinachoitwa kikao cha serikali na TUCTA leo tarehe 26/7/2022
Lugha gongana. Msemaji wa serikali anasema hivi, TUCTA wanasema vile. Ni kama kuna kurushiana mpira. Gerson Msigwa anaongea kana kwamba TUCTA ndiyo mwajiri na mlipa mshahara...
Yanga: Tunamuunga mkono manara kudai haki vyombo vya juu zaidi
Klabu ya Yanga imesema kuwa adhabu ya Ofisa Habari wao, Haji Manara kufungiwa miaka miwili kujihusisha na soka na faini ya Tsh. Milioni 20 siyo ya haki na adhabu ni kubwa.
Yanga wametoa tamko na kueleza kuwa inamuunga mkono Manara...
Naona hadi umewaahidi Watu kadhaa Lunch Offer baadae Mchana hapo Posta.
MImi Rafiki yako Mkubwa na Mdau wako wa Habari na Mawasiliano naomba kujua hii Furaha yako imetokana na nini?.
Hebu shea nami basi Comrade Oky?
Waswahili tuna msemo, ''Fumbo mfumbie mjinga mwerevu atatambua.''
Mimi nimelitambua fumbo na wapi limeelekezwa.
Tatizo ni historia ya uhuru wa Tanganyika.
Msemaji kaandika anasema:
UONGO UKISEMWA SANA HUGEUKA KUWA UKWELI
SEHEMU YA KWANZA
Mtanange wa leo hii ni kuhusu Harakati za Uhuru wetu...
Nimeleta huu uzi kama tetesi za zilipotokea pia, maana mtu mwenyewe anayehusika hapa hachelewi kulialia na ku play victim
Kutoka ukurasa wa jamaa anyejiita Chaz lee huko facebook
Simba ni kubwa mno kuwa na CEO kama Barbara.
Kwa waislamu ni dhambi kusema uongo makusudi, Ahmed Ally kijana wa watu anapitia kipindi kigumu sana kinachomfanya aharibu dini yake. Analazimika kusema uongo kwa kujua au kutokujua ili tu kuifunika Simba isikae uchi. Atafanya hivyo hadi lini?
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akitoa taarifa kuhusu utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo ya Serikali katika mkutano na waandishi wa habari leo Juni 12, 2022 katika Ukumbi wa Ofisi za Idara ya Habari-MAELEZO, Dodoma.
MSIGWA...
1. Jikite katika Uhalisia wa Masuala na siyo Propaganda
2. Acha kutumia muda mwingi kutafuta Mipasho ya Kujibizana na Mwana Mipasho Mwenzako Haji Manara.
3. Jikite hasa katika Kuitangaza Simba SC Kimataifa na Kisayansi zaidi
4. Acha kutoka nje ya Uweledi wako na kuanza kuwa Mswahili Mswahili...
Jana kama kawaida yako ya kupenda Kujimwambafai na kujifanya unajua Mambo wakati Kiuhalisia huna ukijuacho kwa Kujiamini Kwako Kipuuzi ulisema (na nasikitika waliokuwepo Ukiwadanganya) walikuamini uliposema kuwa Msimu ujao Simba SC ndiyo itaanza Kucheza hatua za mwanzo Mechi za Klabu Bingwa...
Msemaji wa Putin, Mr. Peskov anakiri wamepoteza kwenye vita na Ukraine, amesema wamekiri kutofanikiwa Kwa kasi Kama walivyodhani, na hii ni kutokana na wageni kuingilia operation yao huko Ukraine.
Peskov kasema Mrusi anayenuka jasho hapo Sinza Kwa Remmy anabisha
Britanicca
Wapendwa nimemuona msemaji wa Simba huko YouTube akimtembelea na kumpongeza mzee aliyekuwa na kitochi uwanjani. Hii si sawa kwani anahamasisha vitendo vya utovu wa nidhamu unaoweza kuigharimu timu.
Kesho watu wakija na vitochi zaidi tena vyenye mwanga wenye madhara atafanyaje? Nilitegemea...
Kwenu Wabobezi wa Marketing hivi Kupunguza Bei ya Bidhaa ili Uuze nyingi na Utambe kwa Watu ndiyo Mafanikio Kibiashara au Mafanikio zaidi ni Kuuza kwa Bei ya Juu hata kama utauza Chache ile utaingiza Pesa nyingi na pia Utakubalika kwa Ubora ( Quality ) ya bidhaa?
Leo Klabu ya Yanga imeamua...
hajismanara Jana nilipoona hii taarifa usiku ilinistua sana na kunifadhaisha mno, huwa najisikia shida nikiona mtu nimjuae akiingia ktk matatizo yoyote yale no matter what.
Binadamu hatupaswi kufurahia pale mwenzetu anapopata mitihani au vitu kama hv, ingawa baadhi yetu tumekuwa na desturi ya...
Ukimsikiliza Msemaji wa Yanga SC Haji Manara unaona mstari ni mwembamba sana unaotenganisha malalamiko na kukumbusha unahitaji Microscope kuuona mstari huo.
Chanzo: Clouds FM
Hakika Nani Kama mama, hakika anaupiga mwingi! Pongezi kwako mama wetu mpedwa!! Mungu akupe na kukujalia kila lililo la kheri.!!
Ni hivi kwa wale watumishi wa umma, hebu chungulieni salary slip zenu hakika mtaona Kuna tofauti kubwa sana imefanywa na huyu Rais wa watu, yaani Kama una mkopo Bank...
Ninaangalia wasemaji wa Simba Sc na Azam wakizungumzia mechi ya kesho kombe la mapinduzi.
Huyu Msemaji wa Azam nadhani anaitwa somebody Zacharia anazungumza kama mvuta bangi. Anampangia Ahmed Ally cha kuzungumza. Anamkatiza Ahmed kuzungumza. Anajitahidi kuweka utani wa jadi lakini utani wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.